Prof. Safari ajiunga CHADEMA; akabidhiwa kadi rasmi leo

Siyo Prof. Safari tena?? I hope ni yeye................... itakuwa big boost kwa CDM!!
Mkuu, hisia zangu zilikuwa hivyo. Thread title itabidilika dakika chache zijazo

Mkuu Invisible wengine hatuajenda kwa babu, BP inapanda na kushuka.
Chonde chonde usijetwambia eti ni 01/04, tafadhali mkuu.
Mkuu, mambo ya April 01 mimi sina. Labda 'one of us' afanye hivyo.
 
Kama ni masuala ya MAJOR POLITICAL RE-ALLIGNMENTS ndani ya nchi hii ni kweli nimekua nikiyatarajia lakini si mapema kiasi hiki. Au ni huyu huyu Kikwete ndio atakua kajisalimisha CHADEMA baada ya kukutwa na masizi ya uchakachuaji kura zetu mwaka janaaa nini vile????

You never know, acha tuvute subira japo dakika 4 sasa yaelekea 40!!!!!!!!!!!!
 
Fools' day inaisha saa 4 mkuu. Dakika 5 zimeshapita, nafahamishwa waandishi kadhaa wapo eneo la tukio. Angalia last post hapo huu nilichodokeza
Tunawasubiria kwa News toka ndani ya CDM kwa nyie mlie karibu.
 
Invisible, haya baba mshindi wewe maana hapa umewakamata kweli watu!
 
Alafu kanenepa. Mwanzini nilidhani J. Komba...

mafisadi walimfanyizia wakafikiri atakonda. the guy is bold and smart. charming face as usual.

alinikumbusha msemo wake wa "kugombana na shehe siyo kugombana na msikiti."
 
Duuh...!kweli ngoja ngoja inaumiza matumbo ila pia haraka haraka haina baraka mimi sijui niegemee lipi.Nasubiri
 
juzi wakati unaripot juu ya sumaye wakati anaonge na waandishi wa habari ...ulilipot vizuri sana maana nilijihisi nimo ndan mle....lakni leo mbona hufanyi hivyo......hata kama ni porojo ni zipi hizo...tuwekee hapa kaka.....na chadema siku zote hawana porojo ki hivyo!!!!
 
Back
Top Bottom