SAKATA LA UMEME ZANZIBAR: Lawama kwa Serikali, Tanesco ama ZECO?

Another very good angle...What is the lifespan of the submarine cable?

Kwa mfano, cable ya EASSy inasemakana itakuwa na lifespan ya 15 to 25 years.

"Commercially, the cable has the lifespan of 15 but it is desirable that it should last for 25 years, depending on the level of maintenance and replacements to be done.
However, 15 years is commercial life span and 25 years is the desired life span. And this is good period of making a return on investment."

Sasa ile ya Zanzibar ilikuwa laid in 1979, leo in 2008, meaning the cable is 29 years old and has exceeded its lifespan? MAINTANANCE is not part of our vocabulary?
 
Sawa Balahau Umempasha huyo . Kama ingekuwa mimi ni mtu wa kukosa heshima labda ningesema huyo ni Mpuuzi- (Kumradhi- Mheshimiwa "Pundit")

huyu pundit na wenziwe baadhi ya wakati wanakera kujitia kimbele mbele kama mimba.

ala mwiba yeye nnajua mtani wetu hutumia lugha hii kuleta bezo na kejeli lkn wajue tuko makini na tutajitahiidi kuwatumikia watanzania kwa nguvu zetu zote
 
the president ( JK) has a lot of means at his disposal which enables him to exercise his authority. sasa huyu jamaa JK yeye kwanza ni muoga. yaliyotokea butiama yalionyesha kabisa kwamba he has no influence whatsover over CCMs policy making and implementation. He has not been able to initiate anything but has been reduced to react to events.It is now evident that Karume is a small time politician who is obsessed with self preservation at the cost of peace and development in zanzibar. lakini penye ukweli uongo hujitenga: bila CCM bara, karume na wenzake zanzibar wamekwisha! and that is a fact. sasa hicho kiburi anachoonyesha sijui kinatoka wapi.
JK aliingia madarakani akiwa amedhamiria kutatua mgogoro wa zanzibar. so far he has abdicated that responsibility and has not shown any leadership at all on this issue. badala yake kawaachia akina makamba na kingunge waendeshe mambo. the shelf life of partucularly these two guys has long since expired. sasa sijui nini kimempofua JK mpaka halioni hilo!

Sikuwahi kufikiri maishani mwangu kuwa ipo siku tutampata Rais ambaye hana uwezo na Nguvu kama JK. Yaani ameshindwa kabisa kuwatawala watu ndani ya CCM, I have never seen such a President. Yaani ni mtupu kweli. Ina maana kuwa amirijeshi mkuu, mkuu wa mambo ya Usalama, Takukuru na vyombo vyote vikubwa vilivyo chini yake bado hana nguvu kabisa amekuwa kama kapi la Muwa.

Rais wetu watanzania walikupenda na kukuamini sana. Amka rais wetu toka huko usingizini ulikoishia, 2010 sio mbali rais wetu, Fanya kazi.

assumption: Hivi JK angekuwa ni CEO wa mojawapo ya kampuni kubwa hapa TZ anaweza kweli. angekuwa kila siku analia tuu. Hana Jeuri ya kutumia rasilimali watu alizopewa.

Karume kashajua udhaifu wake kwa sasa anampeleka speed tuu. Usishangae akaja na hoja ya kubadilisha katiba ili aweze kugombea uraisi kwa kipindi kingine. Au kwa kuona udhaifu wake wa maamuzi na ndani ya chama atakuja na hoja ya kumpiku Kikwete kisiasa kama ile ya Kuipiku CUF kisiasa agombee uaraisi wa Jamhuri ya Muungano
 
MOD,

I know you have combined two threads to make one BUT one person tries to connect Machafuko between Butiama and Outage(Conclusion) AND I speak of the Blackout in investigative way.

Since the conclusion is speculative, I ask you to add a question mark infront of sentence to read, "Machafuko ya Butiama Kikwete ajibu jeuri ya Karume?"

The more I dig I am convinced the outage is due to the cable reaching its lifespan limit. Even the MCC Fund has this as one of the Power Projects. Read below:

"
Energy Sector Project ($206 million)

Currently in Tanzania, industry, businesses, and households suffer from either a lack of energy services or unreliable service. Where electricity is available, the quality of supply is poor, and blackouts and other service interruptions are common. The Energy Sector project will improve electricity service and coverage in Tanzania through the addition of new power generation, transmission and distribution capacity, as well as through much needed reinforcement of the existing network. The project is expected to result in improved reliability and quality of electric power, and the extension of service to communities and businesses not currently served. The components of the Energy Sector project include:

  • The Zanzibar Interconnector activity includes laying an approximately 40 km long, 100MW capacity submarine electric transmission cable from the mainland to Unguja Island, along the path of the existing submarine cable that is reaching its limits in both capacity and lifespan. To support the additional trans- mission capacity, the activity also includes the reinforcement of substations at either end of the cable, as well as the corresponding installation of supplementary transmission capacity along existing lines. This activity is expected to provide a reliable and non-polluting power supply to Unguja Island, the largest is- land in the Zanzibar archipelago, which is entirely dependent on power supply from the mainland. This will allow the island to continue to develop its potential as a high-value tourist destination, and will also improve the productivity and quality of life for the island’s population.
  • The Malagarasi Hydropower and Kigoma Distribution activity includes the construction of a small run-of-river hydropower plant on the Malagarasi River at Igamba Falls, and the extension of a mini-grid system in the Kigoma region. Lack of access to reliable power has been one of the major constraints to investment in commercial and industrial operations in this region. This activity seeks to replace costly, inefficient, and polluting diesel power generation with affordable, reliable, and clean renewable small-scale hydropower. The expanded distribution system will also facilitate the electrification of rural villages and towns.
  • The Distribution Systems Rehabilitation and Extension activity will rehabilitate the existing distribution infrastructure and a number of small distribution line extensions to unserved areas in six regions -- Mwanza, Tanga, Morogoro, Iringa, Dodoma, and Mbeya -- that were identified by the Government of Tanzania as priority areas for investment. This activity will address the growing demand and the corresponding strain on the network to deliver reliable and quality power to industrial and commercial users, as well as to households, in these regions.
The main question, "WHAT WERE WE DOING FOR 29 YEARS?" We knew the lifespan, we have seen the capacity increase with time. Why wasn't this prioritized?

$200million is for 3 projects. Taking 200/3 = approx 67million. Half of EPA would have built this line.
 
pundit fahamu wewe si mjuzi wa kila eneo na muungwana kwa asilolijua hunyamaza na kuuliza ili afahamishwe na si kuropokwa ili nayeye aseme.

infrastructure ya umeme kuanzia rasi kiromoni hadi fumba zanzibar na kuelekea mtoni ni mali ya SMZ inayosimamiwa na shirika la umeme la zanzibar sasa Dr rashid anahusika vipi? alau ungesoma magazeti ungeelewa kuwa Tanesco wameitwa kwa ushauri na si kuwa wao ndio wenyewe shirika la umeme. kazi fitna tu.

kuhusu deni mara ngapi uwambiwe kuwa zanzibar hatudaiwi. au wewe ndio Tanesco unajua kuliko mkurugenzi wa Tanesco aliyeeleza wazi na hadharani kuwa Zanzibar haidaiwi kwa umeme.

Zanzibar itakuja juu mbali ya choyo na chuki na kebehi za Wapuuzi wachache.

walisema hatuwezi na waje kututizama
wakulima na wa kwezi chombo hakiendi mrama

However you cut this the fact remains kuna neglect ya infrastructure, vitu havifanyiwi maintenance.Part ya neglect hii ni pamoja na saga zima la SMZ kulimbikiza madeni hapo nyuma.

Ukibisha hapo utaleta uzalendo tu na mimi si po kubishania uzalendo.
 
Kweli Mr. Pundit kuna neglect ya Infrastructure ambayo kwa kweli ilikuwa iwekwe au ijengwe na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ambayo haikufanya hivyo. Jee sasa ni nani wa kulaumiwa kwa kuzembea majukumu.Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano. Jamhuri hii haiwezi kujenga infrastructure katika eneo lake (National Grtid) ya umeme ikan'gan'gania kuunganisha Mwanza, Dodoma, Mbeya, Tanga, Arusha na kwengineko na kusema Zanzibar si kwake (kuitenga Zanzibar) na kudai kuwa si jukumu lake.Whither,- The United Repubklic of Tanzania?
 
kama mnatufundisha SOMO basi eleweni tumelifahamu,2010 haipo mbali panapo uhai na uzima. we will revenge too.
ALUTA CONTINUA

Kwa kufanya nini? Kuipigia kura CUF? Kutukatia maji bara? Tueleze Mkuu maana tumeanza kutetemeka!!!!

Si kila kitu ni conspiracy, mengi ni uzembe tu.
 
Kweli Mr. Pundit kuna neglect ya Infrastructure ambayo kwa kweli ilikuwa iwekwe au ijengwe na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ambayo haikufanya hivyo. Jee sasa ni nani wa kulaumiwa kwa kuzembea majukumu.Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano. Jamhuri hii haiwezi kujenga infrastructure katika eneo lake (National Grtid) ya umeme ikan'gan'gania kuunganisha Mwanza, Dodoma, Mbeya, Tanga, Arusha na kwengineko na kusema Zanzibar si kwake (kuitenga Zanzibar) na kudai kuwa si jukumu lake.Whither,- The United Repubklic of Tanzania?

Zanziba si mkoa kama hiyo mingine! Ndiyo maana kwenye United hakuna Mwanza, Dodoma bali ni watu wazima wawili, Zanziba na machogo. Utu uzima unakuja na majukumu na moja wapo ni kuangalia na kutunza infrastucture yako isiyo chini ya wigo la United!
 
wazenji pigeni kura ya maoni endapo mnataka umeme au la. na mkitaka kuandamana mpige kura ya maoni pia
 
Another very good angle...What is the lifespan of the submarine cable?

Sasa ile ya Zanzibar ilikuwa laid in 1979, leo in 2008, meaning the cable is 29 years old and has exceeded its lifespan? MAINTANANCE is not part of our vocabulary?
Bw. Insurgent suala la Infrastructure ni zito na la muhimu kwa Taifa lolote lile. Ukizungumzia Tanzania ni pamoja na Zanzibar. Na Tanzania ikiwa inajenga infrastructure zake ni lazima incorporate Zanzibar kwa hali yoyote ile katika mipango yake. Sasa jee kwa hapa kwetu zinapojengwa kama vile Umeme (national Grid). Viwanja vya ndege vya Kimataifa (Nakusudia vya Julius Kambarage Dar, Kilimanjaro na Mwanza sio airstrips na vya Kanda), Bandari Kuu (nakusudia Dar na Tanga sio Mtwara na Mafia) mbona Serikali hii ya Jamhuri inakazania Bara tu na infrastructure (hizo mkubwa ) kwa upande wa Zanzibar inasema SMZ washughulike wenyewe. Jee Zanzibar kwani si sehemu ya Jamhuri ya Muungano? Umeme wakati Serikali ya Muungano inajenga National Grid ilikuwa katika mipango yake incorporate namna ya kupeleka umeme Zanzibar au kuiunganisha na National Grid. Haikufanya hivyo. Ni Zanzibar wenyewe waliomiliki mradi wa kuutoa Umeme kutoka Ubungo hadi Mtoni(Kazi ambayo ilikuwa ifanywe na Jamhuri ya Muungano). Sasa masikini wanashindwa Ku-maintain hiyo infrastructure mnawapigia kelele kwa mzigo ambao ulikuwa unapaswa kubebwa na Jamhuri ya Muungano. Lifespan ya huo mradi imekwisha. La msingi sasa ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano iweke mra di mbadala UTAKAOIUNGANISHA ZANZIBAR NA NATIONAL GRID YA UMEME HARAKA IWEZEKANAVYO KAMA REPLACEMENT. HUO NDO MUUNGANO BWANA. una meno kweli.
 
Kwa kufanya nini? Kuipigia kura CUF? Kutukatia maji bara? Tueleze Mkuu maana tumeanza kutetemeka!!!!

Si kila kitu ni conspiracy, mengi ni uzembe tu.

ile ya BUTIAMA ilikuwa rasha rasha tu,mambo ipo 2010.unakumbuka sakata la zantel wakati wa MKAPA??? komandoo aliifungua na ikafanya kazi,unakumbuka mwalimu aliambiwa nn alipomwambia komandoo aunde mseto??? na kwa taarifa yako tu tupo ktk mchakato wa kubadilisha katiba ili kipenzi chetu Dr Amaan Karume agombanie kipindi cha tatu.
 
wazenji pigeni kura ya maoni endapo mnataka umeme au la. na mkitaka kuandamana mpige kura ya maoni pia

Umeme sisi tutachoma mafuta (Mungu si Athumani yapo tele huko) Huo wa maji kaeni nao wenyewe Mabwawa yakikauka shauri lenu. Lakini kura tutapiga ya maoni Muungano basi, na fidia mtatulipa. Hata ikiwa kulipiana "The Hague"
 
ile ya BUTIAMA ilikuwa rasha rasha tu,mambo ipo 2010.unakumbuka sakata la zantel wakati wa MKAPA??? komandoo aliifungua na ikafanya kazi,unakumbuka mwalimu aliambiwa nn alipomwambia komandoo aunde mseto??? na kwa taarifa yako tu tupo ktk mchakato wa kubadilisha katiba ili kipenzi chetu Dr Amaan Karume agombanie kipindi cha tatu.

Sasa mimi chogo nitaumia vipi? Sisi nyinyi wenyewe mnakomoana! Pakacha kuvuja......
 
Zanziba si mkoa kama hiyo mingine! Ndiyo maana kwenye United hakuna Mwanza, Dodoma bali ni watu wazima wawili, Zanziba na machogo. Utu uzima unakuja na majukumu na moja wapo ni kuangalia na kutunza infrastucture yako isiyo chini ya wigo la United!

Kwa nini haiko katika wigo? Na ni kipi kiko katika wigo?. Jee kwa Ibara hii, hiyo United ni nini?, na nani anaibembejea. Na nani aliiilazimisha kuwepo. Na kwa nini alifanya hivyo.Kwa woga gani, na kwa nini alikuwa mwoga? Jee ni mwoga mpaka leo au si mwoga tena?
 
Sasa mimi chogo nitaumia vipi? Sisi nyinyi wenyewe mnakomoana! Pakacha kuvuja......
Ni nafuu kwa mchukuzi. Lakini pakacha letu halivuji. Sisi tunaelewa janja yenu. Asaakheri mambo yetu yatakaa sawa. Lakini muwe tayari kwenda resi. Ikiwa CCM Zenj waleta shindo Butiama, jee? wakiwa lao moja na CUF(katika mwamvuli wa Mzanzibari kindakindaki) si mtakaa sawa nyie. Na kwa kweli kindakindaki lao ni moja Watumbatu, Wapemba, na Wamakunduchi hawajapatapo kuhitalifiana hata siku moja. Na hao ndio wenye kura za ishindi Zenj.
 
Umeme sisi tutachoma mafuta (Mungu si Athumani yapo tele huko) Huo wa maji kaeni nao wenyewe Mabwawa yakikauka shauri lenu. Lakini kura tutapiga ya maoni Muungano basi, na fidia mtatulipa. Hata ikiwa kulipiana "The Hague"

Kwani mtakuwa wa kwanza? Mbona USSR, Chekoslovakia, Yugoslavia hatuna tena?

Hivi mnadhani mkipata nyinyi mafuta bara yatakosekana? The Hague atafutwa mwenye haki na usijekuta mnaambiwa nyinyi mtulipe maana vitabu vyote vitakuwa wazi na nyinyi mapato ya karafuu yaliisha zamani! Msipende kututishia kuwa mtavunja Muungano. Fanyeni kweli muone kama tutalia! Tuone wale wote walio Sharif Shamba na msasani kama watarudi kwenu. Msitubabaishe.

Hapa pametokea uzembe kama alivyohisi Pundit na waliosababisha wachukuliwe hatua. Si hii biashara ya kila siku kuwa hampendwi!
 
Ni nafuu kwa mchukuzi. Lakini pakacha letu halivuji. Sisi tunaelewa janja yenu. Asaakheri mambo yetu yatakaa sawa. Lakini muwe tayari kwenda resi. Ikiwa CCM Zenj waleta shindo Butiama, jee? wakiwa lao moja na CUF(katika mwamvuli wa Mzanzibari kindakindaki) si mtakaa sawa nyie. Na kwa kweli kindakindaki lao ni moja Watumbatu, Wapemba, na Wamakunduchi hawajapatapo kuhitalifiana hata siku moja. Na hao ndio wenye kura za ishindi Zenj.

Na si ndio maana nasema pakacha kuvuja.....! Msingekuwepo Butiama tungemalizana salama lakini mkaja tia kiwingu na chuki zenu baina ya wenyewe kwa wenyewe. Muende, Mkuu. Tumechoka.
 
hivi hao wanaojiita hafidhina wana maslahi gani kwa wazanzibar?
je wanauwezo gani wa kuipeleka/kuvipeleka visiwa kwenye nchi ya ahadi,yenye mito ya asli na maziwa?
kilichopo hapa ni ukwli usiopingika kwamba hao wa unguja na pemba nao elimu ya kusoma nyakati hakuna na ndio matokeo yake wamekalia fitna na unafiki tu,pale akitokea mwenye mwelekeo wa kuleta faida kwa wananchi wake wana mwona hafai.na hii yote ni kutokana na wao hawakufanza kitu ya maana tangia afe mzee karume hata majengo yalikoma ujenzi toka 1972.Sasa wanaona moto waja.
Wake wakijua ipo siku hata makaburi yao tutayatandika bakraa tu.
 
Back
Top Bottom