Pinda awasimamisha katibu mkuu wa wizara ya afya na mganga mkuu

nafikiri hii ni hatua ya muda na muhimu katika kuokoa maisha ya wagonjwa but it come to late , ni muhimu kutenga budget kubwa ya afya na kuhakikisha fedha zinafika kwa walengwa kwa wakati, lazima pia serikali ilipe fidia kw a wagonjwa wote waliopoteza maisha kutokana na mgomo kwani vifo vyao vigeweza kuepukika.
 
Back
Top Bottom