Pinda kukutana na Madaktari Dar, Je anaingilia mamlaka ya Bunge?

Mazungumzo ya wenye busara hayana pre condition imekuwa palestina na Is-hell case??
Unataka wazungumze nini! kwani kuna mgomo wa madaktari? mbona madaktari wanachapa kazi kama kawaida. wanaosema kuna mgomo ni wazushi tu.
 
Kuna thread nimesoma inasema kuwa rais Kikwete ameenda Finland. Sikutaka kuiamini hiyo habari lakini inawezekana ni kweli maana sioni sababu ya Waziri mkuu kuacha shughuli za bunge na kuja Dar kama rais angekuwepo nchini!

Pamoja na blunders za watu wengine, naamini kwa dhati kabisa Speaker wa Bunge Anne Makinda anatakiwa awaombe radhi watanzania. Kwa zaidi ya week huyu mama amekataa huu mgogoro usijadiliwe bungeni. Watu wanataabika wengine wamepoteza maisha lakini yeye ameendeleza siasa. Leo kwa mara ya sita Mh Serukamba amesimama kutaka bunge lijadili, naibu katoa maelezo kuwa atapata ushauri ya kamati ya uongozi ya bunge!

Ule ujasiri anaotumia Speaker, naibu wake na wenyeviti kutoa hukumu na hata kutoa nje wabunge wa upinzani mbona unapotea kwa mambo muhimu yanayohusu uhai wa raia wasio na hatia? Kama wameruhusu watu watoe matusi bungeni badala ya kujadili hoja za wananchi wanashindwa nini kuruhusu mjadala kuhusu mgomo wa madaktari?

Si ni PM alisema analazimka kuondoka kwenda kwenye shughuli muhimu za bunge Dodoma? Sasa hizo shughuli muhimu za bunge zimeisha na za madaktari alioshindwa kuwasubiri hadi J3 zimekuwa muhimu?
 
kuna comments (quoting from post number 31) mama Nkya alisema serikali haiwezi kuwafuata madaktari walipo kwani hawana uhakika na usalama wao; questions
kama serikali yenyewe haina uhakika na usalama, nani awe nao?
kama serikali inaogopa kuonana na madaktari, kwasababu za kiusalama, hawa wagonjwa je??
ukiambiwa waziri wako anaogopea usalama wake kukutana na wewe, je ukisema na wewe yeye ni tishio kwa usalama wako utakua umekosea??

Madatkari na wadau wote wa afya, shime, shime.... tuondoleeni hizo takataka hapo wizarani kwanza walichakachua bajeti
 
Duh Mkuu ni kweli madaktari wanaweza kusema hivyo! Mambo yanaweza kuwa magumu kama jiwe. Hili tego ni kama kokoro la kule kwetu Bukoba; Sangara twendee, nembe twendeee, gogogo hayaaa, dagaaa twendeee!

crap.... unfortunately!!
 
Mazungumzo ya wenye busara hayana pre condition imekuwa palestina na Is-hell case??

usituletee cryptococcal wako humu wewe mdini

Pinda kapinda, sasa ni Nyoni kunyonyoka na Mponda kupondeka.....

KWISHA
 
Tatizo siyo kukutana na madaktari; mazungumzo yoyote na madaktari hayawezi kuwa na maana kama Waziri wa Afya, Naibu, Katibu na Mganga mkuu bado wapo madarakani. Kanuni ya kwanza ya kujenga imani kwa madaktari ni kwa wanne hawa kuondolewa kwanza. That is a pre-condition ya mazungumzo yoyote ya maana.

Poti Ulimboka kama unapita hapa chukua hichi "kitini" kama kilivyo!
Hamna mjadala wowote na huyo maandazi mpaka ule uvundo wa wizarani wote usafishwe.
 
Tatizo siyo kukutana na madaktari; mazungumzo yoyote na madaktari hayawezi kuwa na maana kama Waziri wa Afya, Naibu, Katibu na Mganga mkuu bado wapo madarakani. Kanuni ya kwanza ya kujenga imani kwa madaktari ni kwa wanne hawa kuondolewa kwanza. That is a pre-condition ya mazungumzo yoyote ya maana.

Mimi ni mwana....lakini msimamo wangu juu ya hili uko wazi
 
usituletee cryptococcal wako humu wewe mdini

Pinda kapinda, sasa ni Nyoni kunyonyoka na Mponda kupondeka.....

KWISHA
Achana na mpaka poda huyo, hapa tunajadili maisha ya Watanganyika huyo mpemba hausiki kwa lolote kwenye thread hii.
 
Bado sijaelewa ni kwanini rais hajaonekana (hata kwa mbali) kutaka kutatua huu mgomo wa madaktari? Anahisi pengine huu mgomo umejaa mitego toka kwa mahisimu wake? Kuna nini hasa mpaka akae kimya kwa jambo kubwa kama hili?
ana subiri misiba!
 
Nawasikitikia sana wanaokwenda kupata huduma za kiroho kwa mzee wa upako, sasa hivi chanel 10 wanarusha kipindi chake, ndio ameamuwa kuonesha rangi zake halisi kuhusu madaktari, ndio maana nilikuwa najiuliza sana kwa nini mchungaji huyu alikuwa swahiba mkubwa wa Sheikh Yahya? sasa jibu nimelipata njaa na akili haviwezi kwenda pamoja.
 
Binafsi sioni usafi wa Pinda kutatua suala la madaktari maana alishatoa hukumu bila kuwasikiliza, leo atawambia nin?
Naomba madaktari waende wakutane nae ila mjadala wowote uzingatie yafuatayo.
1. hawako tayari kujadiliana nae yy mana hawana iman nae kwa ubabe wake na wamtake ajiuzuru.
2. wazir wa afya ajiuzuru mana hawana iman nae na jins alivoshughulikia issue yao.
3. katibu wizara ya afya na daktar wa wizara nao wajiuzuru na hapo ndo matakuwa tayari kumsikiliza bosi wa pinda. kwa hapo matakua wamefikisha madai yao.
 
Achana na mpaka poda huyo, hapa tunajadili maisha ya Watanganyika huyo mpemba hausiki kwa lolote kwenye thread hii.

Ha ha ha eti maisha ya watanganyika, Tanganyika ipi???

"Nimeshasema madai ya madaktari ni Illusion na inabidi wakae chini wafikiri warudi kwa JOB, waache siasa za chadema kwenye maisha ya wananchi...

Mimi nawa challenge wajenge hospitali yao walipane kama wanavyotaka kama wataweza soko huru...waache wanaorudhirika na mshahara wa serikali wachape kazi..

hawawezi kuweka masharti yasiyotekelezeka..
 
Mazungumzo ya wenye busara hayana pre condition imekuwa palestina na Is-hell case??

Watendaji wakuu wa Wizara ya Afya walishaonyesha kwamba hawana busara, maana walikuwa wanaficha maradhi na sasa kifo kinawaumbua.

Watendaji wakuu wa Wizara ya Afya ni viungo kati ya serikali na madaktari, sasa kama madaktari hawana imani na hao watendaji, unategemea wataweza kufanya mazungumzo ya maana?

Rejea siku Ghasia na Mponda walipoenda kukutana na madaktari, waligoma kusikia chochote kutoka kwa Mponda maana walishampelekea madai yao lakini ama hayafanyii kazi au hayafikishi kunakotakiwa.

Kwa hiyo watendaji hao hawana sifa za kuendelea kuwa viongozi kwa kuwa wale wanao waongoza hawana imani nao na hivyo kuendelea kuwepo wizarani ni kama kuendelea kuwachochea madaktari waendelee kugoma.
 
Tuungane kwenye maandamano ya wanaharakati kuanzia ofisi za LHRC kinondoni kuelekea Daraja la Salenda.

Njoo na bango linaloakisi hisia zako na za watanzania wenzako dhidi ya serikali. Mapinduzi hufanywa na wachache, walio wengi hufaidi jasho la wachache.
 
Kuna thread nimesoma inasema kuwa rais Kikwete ameenda Finland. Sikutaka kuiamini hiyo habari lakini inawezekana ni kweli maana sioni sababu ya Waziri mkuu kuacha shughuli za bunge na kuja Dar kama rais angekuwepo nchini!

Pamoja na blunders za watu wengine, naamini kwa dhati kabisa Speaker wa Bunge Anne Makinda anatakiwa awaombe radhi watanzania. Kwa zaidi ya week huyu mama amekataa huu mgogoro usijadiliwe bungeni. Watu wanataabika wengine wamepoteza maisha lakini yeye ameendeleza siasa. Leo kwa mara ya sita Mh Serukamba amesimama kutaka bunge lijadili, naibu katoa maelezo kuwa atapata ushauri ya kamati ya uongozi ya bunge!

Ule ujasiri anaotumia Speaker, naibu wake na wenyeviti kutoa hukumu na hata kutoa nje wabunge wa upinzani mbona unapotea kwa mambo muhimu yanayohusu uhai wa raia wasio na hatia? Kama wameruhusu watu watoe matusi bungeni badala ya kujadili hoja za wananchi wanashindwa nini kuruhusu mjadala kuhusu mgomo wa madaktari?

Kwa hili huyu mama Anna Makinda utakuwa unamuonea, kwanza hivi BUNGE likijadili itasaidia nini? hebu tujiulize riporti za bunge na mapendekezo yaliyopita kama yalifanyiwa kazi?
1. Richmonnd,- Mapendekezo ya bunge kuhusu waliotufikisha hapo mpaka leo hawajashughulikiwa
2. Jairo- Mapendekezo ya bunge mpaka leo ni zii, mppaka wengine wa retire kwa mmbwewe na kuagwa kwa vishindo.

Sasa kuna umuhimu kweli kwa bunge kujadili hili swala?

Hata hii ya Pinda kukutana na hawa madaktari, hivi akikubaliana nao, and then kesho usikie Ikulu inakana walivyokubaliana mtashangaa?
 
Ha ha ha eti maisha ya watanganyika, Tanganyika ipi???

"Nimeshasema madai ya madaktari ni Illusion na inabidi wakae chini wafikiri warudi kwa JOB, waache siasa za chadema kwenye maisha ya wananchi...

Mimi nawa challenge wajenge hospitali yao walipane kama wanavyotaka kama wataweza soko huru...waache wanaorudhirika na mshahara wa serikali wachape kazi..

hawawezi kuweka masharti yasiyotekelezeka..

Sina cha kudiscuss na mpemba, peleka pumba zako kwa wapemba wenzako.
 
Watendaji wakuu wa Wizara ya Afya walishaonyesha kwamba hawana busara, maana walikuwa wanaficha maradhi na sasa kifo kinawaumbua.

Watendaji wakuu wa Wizara ya Afya ni viungo kati ya serikali na madaktari, sasa kama madaktari hawana imani na hao watendaji, unategemea wataweza kufanya mazungumzo ya maana?

Rejea siku Ghasia na Mponda walipoenda kukutana na madaktari, waligoma kusikia chochote kutoka kwa Mponda maana walishampelekea madai yao lakini ama hayafanyii kazi au hayafikishi kunakotakiwa.

Kwa hiyo watendaji hao hawana sifa za kuendelea kuwa viongozi kwa kuwa wale wanao waongoza hawana imani nao na hivyo kuendelea kuwepo wizarani ni kama kuendelea kuwachochea madaktari waendelee kugoma.

Nafikiri iundwe tume nje ya hao watendaji..ndio kamati ya bunge ilienda kuwasikiliza hawataki kuzungumza..madaktari si kwamba wanamadai bali wako kwenye siasa..hakuna pre condition kwenye mazungumzo na swala si watendaji bali madai ya madakatari ni illusion hata wao wanajua...
 
Back
Top Bottom