Tuseme tu ukweli wanaume wengi hawajui mapenzi, wengi wetu tunadhani penetration ndo kitu mwanamke anachotakiwa kufanyiwa kumbe hali si hivyo, mwanamke hisia zake ziko mbali anatakiwa aandaliwe ipasavyo,

Pili wanaume wengi maneno mengi tuu, mikwara kibao utasikia mimi nikimapata yule nammaliza, au ikifika siku ya mpambano utaona mwanaume anafakamia mijikonyagi au wine maskini eti akaue ilhali hajui kwamba harufu tu ya pombe ile yaweza kumboa yule mwenzi wake na ku turn off

Sasa akifika kule no foreplay anataka a penetrate na kukandamiza kwa nguvu eti ndo mwanamke amkome, haipiti dk 2 tayari jamaa kishafika climax, huku mwanamke anafinya finya miguu tuu akiashiria bado kabsaa hajaifikishwa, hapo jamaa kwishne babu hainuki tena ni kukoroma tuu na kumwacha kiumbe wa watu na ashki zake pale pale.

AKitoka pale anaenda simulia kijiweni eti dah nimepiga demu yule mpaka kalia hataki hata kuniona kumbe demu hamtaki tena maana kamboa tuu dada wa watu.

Demu ku masterbate ni kitu cha kawaida jamani, tena mwanamke ile clitoris yake anaichezea ile mpaka anakojoa, mwanamme ikune ile na penis yako taratiiibuuu utaona mwanamke anavyolalamika huku mkono wako mmoja unashika shika chuchu yake kama hamjawahi ona basi demu atakojoa mkojo(ejaculate) unaruka kama bomba la maji, hapa napo tatizo linakuja sio wote twaweza vumilia kuona injini ya mwanamke kwa muda mrefu, wengine akiona tuu baaaasi atakojoa hapo hapo, Mapenzii yanahitaji STAMINA ATI hahahahahahahahaah
 
Kama unahisi uko tayari kufanya mapenzi, au tayari unashiriki katika ngono, ni vyema kuchukua tahadhari. Hakikisha katika harakati zako za kufanya mapenzi, unajali afya yako kwa kufanya ngono iliyo salama.

Inaweza kuwa vigumu, na jambo unalolionea haya kujadiliana na mapenzi wako, swala la uwezekano wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa, na kutumia njia za kuzuia mimba.

Lakini kulikwepa swala hilo kwaweza kumaanisha kuhatarisha afya na maisha yako kwa jumla. Kufanya mapenzi salama , maana yake ni kutafakhari maswala hayo na kisha kuchukua hatua zifaazo.

Punyeto

Ni nini?

Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi.

Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine.

Punyeto ni toshelezo kamili la kimapenzi kama utatumia njia mbali mbali za kujitomosa na kujipa papasa ya kujistarehesha.

Hakuna mtu anayezaliwa akijua jinsi mwili wake unavyoitikia msisimko wa kimapenzi. Inakubidi kujifunza kwa majaribio salama.

Na, kwa vile kila mtu yuko tofauti, njia nyengine ya kujua jinsi unavyoweza kumstarehesha mpenzi wako, ni kujifunza kutoka kwako mwenyewe.

Shughulika zaidi na sehemu ambazo zinasisimka kwa urahisi.

Unaweza kufikia kilele cha starehe yako kwa kuitomasa tomasa mboo au kisimi, lakini kutakupa hamu kubwa na ashiki, na kufikia kutoshelezwa vya kutosha, kama utapapasa pia sehemu nyenginezo za mwili wako.

Kwa nini punyeto huonekana kuwa makosa?

Msimamo wa dini nyingi na watu wengi ni kuwa punyeto ni dhambi, mwiko, jambo lililokatazwa, jambo lisilokubalika kabisa.

Lakini wanasanyansi wanasema ni jambo salama kiafya na dhana zilizopo kulihusu, ni imani za kibinafsi na chaguo la mtu.

Wanaume wengi na wanawake hupiga punyeto maishani mwao, kwa sababu huwafanya wakajisikia vizuri na huondoa dhiki za mihemko ya kimapenzi bila kujiingiza katika ngono na mtu mwengine.

Pia hofu ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ikiwemo virusi vya HIV ni kichocheo tosha kinachopelekea baadhi ya watu kupiga punyeto.

Njia za kuzuia mimba

Dawa au vifaa vya uzazi ni baadhi ya taratibu zinazotumiwa kuzuia mimba kutungwa. Ikiwa msichana au wanamke atafanya mapenzi pasi na kutumia mojawapo ya mbinu hizo basi, kuna uwezekano wa theluthi moja kwamba atapata mimba.

Hata hivyo aina yoyote ya kuzuia mimba utakayoichagua ni lazima itumiwe kama ilivyoagizwa, ili kuleta matokeo ya hakika.

Baadhi ya njia hizo kama vile kutumia kondom wakati wa ngono, pia kwa kiasi fulani humpa mtu kinga dhidi ya maambukizo ya virusi vya HIV, na magonjwa mengine yanayoathiri afya ya uzazi.

Kwa vile mbinu za kuzuia uzazi ni za aina tofauti tofauti, ni muhimu basi uchague kwa makini ile inayokufaa. Utapata usaidizi wa kitaalam kama utashauriana na daktari wako, au pata usaidizi katika kituo cha kwenu cha upangaji uzazi, au kituo cha vijana.

Mbinu za kuzuia mimba (Contraception)

Hivi ni vifaa au dawa zinazotumiwa kwa minajili ya kuzuia mimba kutungwa wakati wa kufanya ngono.

Kuna zile zinazotumiwa kwa mda mfupi na nyengine kwa mda mrefu. Nyengine hufanya kazi papo hapo na nyengine huitaji maandalizi ya mda.
Kondom au tembe maalum ndizo njia bora zinazojulikana zaidi za kuzuia mimba.

Pia kondom zina manufaa bora zaidi zinapotumuwa kwani mbali na kuzuia mimba zinapotumika kama inavyopaswa zinaweza pia kumkinga mtu asiambukizwe vurusi vya HIV, na magonjwa mengine ya zinaa.

Tuangalie kwanza vifaa vya kuzuia mimba.

TAYO

Moja ya mbinu bora na rahisi za kuzuia mimba, ni kuweka kizuizi, kwa lengo kuwa mbegu ya mwaname na ile mwanamke zisikutane. Kwa maana hiyo kifaa maalum kinaweza kuwekwa katika njia inayotumiwa na mbegu ya kiume ndio isilifikie yai la mwanamke.

Baadhi ya vifaa hivi (hasa kondom) pia vinaweza kukinga kuambukizwa virusi vya Ukimwi, na magonjwa mengine ya kuambukizana kupitia ngono.

Kuna aina kadhaa za vifaa vya kuzuia mimba. Kondom za wanaume na zile za wanawake ndio vifaa vinavyofahamika zaidi, hata hivyo kuna pia vifaa vyenginevyo viitwavyo diaphragm na caps kwa kimombo ambavyo vinaweza kutumiwa na wanawake.

Kondom za wanaume: Hivi hutengenezwa kutokana na aina maalum ya mpira uitwao latex, au plastiki nyembamba. Kondom ya mwanaume huvaliwa kwenye uume iliyosimama, tena kabla ya uume kuingizwa ukeni. Ikitumiwa kama inavyotakikana inakadiriwa kuzuia mimba kwa asilimia 98.

Kwa kawaida kondomu hupatikana kwenye vituo au kliniki za upangaji uzazi, kwenye maduka ya madawa au hata maduka ya kawaida.

Kondomu za wanawake: Halkadhalika hutengenezwa kwa mipira laini ya latex au plastiki nyembamba maalum. Huvaliwa ndani ya uke, huku sehemu iliyowazi ikichomoza nje kidogo. Kwa kawaida kondom za wanawake ni ghali, na pia utendaji kazi wake unakadiriwa kuzuia mimba kwa asilimia 95.

Aina nyenginezo na vifaa vya kuzuia mimba huwa hazipendekezwi kwa vijana lakini ni vyema kuvijua.

Kuna aina nyenginezo za vifaa vya kuzuia mimba viitwavyo diaphragms na caps. (tazama michoro) Hivi hutengenezwa kutokana na kitu kiitwacho silicone au mpira laini maalum. Vikiwekwa ukeni hutumika kama vizibo vya kuzuia mbegu za mwanamme kupenya hivyo basi haiwezi kukutana na yai la mwanamke.

Kwa kawaida caps ni ndogo kuliko diaphragms lakini kwa vile wanawake pia wana maumbo tofauti, ni sharti upate saizi utakayokutosha. Hapa ni sharti upate usaidizi wa daktari wako, au muuguzi, kuiweka.

Inapowekwa mahali pake ndani ya uke, iwe diaphragm au cap, huziba kilango cha mfuko wa uzazi hivyo basi mbegu ya mwanamme haitapatanafasi ya kupita. Ukishaonyeshwa na daktari jinsi ya kuipachika, baadae unaweza kuipachika mwenyewe kabla ya kufanya mapenzi.

Kwa matokeo bora zaidi, diaphragms na caps hutumiwa pamoja na dawa iitwayo (spermicide) ambayo huuwa mbegu za uzazi za mwaname. Hapo diaphragms au caps humpa mwanamke kinga dhidi ya mimba kwa asilimia kati ya 92 na 98.

Hata hivyo itachukua mazoezi ya muda ili kuvitumia itakikanavyo. Wakati mwengine pia hutumiwa na gel yake maalum lakini bado havina hakikisho la asilimia moja kuzuia mimba.

Faida yake nyengine ni kuwa, kwa kiasi fulani, vinaweza kukinga dhidi ya magonjwa ya zinaa na saratani ya (cervix) lango la nyumba ya uzazi.

Ikiwa wewe hutumia vifaa kama diaphragms au caps, au hata kondom, ni vyema kujipangia mapema ndio usikose akiba, ndio haitakuwa karaha kuvitafuta pale unapovihitaji.

Mbinu nyingine za kuzuia mimba

Kuna chembe chembe za kimaumbile, zinazojulikana vyema kama homornes ambazo hutumiwa kutengeneza tembe au chanzo ya kuzuia mimba.

Chembe chembe hizi kwa jina maalum progestogen yaani mchanganiyko wa oestrogen na progestogen, huingizwa mwilini mwa mwanamke kwa mpangilio na kiwango maalum ili kuzuia mimba kutungwa.

Hufanya kazi kwa namna hii:

* Kwa kuzuia ovari kuangua mayai
* Kwa kuzuia mbegu za mwanamme kulifikia yai (kwa kufanya majimaji ua ukeni kuwa mazito na kunata hivyo kuzuia mbegu ya mwanamme kupenya)
* Kwa kulizuia yai kujipachika kwenye kiota cha nyumba ya uzazi.

Tembe mchanganyiko - huwa ni kidonge cha dawa kilichotengenezwa kwa mchanganyiko wa chembe chembe za oestrogen na progestogen. Hii huzuia mimba kwa njia zote tatu tulizozitaja hapo juu na ikitumiwa itakikanavyo, vinategemewa kuzuia mimba kwa asilimia 99.

Tembe ni rahisi kutumia - Mradi tu unakumbuka kumeza vidonge kulingana na maagizo. Wakati mwengine pia huifanya hedhi, kupungua na kupunguza pia maumivu wakati wa hedhi.

Lakini athari zinazoandamana na utumiaji wa vidonge hivyo ni pamoja na kuchafukwa na moyo, kuongezeka unzani, na athari mbaya zaidi ni iwapo itatokea hali ya kuganda kwa damu kwenye mishipa ya kupitisha damu.

Vidonge vya Progestogen pekee (POP) - Aina hii ya Tembe huitwa pia “mini pill” na huwa ina chembe chemba za progestogen pekee. Huzuia mimba kwa njia kama zile zile zinazozuia tembe za mchanganyiko, na ina utendaji kazi wa kati ya asilimia 96 na 99. Hata hivyo kama una uzani wa zaidi ya kilo 70 uwezo wake wa kuzuia mimba hupungua

Faida kuu ya kutumia vidonge hivi ni kwamba vina athari ndogo za kiafya. Lakini tatizo ni kuwa ni sharti tembe imezwe wakati ule ule kila siku , kama umechelewa basi isipitishe zaidi ya masaa matatu.

Sindano - Hii ni chanjo ya kuzuia mimba inayotengenezwa na chembe chembe hizo hizo za homoni ya progestogen. Tofauti na tembe, ambazo ni sharti kumeza moja kila siku, sindano pindi inapodungwa inakupa kinga dhidi ya mimba, kwa mda wa kati ya wiki nane hadi 12 kuambatana na aina inayotumiwa.

Hudungwa takoni, na dawa kuingizwa ndani ya mishipa ya damu na ina uwezo wa kuzuia mimba kwa asilimia 99.

Faida kuu ya njia hii ya sindano, ni kwamba hutakuwa na wasiwasi wa kupata mimba unapofanya ngono, kwa mda wa angalau wiki nane au 12.

Lakini pia ina athari zake - ni kwamba huenda dawa hii ikavuruga mpangilio wako wa kawaida wa kupata hedhi, au ukatoka hedhi kiwango kisicho cha kawaida cha damu, au kwa mda mrefu, au hedhi ikapotea kabisa. Pia inaweza kusababisha kuongezeka uzani.

Homoni au Vidonge vya kupachika chini ya ngozi Hapa dawa kama ile ile ya tembe au chanjo, hutengenezwa na kuwekwa kwenye kifaa cha plastic mfano wa kijiti cha kiberiti. Hupachikwa ndani ya ngozi chini ya kwapa kwa kufanyiwa upasuaji mdogo.

Hii ni njia ya mda mrefu ya kuzuia mimba. Inaaminika kuzuia mimba kwa aslimia 99 na inaweza kufanya kazi kwa mda wa hadi miaka mitatu.

Kuna aina nyenginezo za upangaji uzazi ambazo, ingawa kwa hali ya kawaida hazipendekezwi kwa vijana, si vibaya kuzijua.

Kitanzi au koili, ambacho kwa lugha ya kitaalam kinajulikana kama Intra-uterine device au IUD hutengenezwa kwa plastiki na shaba, na hupachikwa kwenye mfuko wa uzazi na daktari au muuguzi.

Vitanzi huanza kufanya kazi pindi kinapopachikwa. Hufanya kazi kwa njia mbili kuu. Kwanza, kwa kuzuia mbegu za kiume kutangamana na yai, na pili kuzuia yai kukubaliwa kujipachika ndani ya mfuko wa uzazi.

Kitanzi au koili kinakadiriwa kuzuia mimba kwa asilimia 98 na 99. Na pindi kikitolewa asili ya uwezo wa wanamke wa kushika mimba anapofanya ngono, unarudi vilevile.

Hata hivyo moja ya matatizo ya kitanzi ni kwamba vinaweza kuifanya hedhi yako kuwa nzito (damu kutoka nyingi) na pia huenda ukapatwa na maumivu, mara nyengine inaweza kutoka mahali kilipowekwa na kusukumwa nje ya mfuko wa uzazi.

Hivyo ni vyema kumuona daktari mara kwa mara ili kama imechomoka, ipachikwe tena vyema.

Njia asilia ya mpango wa uzazi.

Njia hii inahitaji makini sana kuitumia. Kwani inafanya kazi tu ikiwa wanamke anafanya mapenzi tu wakati ule ambao kiasilia hawezi kushika mimba.

Hii inawezekana kwa kutayarisha tarakimu za siku za hedhi, na kupima hali ya joto la mwili. Njia hii inahitaji uangalifu na uzoufu mkubwa – Kwa vile ni ya kubahatisha haipendkezwi kwa vijana ambao hawako tayari kupata mtoto.

Kwa bahati mbaya watu wengi hudhani kwamba kutoa uume kutoka ukeni, pindi tu kabla ya kufikia kilele cha kumwaga manii, ni moja ya njia za kuzuia mimba.

La sivyo kwani mara nyingi mbegu za kiume hutangulia kutoka hata kabla kufikia kilele katika hali ya kufanya mapenzi. Hivyo basi hata ukitoa uume huenda umeshachelewa!

Vasectomy au Tubuligation, Hii ndiyo njia pekee ya kudumu ya kuzuia mimba.

Vasectomy ni njia ya kumfanya mwanamme asiwe na uwezo wa kutunga mimba ilhali Tubuligation ni njia ya kumfanya mwanamke asiwe na uwezo wa kushika mimba. Hii inafanyika kwa njia ya upasuaji mdogo.

Mwanamme anafanyiwa upasuaji kwa kukata vibomba vinavyopitisha mbegu za kiume kutoka kwenye makende hadi kwenye uume. Upasuaji huu kwa mwanamke unahusisha kukatwa au kuzibwa kwa vibomba vinavyopitisha mayai kutoka kwa ovari hadi kwenye mfuko wa uzazi.

Baada ya upasuaji huu, ni vigumu mwanamke au mwanamme kurudishwa tena katika hali ya mwanzo ya kuweza kuzaa, kwa hivyo njia hii inatumiwa tu kwa sababu za kimatibabu au ikiwa mhusika amefikia uamuzi wa hakika kwamba hataki tena kupata watoto (zaidi).

Kitanzi cha Intra uterine system au IUS - Hiki nacho kimetengezwa kwa plastiki, yenye muundo wa T kikiwa na chechembe za homoni ya progestogen ndani. Kinaweza kupachikwa ndani ya mfuko wa uzazi na daktari au muuguzi.

Kitakapopachikwa, progestogen pole pole huingia ndani ya mwili, na kuzuia mimba katika njia ile ile kama vinavyozuia tembe. Kinaweza kutumika kwa mda wa miaka 5, na kinakadiriwa kuzuia mimba kwa asilimia 99.

Kitanzi cha IUS ni kizuri kwa wale walio na matatizo ya maumivu wakati wa hedhi, kwa sababu kinapopachikwa (ingawa wakati wa kupachikwa huenda ukapata maumivu kidogo) baadaye husaidia kupunguza hedhi au hata kuisitisha kabisa, kutokana na homoni hizo za progestogen.

Madhara ya njia hii nayo ni kama, kuongeza uzani, kuumwa na kichwa, kutokwa na damu kusiko na mpango, na mabadiliko ya majira ya hedhi. Pia inaweza kuchopoka, hivyo itabidi kumwona muuguzi au daktari kila mwezi kuhakikisha kiko sawa.

Ni vyema kujadili juu ya aina mbalimbali za mpango wa uzazi ili kuchagua vyema. Daktari wako au muuguzi atakushauri ipasavyo.

Hata hivo kumbuka njia hizi za kuzuia mimba hutumiwa zaidi kwa minajili ya mpango wa uzazi, hivyo basi haziwezi kukukinga dhidi ya maambukiko ya virusi vya Ukimwi, au magonjwa mengine yayayosambazwa kupitia ngono.

Ni busara kutumia kondom kila unapofanya mapenzi na mtu ambaye afya yake ya uzazi huifahamu - Hakikisha pia unaufahamu vizuri jinsi ya kutumia kondom na unajua jinsi ya kufanya ngono salama kwa jumla.

Chanzo: BBC Swahili
 
Masturbation is the deliberate stimulation of one's own genitals to achieve sexual arousal and pleasure. It is done at least occasionally by a majority of both men and women in one recent national study, 95 percent of men and 89 percent of women reported having masturbated, although more women than men engaged in sexual intercourse before they ever masturbate. Most men who masturbate tend to do so more often than women, and they are more likely to report always or usually experiencing orgasm when they masturbate (80 percent to 60 percent respectively). It is the second most common sexual behavior (coitus being first), even for those who have a regular sexual partner.

Most children – often from the time they are infants onwards – find the occasional stimulation of their genitals sensually pleasing, but do not come to understand this behavior as "sexual" until late childhood or adolescence. During adolescence, the percentage of both sexes who report masturbating increases dramatically, especially for males. Most people continue to masturbate in adulthood, and many do so throughout their lives.

The term masturbation conjures up many myths about its damaging and debasing nature. Its negative images may be traced as far back as the world's Latin origin, masturbate, which is combination of two Latin words, Manus (hand) and stuprare (defile), thus "to defile with the hand." The build-in notion of shame and uncleanliness implied by the defiling portion of the word has remained in the modern translation – even though medical authorities have been in agreement for some time that masturbation causes no physical or mental harm. Nor is there any evidence that children who engage in self-stimulation are in any way harmed by it.

The fact that this important source of sexual pleasure is still regarded by some with guilt and anxiety is partly due to ignorance of the fact that masturbation is not harmful and partly due to centuries of religious teaching that it is sinful. In additional, many of us received negative massages about masturbation from our parents or have even been punished when caught masturbating as children.

The cumulative effect of these influences is usually confusion and guilt that is often difficult to sort out. About the only time masturbation can be harmful is when it becomes compulsive. Compulsive masturbation, like all other compulsive behaviors, is a sign of emotional problem and needs to be addressed by a mental health specialist.
So, contrary to ancient and popular beliefs, masturbation does not lead to unbridled lust, does not make you blind or deaf, give you the flu, drive you crazy, grow hair on your hand, and make you shutter or kill you.

Masturbation is natural and harmless expression of sexuality in both men and women and a perfectly good way to experience sexual pleasure.


In fact, some experts argue that, masturbation improves sexual health by increasing an individual's understanding of his or her own body and of what is erotically pleasing, building self-confidence and fostering self-acceptance. This knowledge can then be carried forth to make for a more satisfying sexual relationship with one's partner, both through each partner's comfort with mutual masturbation, and because of the ability to tell each other what is most pleasing. It is a good idea for a couple to discuss their attitudes about masturbation and to calm any insecurity a partner may have if the other should sometimes favor masturbation over sexual intercourse.

In some relationships, masturbation may be mutually acceptable. Done alone or in the presence of a partner, the act can be pleasing and add to mutual intimacy if it is not experienced as a rejection. Like most behaviors, without proper communication, the act of masturbation can be used as a sign of anger, alienation or displeasure with the way the relationship is progressing.

Overcoming society's negative stereotype and one's personal feelings about masturbation can allow men and women the freedom to explore and experience their own sexuality in a private, satisfying manner.

One word of caution: in keeping with the practices of safer sex, masturbation with a partner can be enjoyable alternative to intercourse, as long as you avoid contact with your partner's semen or vaginal fluids, especially if you have any cutsor sores.
 
Over-masturbation/over-ejaculation/excessive-orgasm can castrate your hypothalamus-pituitary-testicular(ovarian) axis by arterial constriction and inflammatory narrowness in your brain and pelvic organs (testicles, prostate, seminal vesicles, penis, ovaries, uterus, vagina and clitoris) due to excessive release of prolactin, norepinephrine, and epinephrine, excessive binding of norepeinephrine/epinephrine on the alpha-adrenergic receptors, the norepinephrine/epinephrine induced excessive prostaglandin E2, and the post-sex deficiency of nitric oxide and prostaglandins E1/E3 production. Once your hypothalamus-pituitary-testicular(ovarian) axis is locked (tightened up), you will lack of androgen hormones (DHEA, testosterone or/and DHT) to unlock it. In the good old days, we castrated animal testicles by mechanically tightening up the arteries to the testicles. Over-masturbation, over-ejaculation, excessive sex or/and excessive orgasm produce the similar castration effects as the mechanical one. To prevent the castration effects, you have to keep your blood flow to your brain and testicles after having sexual activities and experiencing sex-induced stress. The post-sex androgen hormones and oxytocin in your bloodstream or/and residual semen are essential to keep arterial dilation via the nitric oxide and cGMP release from the vegal/parasympathetic nervous endings , as well as the action of the stress hormones norepinephrine and epinephrine on the sympathetic nervous beta-adrenergic receptors where partially blocking the alpha-adrenergic receptors may be required. Also, excessive prolactin, norepinephrine, epinephrine and/or prostaglandin E2 increase the risk of autoimmune disorders.
Source:http://www.actionlove.com/extra/over.htm
 
Hivi hii ina madhara gani katika uzazi wa mwanaume?inaweza ikakufanya usizae?


Haina madhara ila najua wanaume wengi kama wana mke hajitumi vizuri wanakujaga kuhusudu zaidi nyeto manake wanasema ina starehe zaidi. Kuzaa unazaa kama kawaida. Kamua kaka na pia inasaidia kukuepusha na HIV . Hata sisi wanawake tunayo punyeto yetu
 
Ndizi ni ya kizamani enzi za zile sasa hivi kuna spesho zinauzwa tena zinatumia betri unaweza kuiset ika vibrate, Utamu wake kuliko orijino

hehehe sasa kwa wale wa mkoani hata Matango hakuna na hivyo special hakuna inawalazimu kutumia ndizi iliyo menywa sasa ikikatikia inakuwaje hapo eti?
 
Over-masturbation/over-ejaculation/excessive-orgasm can castrate your hypothalamus-pituitary-testicular(ovarian) axis by arterial constriction and inflammatory narrowness in your brain and pelvic organs (testicles, prostate, seminal vesicles, penis, ovaries, uterus, vagina and clitoris) due to excessive release of prolactin, norepinephrine, and epinephrine, excessive binding of norepeinephrine/epinephrine on the alpha-adrenergic receptors, the norepinephrine/epinephrine induced excessive prostaglandin E2, and the post-sex deficiency of nitric oxide and prostaglandins E1/E3 production. Once your hypothalamus-pituitary-testicular(ovarian) axis is locked (tightened up), you will lack of androgen hormones (DHEA, testosterone or/and DHT) to unlock it. In the good old days, we castrated animal testicles by mechanically tightening up the arteries to the testicles. Over-masturbation, over-ejaculation, excessive sex or/and excessive orgasm produce the similar castration effects as the mechanical one. To prevent the castration effects, you have to keep your blood flow to your brain and testicles after having sexual activities and experiencing sex-induced stress. The post-sex androgen hormones and oxytocin in your bloodstream or/and residual semen are essential to keep arterial dilation via the nitric oxide and cGMP release from the vegal/parasympathetic nervous endings , as well as the action of the stress hormones norepinephrine and epinephrine on the sympathetic nervous beta-adrenergic receptors where partially blocking the alpha-adrenergic receptors may be required. Also, excessive prolactin, norepinephrine, epinephrine and/or prostaglandin E2 increase the risk of autoimmune disorders.
Source:http://www.actionlove.com/extra/over.htm

Asante mkuu,

Unaweza kutuwekea hii habari kiswahili? Wengine tumesomea shule za Lowasa kwenye Kata....tupo Maimuna na hii lugha!
 
Hii kitu kweli inatugusa wote,japo wengine tumefanikiwa kuidhibiti kikukbwa ni kuicontrol akili yako tu kwani kuna vitu vya kufanya iwapo utahisi unataka kupiga nyeto basi kuna namna unaweza kutoka out na washkaji ili kujipotezea au pia kama una muda mzuri daily jaribu kufanya mazoezi ya viungo kwani nayo yanasaidia kuichemsha akili yako. otherwise jitahidi sana usiwe na fikra za ngono ngono ndugu yangu. nakutakia kila la kheri uweze kuacha kwani itakuathiri kama hali itaendelea tena namna hiyo
 
huyu bwana labda wakati wake alikuwa domo zege, au ule mkumbo wa utoto umemkaa sana na alikaa muda mrefu bila kuwa na uhusiano na mwanamke. tatizo jingine huyu bwana anapenda sana kutazama vitu vinavyoashiria ngono. pia kwa nini anashindwa kuacha ni kuwa uchi wa mwanamke hauwezi kuunaba uume kama mkono wake. kwa ushauri zaidi amtafute dokta ndodi. msimshauri aendelee na huo mchezo. eti apigr mbele ya mkewe
 
Ndizi ni ya kizamani enzi za zile sasa hivi kuna spesho zinauzwa tena zinatumia betri unaweza kuiset ika vibrate, Utamu wake kuliko orijino
Sasa hapa badala ya kujadili madhara yake naona ndio kwanza tunachochea iendelee kutumika. Hebu tujadili madhara yake. Mimi naanza:

1. Husababisha mwanaume kufunga goli mapema sana na hivyo kumwacha golikipa akihangaika maana wakati wewe unafika kilele yeye ndio kwanza anaanza.

2...............................................................

3................................................................
 
Jamani mi nimesoma kwa umakini sana na kuelewa kiundani athari mbalimbali za punyeto, zaid nimeona ni za kimaadili na kiimani, sasa mi swali langu ni je, ukiachiliwa upungufu wa kinga za kiume kuna athari nyingine zimeishawahi kuripotiwa na hasa za kiafya? nimeuliza hivyo kwa sababu mimi mwenyewe ni mwanachama mzuri tu wa huu mchezo, punyeto.
ila kinachonishangaza baada ya kumaliza tu hako kamchezo kachafu kichwa huanza kuniuma sana tena sana na kitauma kwa zaid ya wiki, kpona ni mpaka nitumie dawa za maumivu ndo kinaacha kuuma. baada ya hapo nanuia kabisa kuacha nakaa hata miezi miwili, siku tu nikiwa idle na do, na habari ya kuumwa kichwa huanza hapo hapo. nisaidien jamani mi mwenzenu maana hii hali si njema kabisa. nikiwa na shemeji yenu sipati tatizo lolote kabisa, si kuumwa kichwa , kuwahi kumaliza tena ndo huwa nachukua mda mrefu kweli kumaliza kitu ambacho shemeji yenu anakipenda sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom