Gudboy
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 867
- 77
Tatizo hili ingawa hutumika kama njia ya kujizuia na tamaa ya ngono, kimsingi huwezi kufanya kitendo hiki bila kuzikaribisha tamaa hizi za ngono. Kwahiyo athari za tatizo hili tunaweza kuziweka katika makundi mawili, kwani athari za kisaikolojia na pili ni athari za kimwili. Athari zakisaikolojia (Psychological effects) zinaanzia pale unapovuta hisia kazi za ngono. Bila kuwa na hisia kali huwezi kupata uamsho au ‘sexual avousal.' Hisia kali ni za kulaizmisha kwahiyo zitakudumaza ambapo utashindwa msisimko wa kawaida hadi ufikiri sana.
Hali hii ikiendelea hata ukiwa na mwanamke utashindwa kusisimka haraka au utashindwa kubisha kufanya tendo kutokana na mgongano katika akili yako ambapo utajitahidi kuvuta hisia kali wakati mwanamke yupo hapo hapo karibu yako. Hapa ndipo utasikia mtu analalamika hapati hamu ya tendo la ndoa, akiwa na mwanamke uume huchelewa kusimama na hata ukisimama wakati wa tendo anawahi sana kumaliza na kushindwa kuendelea na tendo la pili. Vilevile mtu wa aina hii huumwa na kichwa, kiuno na mgongo ingawa siyo mara kwa mara kwa wanawake wanaotumia viungo bandia vya uume nao huwa hawana hamu wala msisimko wowote wakiwa na wanaume.
Athari nyingine ni za kimwili (mechanical effects). Athari za kimwili ni maumivu ya uume kutokana na kusugua uume mara kwa mara, kulegea kwa misuli ya uume kutoana na kutumia nguvu kwa muda mrefu ili uweze kujitosheleza. Unaweza kupata michubuko katika uume au ndani ya njia ya mkojo. Unaweza kupata nagonjwa ya mishipa ya damu ya uume (microvascular effects) ambapo kutokana na kujisuguasugua mishipa inaweza kuziba hasa ile ya kurudisha damu nakufanya uume usimame bila kikomo kwa muda mrefu au usisimame kabisa.
Matatizo haya yote kwa pamoja husababisha upungufu mkubwa wa nguvu za kiume na kupoteza uwezo wa kufanya tendo la ndoa. Kwa ambao tayari wamekutwa na matatizo haya wataelewa vizuri. Hali hii ya kujichua hukufanya utumie hisia nyingi au nguvu nyingi na nishati nyingi kiasi cha nguvu zote zitumika kufikiri na kufanya kitendo.uelewe kwamba, ubongo unatumia asilimia 60 ya nishati yote mwilini na pia unapokojoa au kufikia mshindo mmoja, nishati au nguvu unaozotumia ni sawa sawa na mtu aliiyetembea kwa mguu umbali wa kilometa 15.
Kwa hiyo basi, kama wewe ni mwanafunzi na unaendekeza punyeto, ubongo wako utakuwa unachoka kila wakati kiasi kwamba utakuwa msahaurifu darasani, unakuwa unapoteza poteza kumbukumbu, mwili utakuwa mchovu na kila wakati utakuwa unasinzia daima hasa afya yako haitakuwa nzuri utakuwa mchovu daima.
USHAURI
Zipo njia nyingi za kuepuka tamaa za ngono siyo lazima ujichue au upige punyeto au ufanye masturbation (mastabesheni) . Kitendo cha kujichua kinaashiria unaendekeza tamaa za ngono. Epuka vishawishi vya ngono kwa kutokusikiliza au kangalia vitendo hivyo kwa nia yoyote. Njia mojawapo ya kuepuka ngono au tamaa ya kujichua ni kushiriki mazoezi ya viungo na michezo ya kutumia akili kama draft, kuangalia michezo na kufanya miadala ya kielimu, vilevile kushiriki kikamilifu katika michezo.
NAAMINI NIMEELEWEKA! !! BADIRIKA LEO KAMA WEWE NAYE NI MZEE WA SABUNI!!