Pezzonovante
JF-Expert Member
- May 1, 2008
- 638
- 41
Nadhani kuna somo anafundishwa karume hapo
HAO JAMAA WANADHANI JK MJINGA HILO NI SOMO TUNAMAFUNDI HAPA BASI TU JAMAAA WAMEJAA PALE TANESCO,HAYA AFROSHILAZI IWAPE LUMEME
Nadhani kuna somo anafundishwa karume hapo
Sasa Utalii Na Bao Watachezaji,huyo Shamuna Atachezaje Bao,jamani Tunataka Viongozi Wenye Vision,hawa Jamaa Ni Ma Mbumbu Afadhali Hata Baba Mzee Kalume Yao Alikuwa Ana Nunua Pipi Na Tofi Kwa Mapesa Ya Kigeni Baada Ya Madawa Na Mafuta.
kucheza bao hakumzuii mtu kufikiri, wako wanaocheza golf, hockie na michezo mingine na bado wanafikiri zaidi. Hapa yawezekana muungano umeshavunjika au ndio uko kwenye kuvunjika so mambo ya huko visiwani wameachiwa wenyewe wadili nayo.
BILA TAA MAMA UWEZI CHEZA BAO MAMA GOLF SI WACHEZA MCHANA, UTALII UTASHUKA, NASIKIA WANANUKA WATU HAKUNA MAJI.
BILA TAA MAMA UWEZI CHEZA BAO MAMA GOLF SI WACHEZA MCHANA, UTALII UTASHUKA, NASIKIA WANANUKA WATU HAKUNA MAJI.
hata bao wanaweza cheza mchana, kwani kanuni za bao zinasema lichezwe usiku tu? itakuwa vizuri maana watu watarudi makwao na kuspend time na familia zao bila visingizio vya kazi nyingi ofisini.
SASA HAPO TUTAONA MAONGEZEKO YA IDADI YA WATU,LAKINI BAO PALE FORODHANI LACHEZWA USIKU, HUKU WAKILA ULOJO NA PAPA.
UNAJUA MAMA JK ANATAKA KUMNYONYEZA HUYU FORM SIX, HAJUI WATU WANA AJENDA BUSH KAMPA ASSIGNMENT JK SIMAMIA MWAFAKA HALAFU YEYE ANAFANYA MCHEZO,WEW HADI SASA HAWAJASEMA KITU KWA WANANCHIna mishikaki ya kuku na ngisi, mambo iko huko jamani umwamba wa waasp unajibiwa kimya kimya labda. Poleni wananchi wazanzibar nambari wani ni sisiemu.
UNAJUA MAMA JK ANATAKA KUMNYONYEZA HUYU FORM SIX, HAJUI WATU WANA AJENDA BUSH KAMPA ASSIGNMENT JK SIMAMIA MWAFAKA HALAFU YEYE ANAFANYA MCHEZO,WEW HADI SASA HAWAJASEMA KITU KWA WANANCHI
Nadhani kuna somo anafundishwa karume hapo
Dr. Idris Rashid angesikilizwa (kuendesha TANESCO kibiashara na siyo kisiasa)labda Zanzibar ingelipa deni.
Zanzibar ingelipa deni labda infrastructure ingefanyiwa matengenezo.
Infrastructure ingefanyikwa matengenezo, labda Blackout ingeepukwa.
pundit fahamu wewe si mjuzi wa kila eneo na muungwana kwa asilolijua hunyamaza na kuuliza ili afahamishwe na si kuropokwa ili nayeye aseme.
infrastructure ya umeme kuanzia rasi kiromoni hadi fumba zanzibar na kuelekea mtoni ni mali ya SMZ inayosimamiwa na shirika la umeme la zanzibar sasa Dr rashid anahusika vipi? alau ungesoma magazeti ungeelewa kuwa Tanesco wameitwa kwa ushauri na si kuwa wao ndio wenyewe shirika la umeme. kazi fitna tu.
kuhusu deni mara ngapi uwambiwe kuwa zanzibar hatudaiwi. au wewe ndio Tanesco unajua kuliko mkurugenzi wa Tanesco aliyeeleza wazi na hadharani kuwa Zanzibar haidaiwi kwa umeme.
Zanzibar itakuja juu mbali ya choyo na chuki na kebehi za Wapuuzi wachache.
walisema hatuwezi na waje kututizama
wakulima na wa kwezi chombo hakiendi mrama
kama ccm bara inaifundisha adabu ccm zanzibar naona kama wamekosoa njia. kwa kuwa hii adhabu ya umeme inawapata na watu wa kawaida, ambao wakati wa kupiga kura waliwatilia hao hao ccm wa bara pia.
au labda ccm bara haikereki kwa hilo kwa sababu inajua zanzibar haina ccm wa kuwakosesha ulaji, kura zimeshasema kama zanzibar ni ya upinzani
Was the cable sabotaged hence the Silence? (Ongoing investigation?)
If that is the case then there is need for Backup Power at Zanzibar. I can't picture one bomb planted on the cable bringing the whole Island to its knees