Prof. Safari ajiunga CHADEMA; akabidhiwa kadi rasmi leo

Kigogo wa CUF atatangaza kujiunga na CHADEMA. Most probably Prof. Saffari. Ila CHADEMA wangefanya jitihada kumchukua JULIUS MTATIRO wa CUF, huyu ni jembe sana na anafaa kuwa kwenye chama kikuu cha upinzani Tanzania! Prof. Saffari si influential sana.
wote ni muhimu na influencial... asiye muhimu wala influencial ni maalim seif na lipumba kwa kuuza uhuru wa upinzani zenji
 
BTW who's Prof. Safari? nilitegemea watamchukua Sumaye au Mzee Kitine na ku-tilt political balance nchini!

Chadema wanajaribu sana kuongeza Waisilamu na Wazanzibari kwenye ranks zao ili ku-dilute ajenda ya 'UDINI', hii haiwasaidii sana na imewafanya wapunguze mashambulizi na kurudi kwenye offensive kujibu propaganda za washindani wao.
 
Bado Invizibo......i mean prof. kwenda CDM au huyo mtarajiwa....
 
BTW who's Prof. Safari? nilitegemea watamchukua Sumaye au Mzee Kitine na ku-tilt political balance nchini!

Chadema wanajaribu sana kuongeza Waisilamu na Wazanzibari kwenye ranks zao ili ku-dilute ajenda ya 'UDINI', hii haiwasaidii sana na imewafanya wapunguze mashambulizi na kurudi kwenye offensive kujibu propaganda za washindani wao.

If they are offensive why warry???
Tupe mfano wamemwongeza nani mwislam/mzanzibar as of now 11.00am. Na hata wakiongeza kuna ubaya gani so long as wanaamini ktk kuleta mabadiliko ya kweli nchini.

Huwezi kupunguza mashambulizi kisha ukawa Offensive.
 
BTW who's Prof. Safari? nilitegemea watamchukua Sumaye au Mzee Kitine na ku-tilt political balance nchini!

Chadema wanajaribu sana kuongeza Waisilamu na Wazanzibari kwenye ranks zao ili ku-dilute ajenda ya 'UDINI', hii haiwasaidii sana na imewafanya wapunguze mashambulizi na kurudi kwenye offensive kujibu propaganda za washindani wao.
Ohooo!! Please give me a break, yaani mtu ukipaka rangi nyeupe unaambiwa hapana ungepaka ya bluu ukipaka ya bluu unaambiwa hapana ungepaka nyekundu.
 
Mkuu acha kuchakachua habari hii, tangu mwanzo nimewambia THIS IS NOT A JOKE.

We're now LIVE, I will be updating the first post

CHADEMA HQ, kwa walio Dar mnaweza kutufahamisha; ila taarifa zinadai kuna mvua kubwa. Wanaendelea kuwasubiria waandishi wa vyombo kadhaa ambao wameomba kupewa muda kwani hali ya hewa ni ya mvua leo

tatizo ni kwamba post yako ya mwisho umeibandika saa 4.55 ikiwa na maana umekiuka makubaliano ya kimataifa ya FULU's Day ambayo JF na wewe mwenyewe Invizibo umeyaridhia!!
 
BTW who's Prof. Safari? nilitegemea watamchukua Sumaye au Mzee Kitine na ku-tilt political balance nchini!

Chadema wanajaribu sana kuongeza Waisilamu na Wazanzibari kwenye ranks zao ili ku-dilute ajenda ya 'UDINI', hii haiwasaidii sana na imewafanya wapunguze mashambulizi na kurudi kwenye offensive kujibu propaganda za washindani wao.
Kuongeza waisilamu? Naona unataka kubadili muelekeo wa sridi hii!
 
Kuna tetesi zinadai kutakuwa na jambo jipya ndani ya CHADEMA (wengine wanaita BREAKING NEWS) dakika chache kuanzia sasa.

Tutaendelea kujuzana kinachoendelea. This' not a joke

=============
UPDATES:

Kuna mvua sana jijini Dar, vyombo vya habari kadhaa vimeomba kupewa muda walau ili waandishi waweze kuwasili. Ieleweke kuwa HABARI HII bado itakuwa TETESI, jina na nani anahamia CHADEMA tutafahamu baadae

This thread won't be valid after 10.00am.
IT IS FOOLS' DAY 1st APRIL,2011.
 
CHADEMA HQ, kwa walio Dar mnaweza kutufahamisha; ila taarifa zinadai kuna mvua kubwa. Wanaendelea kuwasubiria waandishi wa vyombo kadhaa ambao wameomba kupewa muda kwani hali ya hewa ni ya mvua leo

Ni kweli Mvua inanyesha sana na kama kawaida imesababisha foleni kubwa sana! Na ukizingatia HQ za CDM zilipo!
 
MHH NAANZA PATA MASHAKA ISIJE KUWA ZITTO ANAFUKUZWA leo

zitto hawezi kufukuzwa kwani siku hizi amekuwa sasa ameacha utoto na kuna mpango wa kumuweka mgombea mwenza 2015 nadhani mnafahamu kama Dr. slaa na zitto wakigombea pamoja CCM ndio bye tena
 
kuna tetesi zinadai kutakuwa na jambo jipya ndani ya chadema (wengine wanaita breaking news) dakika chache kuanzia sasa.

Tutaendelea kujuzana kinachoendelea. This' not a joke

=============
updates:

1) kuna mvua sana jijini dar, vyombo vya habari kadhaa vimeomba kupewa muda walau ili waandishi waweze kuwasili. Ieleweke kuwa habari hii bado itakuwa tetesi, jina na nani anahamia chadema tutafahamu baadae.

2) we are now live. Mvua nafahamishwa imepungua jijini dar

3) sasa anaongea dr. Slaa, anamkaribisha rasmi prof. Safari na anamkabidhi katiba ya chadema

karibu sana prof. Safari kwenye kundi lenye nia na moyo thabiti wa ukombozi wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom