Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Jan 23, 2023
382
661
JINSI YA KUACHA.png
PUNYETO ni janga la vijana wengi na pengine hadi watu wakubwa kabisa.

PUNYETO inaweza ikakutesa mwili, akili, roho na nafsi.

Hata mimi nilikua huko, ila nimeweza kuacha na kuwa huru.

Japo unaweza kujipa moyo kwa kuungana au kusoma post zingine za wapiga punyeto,

Lakini, ukweli unabaki kwako.

Wewe ndiye unayeumia, wewe ndiye unayeteseka,

Wewe ndiye unayepoteza muda wa kufanya vitu vya maendeleo.

Ni nguvu zako ndiyo zinapotea wala sio za yule anayekushawishi uendelee kupiga punyeto na kuumia zaidi.

Wapo wanatakao kuambia kwamba punyeto ina faida,

Lakini hiyo ni nafsi yao, wala sio wewe.

Mwisho wa siku, wewe ndiye utakayehukumiwa peke yako.

Hata ukienda na ushahidi kwamba niliona huyu anapiga punyeto na mimi nikaendelea.

Bado, utahukumiwa peke yako na utaumia peke yako.

Inawezekana huwa unaangalia watu wanaokufanya ujisikie amani kwasababu…

… ulijaribu kuacha lakini ukashindwa.

Ulijaribu vitu vingi lakini bado ukajikuta unarudi kwenye punyeto.

Hivyo, kwa kujua au kutokujua, ukaamua ukate tamaa.

Ukaamua kwamba, heri utafute watu watakao kupa moyo ili usijisikie vibaya, uchungu na majuto kwa kupiga punyeto.

Mpaka sasa inawezekana umekua sugu au bado bado unatafuta amani ili nafsi itulie.

Lakini ndani mwako, ukikaa mwenyewe unajua kabisa unatakiwa uache.

Ukikaa mwenyewe nafsi yako inakusuta na inakuchallenge sana.

Maumivu na mateso ya kwenye mboo unayajua wewe mwenyewe.

Unaweza kuzipotezea hizo hisia kwa kuangalia muvi au kufanya kitu kingine.

Lakini bado baadaye unajikuta kwenye punyeto alafu mzunguko unaanza upya, huku ukijiambia utaacha.

Au huku ukiwa unajipa moyo kwa sababu fulani amekuambia naye anapiga.

Au unaingia mtandaoni ili usome faida za punyeto, au ili ujipe moyo kwamba hufanyi kitu kibaya.

Au kwasababu umeona post ya mtu, kwamba na yeye atapiga punyeto mpaka kufa.

Lakini ukweli wako unaujua wewe, nafsi yako unaijua wewe.

Nafsi yako inapokusuta unakuaga mwenyewe.

Ukiona unarudia sana huo mzunguko na unashindwa kujitoa,

Basi tatizo ni moja tu…

… mindset yako, au unavyojiweka.

Bado hujajiruhusu kuacha punyeto, ndiyo maana unaendelea kuumia.

Bado unajiona kama ni mtu wa kupiga punyeto hadi kufa, ndiyo maana ni ngumu kuacha hata kama madhara yamekupata.

Bado mindset yako imekushikilia kwenye kupiga punyeto.

Kwahiyo, ili uweze kubadilika basi inabidi ubadilishe mindset yako.

Alafu mambo mengine kama mazoezi, maombi, kufunga, n.k. ndiyo vifuate.

La sivyo, utajikuta unarudia mzunguko ule ule mpaka utajiumiza na kushindwa kumridhisha mwanamke wako, na atakusaliti aende akaridhishwe kwingine.

Na kama unavyojua, kwenye maisha, kinachokupa matokeo ni mindset yako.

Unaweza ukajitahidi kwenye kufanya kitu, lakini kama ndani yako una mindset ya kufeli hutoweza kufaulu.

Lakini kama una mindset ya kufaulu, basi inakua rahisi kufaulu.

Hivyo hivyo, kwenye kuacha punyeto na porno, kama mindset yako bado ipo kwenye porn, basi utarudi kwenye porno na punyeto na utazidi kujiharibu na kujitenga na raha ya kweli unayoitaka.

Sasa kama unahitaji kuacha porno na punyeto KABISA bila kurudi nyuma tena, basi…

… badilisha mindset yako. Badilisha unavyojiona.

By the way, kama unataka kujua zaidi juu na jinsi ya kubadilisha mindset yako basi nitumie ujumbe inbox na uweze kupata utaratibu.
 
View attachment 2783865

MUONGO

MUONGO

MUONGO

MUONGO

NYETO NI SOLUTION PEKEE DHIDI YA GONO NA MIZINGA
 
View attachment 2783867

Similar Discussions

Back
Top Bottom