Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,141
=======
Haji Manara amelalamikia shirika la umeme nchini, Tanesco kukata umeme kwa muda mrefu na kusababisha kutumia gharama kubwa kuwasha jenereta. Manara amesema wananchi wengi hawana uwezo wa kununua jenereta au kununua mafuta ya kuendesha majenereta hayo.