Current THREADS za Mh. Regia Mtema... A Guide Thread

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,078
Habari wana JF.

Tokana na kwamba hapa JF na taifa limepata msiba mkubwa wa kumpoteza Mpendwa wetu Mh. Regia E. Mtema kumekua na Threads nyiingi mno ambazo imekua ngumu saana kuzifuatilia na kujua zingine ziko pande gani (Jammii Photos, Jukwaa La Siasa, Complaints, advice & Congrats and MMU) ili kua updated kwa wale ambao tupo mbali na maeneo ya Matukio toka jana. Nimeona ni muhimu nikusanye Link za Thread zote ambazo ni related to the Funeral katika hii single thread ili kuwekea wepesi wale ambao wamepitwa (tokana na ukweli kua we have lives beyond JF); na wataka saana wajue every detail ambazo zimekua posted hapa JF na Members mbali mbali. Hii pia yaweza kusaidia Re-posting of things of the same content.

Picha: Mazishi ya Regia Mtema Ifakara - [Courtesy of The Finest]

Live Mazishi ya Mh. Regia Mtema Huko Ifakara (updates) - [Courtesy of Josephine]

Regia Mtema is No More! - [Courtesy of Mgeni Wenu]

Farewell-Kwaheri Regia: A Tribute Page - [ Courtesy of Mwana Kijii ]

Nakuagaje Rejia? - Zitto - ( Courtesy of Zitto]

Live: Ndani ya Viwanja vya Karimjee, Burian kwa Mh. Regia Mtema - [Courtesy of Josephine]

Rejia: Battle of Memories - JF, TGNP, CHAWATA & CHADEMA - [Courtesy of Petu Hapa]

Ni nukuu gani ya Regia tutumie kwenye Tshirts? - [Courtesy of Maxence Melo]

Mh. Regia Mtema (R.I.P); Just a thought - [Courtesy of E=Mcsquered]

Umoja wa Wana JF katika Msiba wa Regia Mtema - [Courtesy of The Finest]

Picha: Ibada ya Kumuaga Regia Mtema iliyofanyika Tabata - [Courtesy of The Finest]

IN PICTURES LIVE TOKA KARIMJEE - Buriani Dada Regia Mtema - [Courtesy of El-Toro]

Reggia alikua anaendesha gari? wakati mguu wake wa Kulia ndio mlemavu? - [Courtesty of Kayagila]

Video ya Gari iliyomuua Regia Mtema - [Courtesy of Chenge]

Regia Mtema was A Great Woman Leader - [Courtesy of Mpenda Dezo]

CCM Kuongoza Mazishi ya Mtema - [Courtesy of Kupeng'e]

TAHADHARI KWA CHADEMA - [Courtesy of Kachachabuseta]

"Friends of Regia" wapanga kukutana DSM Kumuenzi Regia(Courtesy of Sanctus Mtsimbe)

Natoa pole kwa wana JF kwa Msiba mkubwa ulotukuta.

Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahala pema peponi. Ameen.

Pamoja Saana.

AshaDii.

P.S

Naamini Threads zinazidi ongezeka in the name of the Late Regia. (hii yenyewe ni mfano moja wapo) Nitajitahidi update whenever possilble and Relevant.

AshaDii,
Unatafuta kazi ya u-moderator JF?

Nimeyafanya haya kwa kuwa niwajibu wangu kuyafanya hayo.Nimelelewa katika kutimiza Wajibu wangu - Rejia E. Mtema

Souce: LINK

Ni ajabu saana jinsi ambavo kila siku twalaumu viongozi kwa kazi ambazo wategea na kuto toka katika wizara zao... Mimi ni member wa JF I have a rite na obligation ya kufanya hivo (Mradi iwe ndani ya uwezo wangu); Vivo hivo hata wewe. Kuipenda kwangu JF na kumpenda na kumkubali kwangu Marehemu Regia ndio imenisukuma hilo... Pia ile kitendoa cha kusema I am certain kuna members wanataka hizi Links and feel lost not knowing where to start pia nayo imenisukuma. I am passionate in all my doings. Hivo kama unaona my passion has exceeded the required amount thus ukaamua kuni name/nishutumu nataka U-moderator.... I am humbled kwa kunipaisha.

You dont need to explain every thing you do.Go on dadito .I like that spirit of accountability.
 
Ahsante sana dada maana kuna thread nyingine zilinipita kushoto.............. sasa hapa nitazisoma kwa utuvu
 
Back
Top Bottom