Kizimkazimkuu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2007
- 337
- 234
...Pinda amechuma aibu kubwa katika historia ya utawala wake na hatakaa asahau. Sipati picha what is going through his mind usiku wa leo kwa sababu zifuatazo;-
Anaenda kukutana na madaktari ambao:-
1. Aliwaalika katika kikao Karimjee wakamsusa
2. Akatoa tamko la kuwaamuru warudi kazini/ama wajifute kazi wakamgomea
3. Atalazimika kuzumngumza na Bw. Ulimboka ambaye amemtangaza kuwa sio Daktari
4. Amelazimika kwenda kukutana nao katika ukumbi wa hospitali -CPL