Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,997
Mchambuzi I agree kuwa alipaswa kujiuzulu mapema zaidi. But the case against him becomes stronger kama atakuwa 2 and 0. Hii itategemea sana lugha anayoenda nayo kesho.
Cha kusikitisha wakati niko Primary school, waliokuwa wanapata maksi za chini ndio walikuwa wanachaguliwa kwenda chuo cha ualimu, waliopasi vizuri ilikuwa ni Tambaza na Azania na Jangwani, wale wa kuunga unga ilikuwa ni kisutu, zanaki na kibasila.Karibia 70% ya watumishi wa Serikali Tanzania ni waalimu.
..kwahiyo ulazima wa Pinda kujiuzulu akiwa kama kiongozi wa shughuli za serikali Tanzania. Mwanakijiji, kama unakubali kwamba serikali imeshindwa, lazima kuwe na mtu wa kuwajibika kutokana na kushindwa huko.
...Pinda amechuma aibu kubwa katika historia ya utawala wake na hatakaa asahau. Sipati picha what is going through his mind usiku wa leo kwa sababu zifuatazo;-
Anaenda kukutana na madaktari ambao:-
1. Aliwaalika katika kikao Karimjee wakamsusa
2. Akatoa tamko la kuwaamuru warudi kazini/ama wajifute kazi wakamgomea
3. Atalazimika kuzumngumza na Bw. Ulimboka ambaye amemtangaza kuwa sio Daktari
4. Amelazimika kwenda kukutana nao katika ukumbi wa hospitali -CPL
@kimbunga, pinda amekubali kula matapishi yake, na isitarajiwe tena selikali kutumia vitisho kusapress madai ya raia wengi wamejifunya kwamba ukikomaa selikali hnafyata!
Pasco mwenzako anataka kukutana na watu aliosema wamefukuzwa kazi kesho saa tatu asubuhi kwenye ukumbi wa CPL Muhimbili. Unasemaje hapo?
The drama continues Gray's Anatomy or rather Grey's Anatomy as good as it gets/ part II 'The confrotation'
Mkuu Mwanakijiji, n i kwelikwenye hili la mgomo wa madaktari, serikali imeshindwa!. Japo mimi nilikuwa mshabiki wa tishio la kuwafukuza kazi ambalo Pinda alilifanya, sikutegemea hali hii ingefikia hapa!. Tishio lile la kuwafukuza kazi lime backfire!.Pinda anaweza kujiuzulu kama raundi hii atatoka sifuri tena.
will it be ok to talk about grey matter?
mkuu pasco nimefurahi kwamba umekubali kuwa uliipotosha serokali.ubabe,vitisho,mbwembwe na ulaghai isingeweza kuwa suluhisho na hata kikao cha leo hakitafanikiwa kwa kutumia njia hizi.ni lazima serikali kwa upande wake ikubaliane na mambo kadhaa ya madaktari na kwa upande mwingine madaktari ikubaliane na mambo kadhaa ya serikali.Mkuu Mwanakijiji, n i kwelikwenye hili la mgomo wa madaktari, serikali imeshindwa!. Japo mimi nilikuwa mshabiki wa tishio la kuwafukuza kazi ambalo Pinda alilifanya, sikutegemea hali hii ingefikia hapa!. Tishio lile la kuwafukuza kazi lime backfire!.
Kiukweli, hakuna daktari atakayefukuzwa kazi kwa kushiriki mgomo huu na ndio maana sasa Pinda anawaangukia na kuwapigia magoti!.
Pamoja na yote, Pinda hatajiuzulu kwa sababu hatuna utamaduni wa kujiuzulu kwa kuwajibika!. Lowassa alipojiuzulu, hakujiuzulu kwa kuwajibika, bali alijiuzulu ili ku 'save faces'. Kwenye huu mgomo wa madaktari, there is no face to save!.
To be honest, hata mimi niko disapointed na miss handling. Ile Jumatatu asubuhi baada ya Pinda kutangaza wasioripoti wamejifukuzisha, ilitakiwa jioni hiyo watoe idadi, taarifa ya habari ya usiku itangaze wamefukuzwa kazi wangapi, magazeti ya Jumanne asubuhi yangetoka na tangazo la ajira mpya kwa madaktari, huku likiweka kipengele waliofukuzwa jana yake ruksa kuomba upya!, amini nakuambia tusingefika hapa tulipofika, kwa sababu hata hicho kikao cha leo cha Pinda, atatoka bila bila!
My honest opinion, baada ya Pinda kushindwa, Pinda was supposed to be done, sasa alitakiwa kuingia front mwenyewe!.
Pasco.
Reporter wa SerikaliPasco ni nani kwenye sakata la mgomo wa madaktari?