Sina cha kudiscuss na mpemba, peleka pumba zako kwa wapemba wenzako.
Unaweza kudiscuss nini wakati huna hoja zaidi ya kutukana? last resort ya wakosa hoja..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina cha kudiscuss na mpemba, peleka pumba zako kwa wapemba wenzako.
Hivi suluhisho hawana na wanategemea kulipata CPL kwa dakika chache. Wao watoe tamko coz kesho wakikutana wataambiwa tu waende kazini swala linashugulikiwa..
Mazungumzo ya maana hayawezi kufanyika kwa kadiri ya kwamba wahusika wabovu bado wanakalia viti vyao Wizarani! They have to go for any constructive negotiations to occur.
Pasco mwenzako anataka kukutana na watu aliosema wamefukuzwa kazi kesho saa tatu asubuhi kwenye ukumbi wa CPL Muhimbili. Unasemaje hapo?
Wapemba wenzako wakati wa maongezi ya muafka wenu wa kitapeli KARUME aliwapa sharti chama chako cha CUF kwamba ili wafanye mazungumzo ni lazima kwanza CUF imtambuwe KARUME kama Rais halali, na CUF ( MAALIM SEIF ) alilitimiza sharti hilo, leo wewe mnafki mkubwa unakuja kubana pua mbele ya wanaume!! watch out.Watu wenye busara hawana pre condition kwenye mazungumzo...unless kama hawataki ku-end the crisis
Tatizo siyo kukutana na madaktari; mazungumzo yoyote na madaktari hayawezi kuwa na maana kama Waziri wa Afya, Naibu, Katibu na Mganga mkuu bado wapo madarakani. Kanuni ya kwanza ya kujenga imani kwa madaktari ni kwa wanne hawa kuondolewa kwanza. That is a pre-condition ya mazungumzo yoyote ya maana.
Mkuu punguza methanol, naona unaanza kuwa kipofu!
Shart.# 1.selikali isifukuze dr. Hata mmoja. 2. Wizara ya afya ipigwe chini na kusukwa upya ndo wakubali kuingia ktk mazungumzo.
wewe ni dr?anaeenda kukutana na ma dr ni pinda,au hujasoma mada vizuri.
Wapemba wenzako wakati wa maongezi ya muafka wenu wa kitapeli KARUME aliwapa sharti chama chako cha CUF kwamba ili wafanye mazungumzo ni lazima kwanza CUF imtambuwe KARUME kama Rais halali, na CUF ( MAALIM SEIF ) alilitimiza sharti hilo, leo wewe mnafki mkubwa unakuja kubana pua mbele ya wanaume!! watch out.
Mambo ya Tanganyika ni vyema ukatuachia wenyewe, hili sio swala la muungano ndio maana Zanzibar hakuna Madaktari waliogoma.
Madaktari hawana ubavu huo wa kumuwekea PM pre condition; siyo busara mhurumie mtoto wa mkulima kumbuka ni mwenzenu huyu
Bado sijaelewa ni kwanini rais hajaonekana (hata kwa mbali) kutaka kutatua huu mgomo wa madaktari? Anahisi pengine huu mgomo umejaa mitego toka kwa mahisimu wake? Kuna nini hasa mpaka akae kimya kwa jambo kubwa kama hili?
Hujawahi changia kitu substantial kwenye forum zaidi ya mashuzi
Mizengwe Pindisha alipoweka condition yeye alikuwa sawa si ndio?na ni busara gani wewe Topical unayoitaka?nani hakuonyesha busara kati ya madaktari na hao Magamba?kwa taarifa hata kesho condition ziko pale pale,na ya kwanza hao watu wanne,waziri na naibu waziri wa afya waondoke kwanza,katibu mkuu na mganga mkuu waende kwao hapo ndipo mazungumzo yaanze,sio mnaleta ushabiki wenu,ushabiki huu kafanyeni huko kwenye magamba yenu yaliyowashinda kuyaua,si umeona hata huyu Pasco mwandishi anaekana jina lake na taaluma alileta ushabiki humu tukamwambia hao sio ma-teacher subiri mziki akadhani wanatania.Mazungumzo ya wenye busara hayana pre condition imekuwa palestina na Is-hell case??
Pasco ni GAMBA linalojitayarisha kwa 2015,sio jimboni no ispokuwa lina dream za kuwa Magogoni upande wa mawasiliano,hicho ndio kinachomsumbua msukuma mwenzangu huyu.ana dream awe Sylvester wa 2015 akiwa na ELNo ni dalili tu ya mtu anayevuta bangi mbichi, msaidieni wakati kwingine awake tetere mpaka zikauke Ndo avute.
Umeshawahi kupanda Land Cruiser V8? nina uhakika hujawahi kupanda una haki ya kudhani Pinda anaweza kufanya hivyo.Pinda angejiuzulu tu, hakuna jinsi.