Regia alikuwa anaendeshaje gari? Wakati mguu wake wa kulia ndio wenye ulemavu?

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Nimesikitishwa na taarifa za msiba wa muheshimiwa Regia Mtema, inasemekana alikuwa anaendesha gari yeye mwenyewe sasa mimi najiuliza hivi gari hiyo ilikuwa ni ya buttons za kubonyeza kwa mkono maana mguu wake wa kulia ndio wenye ulemavu sasa brake accelerator angewezaje kuzikanyaga au ilikuwa LHD? ni risk sana kuendesha gari kwa mtu ambaye ni physically challenged in udadisi tu
 
Dada wa watu hata siku haijapita tangu aage dunia tayari mshaanza maneno.
Let her be.
 
Nimesikitishwa na taarifa za msiba wa muheshimiwa Regia Mtema, inasemekana alikuwa anaendesha gari yeye mwenyewe sasa mimi najiuliza hivi gari hiyo ilikuwa ni ya buttons za kubonyeza kwa mkono maana mguu wake wa kulia ndio wenye ulemavu sasa brake accelerator angewezaje kuzikanyaga au ilikuwa LHD? ni risk sana kuendesha gari kwa mtu ambaye ni physically challenged in udadisi tu

mkuu kuna magari automatic special kwa vilema nadhani hata hiyo gari yake ilikuwa hivyoo sawa mkuu..
 
Sasa hapo karopoka nini?na upuuzi wake ni upi?Naamini majibu ya swali lake ni muhimu sana.

msamehe bure...Eneo la ruvu hadi chalinze barabara sio that much friendly,kama mtu anaendesha kwa 80km/H+,ni eneo lenye barabara mbaya sana inahitaji uangalifu wa hali ya juu sana.
I can imagine the problem faced if she was a bit speedy...R.I.P Regia
 
Bigirita mbona unamjia juu jamaa, ni swali ambalo pengine wengi wanajiluza, kama una jibu mweleze tafadhali.

mkuu, swali la huyu bwana ni la kijinga na la maudhi at this perticular time. Anisamehe kama nimemkwaza, kwa bahati mbaya wengine wetu kifo chake kimetugusa kiasi ambacho discusion ya namna hii inaweza ikapelekea kichapo kama angekuwa karibu.
 
gari hii hapa



attachment.php
 
hii thread naomba ifungwe kwa sasa, it is too early to start the nitty gritty discusions

please mods
 
Kayagila:

Hakika jibu lako ni sahihi sana upate jibu.

Piga kimya jibu litakuja hapa hapa JF!
 
hilo swali ukawaulize polisi wanaochunguza kifo chake sisi hapa bado tuko kwenye maombolezo
 
Wengi wanajiuliza hicho kitu, lakini siyo wakati wake sasa hivi hususani kama una vi element vya ubinadamu.

Ninachojua, unapo overtake na kuirudia site yako na endapo barabara ikawa na katuta ktkt ukikanyaga breake gari ina kosa mwerekeao. Ajali kama hizo ziko sana pale unapoingia Mikumi ukitokea Iyovi na mwezi jana niliona hapo round about ya Badari kuelekea Mbagara.

Turudi kwenye topic yetu, Hii ni mipango ya Mungu na yeye iMuumba wetu imempedeza kuwa hivyo na tumuombee RM RIP.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom