TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,891
- 11,288
There are like 20 dr swai in this country dudengoja nimpigie Dr Swai nisikie anasemaje mle kikaoni maana ni vema kuthibitisha maneno kama hayo
There are like 20 dr swai in this country dudengoja nimpigie Dr Swai nisikie anasemaje mle kikaoni maana ni vema kuthibitisha maneno kama hayo
Very true...Huyo ndio Pinda zaidi ya umjuavyo!
isije ikawa changa la macho kama kawaida yao.ngoja tuone kwanza.....Habari toka mkutanoni kati ya waziri mkuu na madaktari zinasema waziri mkuu kawasimamisha kazi katibu mkuu wa wazara ya afya na mganga mkuu huku akimuachia rais kuwatimua waziri na naibu wake.
Chanzo: madaktari walio katika kikao na waziri mkuu.
MAMUZI MAZITO KWENYE HIVYO VIDAGAA..?? Hapo ndo simuelewi PM........ madaktari walishajifukuzisha kazi tangu siku ile aliposema, leo kawasimamisha hao wawili.......... SIONI MAAMUZI MAGUMU YOYOTE HAPO.......... ALIOWASIMAMISHA NI WALAINI TUU.......... AACHE KUHANGAIKA NA VIDAGAA, ASHUGHURIKE NA MIPAPA............
Katika kikakao kinachoendelea sasa Muhimbili Waziri Mkuu amemsimamisha kazi Katibu Mkuu 'NYONI: