ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,076
- 49,779
Miaka 2 ya Unaibu Waziri Mkuu jumlisha miaka 5 ya Full Waziri Mkuu Jumla ni 7.
---
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiongoza kikao kazi ngazi ya Mawaziri kuhusu uendelezaji wa Bandari nchini.
Kikao kazi hicho kimefanyika tarehe 7 Machi, 2024 katika ofisi ndogo ya Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Mawaziri wa Kisekta, Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakurugenzi wa Taasisi kutoka Sekta husika.
My Take
Msije kusema sikuwaambia.