pole sana masa,na nahisi hujaoa bado.
kwa kifupi ukizoea kujichua hata siku moja hutakuwa na hamu na mkeo.Hata ukifanya ,utapata shida sana kwa kuwa upo addicted na huyo mpenzi punyeto.

Huo uzoefu unaotoa sio wa kweli. From my own experience (i'm not joking), nimeoa (more than 10 years in marriage) na mke wangu nam-do kama kawaida huku wote tuki enjoy. Na nisipokuwepo anaimisi ile mbaya. Nikiwa mbali naye napika pu kama kawa, au kama siku akinidengulia au akiwa yeye hajisikii vizuri naingia bafuni napiga pu. Kwahiyo kwangu mimi naona ina faida zaidi kuliko hasara. Mimi hiyo inanisaidia sana kutokuwa MBA
 
Masturbation ina madhara,absolutely. It cannot be condemned enough. Kuhusu ushauri,unaweza kumpa ushauri gani? Ushauri ni huo tu,kumwambia ina madhara.
 
Kaka kama unapiga punyeto,na bado hujapata madhara,u just keep on doin it,ni kama sigara tuu wanasema zina madhara lakini wapo ambao bado hawajadhurika,lakini pia nimesikia kuwa faida mojawapo ya punyeto ni kuongeza ukubwa wa maumbile!!!
 
huo ni ushetani, ukizidisha utakuja kujikuta umelala na jini au shetani waziwazi siku moja. acha kabisa, acha mara moja.
 
kama una access na mademu (eg una wife, girlfriend, au hata uwezo tu wa kuwa nao) na unapiga punyeto - inakuwa haina madhara kabisa

lakini kama huna access na mademu eg vijana wa umri mdogo (15-20yrs) basi inaweza kukusababishia ukawa muoga wa mademu, yaani utashindwa kutongoza thats all.

faida nyingine unapunguza kutia hivyo unapunguza risk ya hiv, unapunguza matumizi ya hela (kuhonga mademu, au kuwa-entertain) etc
mambo ya kusema ni dhambi, mi siamini!
 
wana jf naomba ushauri wenu ili niokoe maisha ya rafikiyangu kipenzi.ameniomba ushauri nikakosa jibu nikaona nilete maada hii hapa ubaoni,, ni kwamba amekuwa akipiga nyeto tangia mwaka1998!!!sometimes kwa siku anapiga bao3...chanzoni kwamba alimwona uncle wake akitaabika kwa ukimwi,,alipofariki akaweka nadhiri y kuacha mamboya waschana.amekaa bila girlfriend kwa muda mrefu mwishoakashindwa, akaona option ni kupiga nyeto mwanzoni mwa mwaka 1998!!! mpaka leo hii bwana huyu anapiga nyetoile mbaya.. kila akijaribu kuacha hawezi!!! anasema hawezi kukaa siku3 bila kupiga nyeto,, so anataka kujua nini madhara ya nyeto hasa ilodumu kwa muda mrefu?pia nini afanye ili aweze kuacha?NOTE: kuhusu mademu ameshindwa vmilia so anatiana na kupiga nyeto pia..
wana jf:nn mchangowenu kwa hayo?
 
Mwambie aje hapa mwenyewe ajieleze....haya mambo ya kutumia third party.....au ni wewe mwenyewe nini bingwa??
 
wana jf naomba ushauri wenu ili niokoe maisha ya rafikiyangu kipenzi.ameniomba ushauri nikakosa jibu nikaona nilete maada hii hapa ubaoni,, ni kwamba amekuwa akipiga nyeto tangia mwaka1998!!!sometimes kwa siku anapiga bao3...chanzoni kwamba alimwona uncle wake akitaabika kwa ukimwi,,alipofariki akaweka nadhiri y kuacha mamboya waschana.amekaa bila girlfriend kwa muda mrefu mwishoakashindwa, akaona option ni kupiga nyeto mwanzoni mwa mwaka 1998!!! mpaka leo hii bwana huyu anapiga nyetoile mbaya.. kila akijaribu kuacha hawezi!!! anasema hawezi kukaa siku3 bila kupiga nyeto,, so anataka kujua nini madhara ya nyeto hasa ilodumu kwa muda mrefu?pia nini afanye ili aweze kuacha?NOTE: kuhusu mademu ameshindwa vmilia so anatiana na kupiga nyeto pia..
wana jf:nn mchangowenu kwa hayo?

sasa kama mambo ndio kama kwenye hiyo note tatizo lipo wapi? lol
 
Nyeto haina madhara yoyote kimwili, labda sema kisaikolojia kutokana na kutegemea kujiridhisha mwenyewe kwa vile ni rahisi zaidi kuliko kutongoza au kutafuta mwanamke. Kama anataka kupunguza nyeto mwambie afanye mazoezi magumu ya kimwili kama kukimbia kilomita 10 kila baada ya siku moja. Kwa vyovyote vile mwambie hakuna substitute for the real thing na atafute rafiki wa kike mwaminifu. Ni bora maradufu kuliko nyeto.

Wasalaam,

Sheikh Ndjabur al Duder
 
Mademu wote hao hajapata hata mmoja wa kumwani tu,acha hilo penzi binafsi bana!
 
Nyeto haina madhara yoyote kimwili,

Kweli kabisa.

Kama anataka kupunguza nyeto mwambie afanye mazoezi magumu ya kimwili kama kukimbia kilomita 10 kila baada ya siku moja.

Mkuu, Binafsi huwa nafanya maazoezi lakini mara nyingi nikishamaliza kupiga tizi huwa ndo napatwa na hamu zaidi ya ku-do, kiasi kwamba usingizi hauji kama nisipojiiba angalau na kamoja. Sijui damu ndo inakuwa imechemka zaidi kiasi kuwa misuli yote ya mwili inakuwa active?

Kwa vyovyote vile mwambie hakuna substitute for the real thing na atafute rafiki wa kike mwaminifu. Ni bora maradufu kuliko nyeto.

Pamoja Mkuu.

Wasalaam,

Sheikh Ndjabur al Duder

Wasalaam.
 
Nyeto haina madhara ndio maana kaweza kufanya hivyo for more than ten yrs. Mwambie ajitahidi kujihusisha na sports muda mwingine pamoja na kujishughulisha na mambo mengine mbalimbali. Anapohisi yuko idle abuni kitu cha kufanya atajikuta anapunguza frequency za nyeto. Mpe hongera kama ameopt kutojihusisha na madem. UKIMWI unaua!!
 
wana jf naomba ushauri wenu ili niokoe maisha ya rafikiyangu kipenzi.ameniomba ushauri nikakosa jibu nikaona nilete maada hii hapa ubaoni,, ni kwamba amekuwa akipiga nyeto tangia mwaka1998!!!sometimes kwa siku anapiga bao3...chanzoni kwamba alimwona uncle wake akitaabika kwa ukimwi,,alipofariki akaweka nadhiri y kuacha mamboya waschana.amekaa bila girlfriend kwa muda mrefu mwishoakashindwa, akaona option ni kupiga nyeto mwanzoni mwa mwaka 1998!!! mpaka leo hii bwana huyu anapiga nyetoile mbaya.. kila akijaribu kuacha hawezi!!! anasema hawezi kukaa siku3 bila kupiga nyeto,, so anataka kujua nini madhara ya nyeto hasa ilodumu kwa muda mrefu?pia nini afanye ili aweze kuacha?NOTE: kuhusu mademu ameshindwa vmilia so anatiana na kupiga nyeto pia..
wana jf:nn mchangowenu kwa hayo?

akitaka kuacha ataacha tu, hajaamua huyo. madhara ya 'kujichua' ni sawa na madhara ya kutumia (abuse) kiungo fulani mwilini kwa muda mrefu, ...ipo siku kitagoma kufanya kazi.
 
Madhara ya kiroho ni dhambi ambayo itampeleka Jehanam, moto wa milele usiozimika! Mazoezi ya kiroho ni toba ya kweli ipatikanayo kupitia Jina la Yesu, kufunga na kuomba, kuutoa mwili kuwa dhabihu safi impendezayo Mungu! Ajiepushe na kuangalia picha chafu (kama anafanya hivyo), akomboe wakati kwa kusoma Neno la Mungu, ajue kuwa anasa za dunia hii ni za kitambo tu na hatujui siku wala saa atakapokuja Mwana wa Adamu kulitwaa Kanisa lake! Siku ya BWANA itakuja kama mwivi atapo usiku kuiba! Watu watakuwa wakila na kunywa, kuoa na kuolewa! Kesheni basi kwa kuwa hatujui siku wala saa, tusije tukaaibika milele kwenye ziwa la moto pamoja na shetani na wale wote watendao maovu!
 
madhara ya kiroho ni dhambi ambayo itampeleka jehanam, moto wa milele usiozimika! Mazoezi ya kiroho ni toba ya kweli ipatikanayo kupitia jina la yesu, kufunga na kuomba, kuutoa mwili kuwa dhabihu safi impendezayo mungu! Ajiepushe na kuangalia picha chafu (kama anafanya hivyo), akomboe wakati kwa kusoma neno la mungu, ajue kuwa anasa za dunia hii ni za kitambo tu na hatujui siku wala saa atakapokuja mwana wa adamu kulitwaa kanisa lake! Siku ya bwana itakuja kama mwivi atapo usiku kuiba! Watu watakuwa wakila na kunywa, kuoa na kuolewa! Kesheni basi kwa kuwa hatujui siku wala saa, tusije tukaaibika milele kwenye ziwa la moto pamoja na shetani na wale wote watendao maovu!
amen!!
 
Biashara ya kusingiziana jamani mwache. Kama tatizo si lako? Hatukuoni so kuwa huru. Nilitaka kukushauri utafute mmoja ila umeniwahi. Ujue bwanakaka, uke haubani kama kiganja. So hakyanani hutakaa uinjoi ngono maishani kama utaendelea na kiganja. Fanya yafuatayo. Anza kupunguza punyeto. Then kaa siku 2 bila kupiga. Then wk n.k huku ukimtafuta mwenza ili kuipa misuli ya uume kurelax. Ukifuata hayo utapona ila ukipuuza, utasimuliwa tu na watu raha ya uroda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom