Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,957
- 22,156
mkuu kuna magari automatic special kwa vilema nadhani hata hiyo gari yake ilikuwa hivyoo sawa mkuu..
siku nyingine ukija na neno
""""""""unadhani""""usijibu chochote jf wazo tu
mkuu kuna magari automatic special kwa vilema nadhani hata hiyo gari yake ilikuwa hivyoo sawa mkuu..
we ****** unauliza swali gani filauni mkubwa wewe,ajari inamtokea yoyote yule hata wewe inaweza kukutokea hata kesho,acha upuuzi kabisa watu tupo kwenye maombolezi wewe unaleta ujinga!
hivi kuna mwenye picha ya marehemu regia atuwekee kuna wengine kusema kweli tulikuwa hatumjui. Please serious.
Kwa status yake ya ubunge hakustaili kuendesha gari tena kwenye safari ndefu. Alishindwaje kutoa ajira kwa dereva?
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Pwani, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Saleh Mbaga alithibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kuongeza kuwa ilitokana na hatua ya Mbunge huyo kulipita gari lililokuwa mbele yake na ghafla likatokea roli la mafuta na
alipotaka kurejea upande wake gari hilo lilimshinda na kubiringita mara saba.
Alisema hata hivyo ajali hiyo imechangiwa kwa kiasi kikubwa na hatua ya Mbunge huyo kuwa na ulemavu wa mguu na hivyo kuwa na mguu mmoja tu wa kushoto ambao alisema inadhaniwa ulimpa tabu katika kufanya uamuzi baada ya kutokea kwa lori hilo la mafuta mbele
yake.
Kama mnavyojua pedeli za gari zipo upande wa kulia lakini yeye alikuwa anatumia mguu wa kushoto kwa hiyo inawezekana kutokana na mshituko wa kutokea gari mbele, alibabaika katika kuutumia mguu huo wa kushoto kufanya uamuzi na hivyo kusababisha gari kumshinda na kupinduka, alisema Mbaga.
Chanzo HabariLeo | Mbunge Chadema afa ajalini Ruvu
Nadhani sasa kuna haja ya mamlaka husika kuhakikisha watu wenye ulemavu wanaendesha magari sahihi kwa hali zao
Yapo magari ambayo yametengenezwa maalum kwa ajili ya watu ambao wana ulemavu. dada Regia kama mlivyotujuza alikuwa na ulemavu wa mguu mmoja wa kulia. Kwa ulemavu huoo anaweza asihitaji gari maalumu maana kila kitu ni mafunzo na mazoea. wapo watu ambao hawana miguu yote na wanaendesha magari maalumu kwa ajili yao. Mengine yana vitufe vya kubofya na linamfanya dereva alimiliki kwa mikono yake. Kwa hio swali la msingi Je gari alilokuwa akiliendesha lilikuwa maalumu kwa ajili ya ulemavu wake?
Wahusika wa usalama barabarani wanahitaji kutuelekeza namna ya kuwafanya walema mbalimbali wenye uwezo au wanaotaka kuendesha magari , magari yao yawe na viwango/options zipi. Hii pia ni mahsusi kwa leseni zao.
Teknolojia imesonga mbele kuwasaidia watu wenye mahitaji maalumu kwani hata wasio na uwezo wa kumudu miguu na mikono yao wanatumia tu macho yao kuelekeza computer kufanya wanayotaka!!!!
Dada Regia Ulale pema peponi. Kazi uliyotumwana na Muumba wako umeikamilisha. Tuliyobaki tuendeleze ndoto zako njema.
Kwahiyo walemavu waachiwe tu wendeshe magari ya kawaida hata kama hawana macho kwakuwa tu wasio walemavu wanapata ajali pia?hapo mwisho si hoja sana. Watu wasio na ulemavu wanapata ajali kila siku
Nimeuliza swali la msingi sasa natukanwa mimi ni mjinga haya....nabaki na ujinga wangu lakini I promise....road accidents will continue to take its deadly toll if the authorities continue with business as usualmkuu, swali la huyu bwana ni la kijinga na la maudhi at this perticular time. Anisamehe kama nimemkwaza, kwa bahati mbaya wengine wetu kifo chake kimetugusa kiasi ambacho discusion ya namna hii inaweza ikapelekea kichapo kama angekuwa karibu.
Ameandika usitumie neno lolote la ki au vi , just say mlemavu
Nimeuliza swali la msingi sasa natukanwa mimi ni mjinga haya....nabaki na ujinga wangu lakini I promise....road accidents will continue to take its deadly toll if the authorities continue with business as usual
hiyo sio justification nzuri,kuna watu kibao hawajui hata kuendesha magari na wana leseni wamekata kabisa ili wakija kununua magari wasihangaike!!!hii ndio tz labda kama we mwenzetu uliondoka siku nyingi sana tz.Sema tu timing ya kuhoji inaweza kuwa haikua nzuri sana lakini swali la jamaa linahitaji majibu yanayojitosheleza zaidi kutoka kwa great thinkers kuliko hilo lako,may be limetokana na jazba ya kufiwa.Tusameheane sote wakati tulio nao unaeleweka.