The Prophet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 682
- 94
asije akawa sumaye - moyo unanindunda na kwa babu mbali
babu yuko sokoni darajani zanzibar anagawa vikombe. wahi sepideh fasta kama mapigo ya moyo yanakudunda.
asije akawa sumaye - moyo unanindunda na kwa babu mbali
Jembe limeingia CHADEMA - SAFI SANA. na tunajua nyuma yake kuna wawili watatu nao watafuata.
Safari moja huanzisha nyingine! & Safari ni Safari no matter what!
Mkuu acha kuchakachua habari hii, tangu mwanzo nimewambia THIS IS NOT A JOKE.
We're now LIVE, I will be updating the first post
Kigogo wa CUF atatangaza kujiunga na CHADEMA. Most probably Prof. Saffari. Ila CHADEMA wangefanya jitihada kumchukua JULIUS MTATIRO wa CUF, huyu ni jembe sana na anafaa kuwa kwenye chama kikuu cha upinzani Tanzania! Prof. Saffari si influential sana.
Kuna tetesi zinadai kutakuwa na jambo jipya ndani ya CHADEMA (wengine wanaita BREAKING NEWS) dakika chache kuanzia sasa.
Tutaendelea kujuzana kinachoendelea. This' not a joke
=============
UPDATES:
Kuna mvua sana jijini Dar, vyombo vya habari kadhaa vimeomba kupewa muda walau ili waandishi waweze kuwasili. Ieleweke kuwa HABARI HII bado itakuwa TETESI, jina na nani anahamia CHADEMA tutafahamu baadae
Invizibo endelea kufuatilia na kutujuza kwa ukaribu
Naanza kuipeleka habari hii kwenye kundi la fools day.
CHADEMA HQ, kwa walio Dar mnaweza kutufahamisha; ila taarifa zinadai kuna mvua kubwa. Wanaendelea kuwasubiria waandishi wa vyombo kadhaa ambao wameomba kupewa muda kwani hali ya hewa ni ya mvua leo
Iliishaisha au wewe bado unaendelea kusherekeasoma tena orijino post. kipengele cha updates.
baada ya hapo utajua kama uendelee na kazi zako za kawaida au uendelee kushereheshwa fools' day hapa jamvini.