Prof. Safari ajiunga CHADEMA; akabidhiwa kadi rasmi leo

st. louis.....saa nane na nusu usiku,nimepiga box masaa 12,usininyime usingizi babuu!!!
 
Kuna tetesi zinadai kutakuwa na jambo jipya ndani ya CHADEMA (wengine wanaita BREAKING NEWS) dakika nne kuanzia sasa.

Tutaendelea kujuzana kinachoendelea. This' not a joke

invinsibo huwa makini sana ku-update post zako kunapokuwa na live events. mbona hata sasa hauja-update? ina maana bado dakika nne kuanzia sasa?

nina mashaka.
 
Kumbuka pia
Mwendapole hajikwai na subira yavuta kheri.
Nshazi-confirm habari sasa, ila wacha kwanza watangaze wenyewe CHADEMA... CHADEMA wamepata mtu muhimu I may say, nadhani kwa mwendo huu wanaelekea kuzuri (kama mambo hayataharibika safarini)
 
Jamani mbona mnaleta mambo ya fool day hapa jf?
Nashindwa kuamini kama kuna kitu kama hicho halafu hakuna press confer popote leo uongo mtupu niaminini mimi.
 
Kigogo wa CUF atatangaza kujiunga na CHADEMA. Most probably Prof. Saffari. Ila CHADEMA wangefanya jitihada kumchukua JULIUS MTATIRO wa CUF, huyu ni jembe sana na anafaa kuwa kwenye chama kikuu cha upinzani Tanzania! Prof. Saffari si influential sana.
 
Nshazi-confirm habari sasa, ila wacha kwanza watangaze wenyewe CHADEMA... CHADEMA wamepata mtu muhimu I may say, nadhani kwa mwendo huu wanaelekea kuzuri (kama mambo hayataharibika safarini)

Invisible umeanza lini unoko? tupe news mkuu
 
Jamani mbona mnaleta mambo ya fool day hapa jf?
Nashindwa kuamini kama kuna kitu kama hicho halafu hakuna press confer popote leo uongo mtupu niaminini mimi.
MWONGO wewe, dakika 15 zijazo utaelewa kwanini nasema hivi...
 
na wewe invisible umekua kama muvi za kibongo scene moja dakika arba

kama unajua sema tukupe tano kwa kuwazidi chadema spidi... i though JF ni fasta kuliko chochote kile sasa mbona unaslow down?
 
st. louis.....saa nane na nusu usiku,nimepiga box masaa 12,usininyime usingizi babuu!!!

Mex naye kanipiga changa la macho, ati kapigiwa simu na Kubenea. Jamani hii fool's day. Mexes nimeshtuka mkuu. you fooled me and i unfool myself
 
Dah haya mambo ya kubaniana taarifa hata hayapendezi pande hizi maana hii si desturi yetu kabisa...!
 
na wewe invisible umekua kama muvi za kibongo scene moja dakika arba

kama unajua sema tukupe tano kwa kuwazidi chadema spidi... i though JF ni fasta kuliko chochote kile sasa mbona unaslow down?
Nimebadili title, lakini simaanishi NI MOJA KWA MOJA, ni swali ambalo huenda likajibika NDIYO au HAPANA.

Walau nimepunguza wanaodhania ni fools day
 
Safi sana, Prof Safari ni mtu muhimu sana na nadhani ataweza ondoa shaka ya ndugu zetu waislamu kuwa Chadema hakipo nao..
 
Back
Top Bottom