Pinda awasimamisha katibu mkuu wa wizara ya afya na mganga mkuu

Where is it located in the constitution that the PM is authorized to suspend presidential appointee from his post? As far as I understand, Permanent Secretaries and other high state officials alike could only be sent on leave, demoted or forced out of office by the presidential order.
 
Good, ila next time wasisubiri watu wagome ndo wafanye maamuzi. Hii nchi vitu haviendi hadi watu wagome.
Akitoka huko aende na bungeni kumuelimisha Makinda juu ya utendaji wake, maana anatoa majibu utadhani hii nchi ni yake yeye. Sijawahi ona mwana mama mwenye kujiamini kupita kiasi kwenye serikali ya JK kama huyu mama. Sijui kama kweli aliwahi hata kuwaangalia wale wagonjwa waliokuwa wanalia na kulalamika pale muhimbili, au ndo alikuwa amechukia hata hakutaka kuwasha TV.
 
Hapa kuna double standard. Katibu mkuu Nishati na Madini (Jairo) alikosa mamlaka ya kumsimamisha kazi imekuwaje wa Afya aweze? Au Nishati na Madini ina mwenyewe?

The most Pinda anachoweza kufanya ni kumuomba PS akae pembeni. Kama alivyosema wakati wa jairo Ningekuwa nina uwezo na amri yangu ninge..........

Wakurugnezi wenyewe kwenye idara za wizara walioteuliwa na rais PM hawezi kuwafukuza sasa ndio PS.........

Katiba mpya inabidi iangalie kama tuna ulazima wa kuwa na cheo cha PM. asiye na mamlaka ya kitendaji......... Rais anatosha
 
This is for real huyu mama hawezi kusafishika hata akiunda tume ya kujichunguza mwenyewe na mwenyewe awe mjumbe. Uchafu wa akina Jairo na cha mtoto uku compare na huyu mama Nyoni
 
and he was supposd to be the 1st to step down

exactly!! na pia auleze umma amefikia wapi kwenye ule mpango wake wa kuwatimua kazi madr..kama na yeye hakukurupuka kufanya maamuzi ya hovyo na kulifikisha hili jambo hapa,na yeye ni kuwajika
 
Modes nitashangaa kama hutaiiunganisha huu uzi na ule wa LIVE kutoka muhimbili ambao unafull data.
 
Pinda alishasema hana mamlaka hayo sasa ndio marudio ya sinema ya Jairo?
 
Pinda atakuwa amekurupuka kwani hiyo ni presidential appointment. Ukute kaagizwa na JK akamsimamishe naye bila kufikiri na kupitia kanuni katamka kumsimamisha kazi? kama kisheria anaweza kufanya hivyo mbona kwa Jairo alishindwa kama Chakaza alivyo chakaza hapo juu!!

Hapa ndipo ata mimi napopata wasi wasi! Double standard ya hali ya juu!
 
Habari toka mkutanoni kati ya waziri mkuu na madaktari zinasema waziri mkuu kawasimamisha kazi katibu mkuu wa wazara ya afya na mganga mkuu huku akimuachia rais kuwatimua waziri na naibu wake.
Chanzo: madaktari walio katika kikao na waziri mkuu.

watu weweweeeeeeeee weeeeeeee na bado huu ni mwanzo tu
 
isije ikawa ni changa la macho tu ili kuwatuliza watanzania baadae utasikia amerudishwa yatakuwa yale yale ya Jairo.... serikali wakati mwingine wanatufanya sisi kama watoto wadogo vile.
 
hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nyoni wapiiiiiiiiiiiiii kiburi chako?????????????????????
 
Habari toka mkutanoni kati ya waziri mkuu na madaktari zinasema waziri mkuu kawasimamisha kazi katibu mkuu wa wazara ya afya na mganga mkuu huku akimuachia rais kuwatimua waziri na naibu wake.
Chanzo: madaktari walio katika kikao na waziri mkuu.

habari kutoka TBC imethibitisha taarifa ya kusimamishwa kazi kwa katibu mkuu na mganga mkuu.
 
tbc habari saa 7 wameitoa hiyo.katibu mkuu na mganga mkuu wameangukia puaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
TaariFa ya habari ya saa saba TBC 1 inasema wamesimamishwa kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yao kuhusiana na mgomo wa madaktari.

SOURCE: tbc1
 
Leo amepata wapi mamlaka ya kuwasimamisha kama alishindwa kwa Jairo?
Mpeni mtoto wa mkulima sifa where it is due.
In all fairness hii comment is misplaced both in time and character and background scenarios.
 
Back
Top Bottom