TAARIFA KWA UMMA
HITILAFU KWENYE MFUMO WA GRIDI YA TAIFA
Jumatatu, 04 Machi 2024
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lina utaarifu umma kuwa kumetokea hitilafu katika mfumo wa Gridi ya Taifa na hivyo kusababisha ukosefu wa huduma ya umeme katika baadhi ya maeneo nchini pamoja na Zanzibar.
Wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma ya Umeme inarejea katika hali yake ya kawaida.
Shirika linawaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.
Imetolewa Na;
KURUGENZI YA MAWASILIANO NA UHUSIANO KWA UMMA
TANESCO-MAKAO MAKUU
DODOMA
KURUGENZI YA MAWASILIANO NA UHUSIANO KWA UMMA
TANESCO-MAKAO MAKUU
DODOMA