watu kuwajibishwa haiitaji 'kushughulikia'Madai yenu tunayashughulikia-Pinda ataanza hivyo kuwaambia
ina maana hakuna maswali ya pupa kwa pupa safari hii??.......................
Waziri mkuuu,asalimu amri yupo dar sasa kusolve issue ya madakatri wote ,internspamoja watumishi wengine muhimbili,si alichimba mkwara atawafukuza sasa asalimu amri
Nitarudi na ujinga wake aliokuwa anautetea muda si mrefu, JF huwa tukwenda kwa evidence.Pasco ni mcheza shoo namba moja kwenye sakata la madaktari, alikata viuno hapa kuliko yondo sister, naona hoi sasa
Pasco ni mcheza shoo namba moja kwenye sakata la madaktari, alikata viuno hapa kuliko yondo sister, naona hoi sasa
Pasco ni mcheza shoo namba moja kwenye sakata la madaktari, alikata viuno hapa kuliko yondo sister, naona hoi sasa
Mi nadhani anakimbia maswali ya papo kwa papo coz, wameipiga danadana hii mada ya madaktari na kesho kwnye maswali ya papo kwa papo wasingeweza kuchomoa! Mjinga hujiona mwerevu mbele ya macho yake mwenyewe kweli naamini CCM hamna wakumwongoza mwingine.Pasco mwenzako anataka kukutana na watu aliosema wamefukuzwa kazi kesho saa tatu asubuhi kwenye ukumbi wa CPL Muhimbili. Unasemaje hapo?
@kimbunga, pinda amekubali kula matapishi yake, na isitarajiwe tena selikali kutumia vitisho kusapress madai ya raia wengi wamejifunya kwamba ukikomaa selikali hnafyata!
I am hoping for the strong stnad of doctors against mama NyoniTatizo siyo kukutana na madaktari; mazungumzo yoyote na madaktari hayawezi kuwa na maana kama Waziri wa Afya, Naibu, Katibu na Mganga mkuu bado wapo madarakani. Kanuni ya kwanza ya kujenga imani kwa madaktari ni kwa wanne hawa kuondolewa kwanza. That is a pre-condition ya mazungumzo yoyote ya maana.
Duh Mkuu ni kweli madaktari wanaweza kusema hivyo! Mambo yanaweza kuwa magumu kama jiwe. Hili tego ni kama kokoro la kule kwetu Bukoba; Sangara twendee, nembe twendeee, gogogo hayaaa, dagaaa twendeee!Hatimaye kaamua kuwa jiwe la chumvi. Uwaziri mkuu mtamu! Yuko tayari akalie mbele ya madaktari aliotangaza kuwafukuza kazi kuliko kujiuzulu. Ngoja madaktari wamtake na yeye ajiuzulu!
Tatizo siyo kukutana na madaktari; mazungumzo yoyote na madaktari hayawezi kuwa na maana kama Waziri wa Afya, Naibu, Katibu na Mganga mkuu bado wapo madarakani. Kanuni ya kwanza ya kujenga imani kwa madaktari ni kwa wanne hawa kuondolewa kwanza. That is a pre-condition ya mazungumzo yoyote ya maana.