PICHA: Yaliyojiri katika mkutano wa CHADEMA Mbeya - Aprili 24, 2013

Duh tema mate chini.Hawewezi kufika hapa mkuu.Unawatakia maradhi mabaya ya moyo muda huu...

Kwa hiyo nyie ni chama cha mikutano ya mihadhara tuu, hata siku za kazi????
Hata nchi tajiri kiasi gani haitoweza kuendelea kama watu wake hawatofanya kazi.
Nyie wanasiasa kula yenu ni kwenye hiyo mikutano ya hadhara na wananchi je?? acheni ubinafsi, mnaojifanya mnawapenda wananchi?? wewe ukitoka hapo kwenye mkutano umepata chakula cha wanao na wananchi je???
 
Kwa hali hii magamba na TISS watazidi kuchanganyikiwa, itabidi watanue tuu, no way
 
Mimi natamani kuacha kazi niwe naongozana nao, tatizo tu Kuna wadogo zangu 3 nasomesha CCM aka Magaidi yameshidwa kuwasomesha yaliwanyima mkopo.

Mwaka kesho wanamaliza wote, na hapo ndo nitarianzisha. Mimi sina hata shida na kazi maana CHADEMA ni kila kitu katika maisha yangu. Mungu ibariki CHADEMA na Mungu waue Magaidi na wezi wa Pembe za ndovu

hapo kwenye red pana mashaka hata mkeo waweza mwambia hayo?
 
Gaidi jipya halijajitokeza huko.Manake kila siku mnafundisha watu ugaidi.Yule wa Arusha polisi wanamtafuta ijapokua kapewa siku tano lakini ameshaharibu Njiro
Mtalalama saana na kutumia kila mbinu hamtaweza lolote CHADEMA imo mioyoni mwa watu, mwenyewe unashuhudia live!!! Poleni magamba propoganda zenu zimechuja, watu wamefunguka, magaidi ni nyinyi mnaopeleka watu Mabwepande kuwauawa lakini Mungu anawaponya, aibu iliyoje???Mwambie Mwigulu anazidi kuchuja atafute pa kukimbilia mapema, kama hana fedha za EPA IMEKULA KWAKE!!

Hivi ccm tangu lini wamefanya mkutano bila kuwatoza hela watanzania? Uliona wapi mikutano ya siasa ikikodi mtu kwa zaidi ya milioni kumi ambazo ni kodi za wananchi (wanachama) hapa tz km siyo magamba? Hebu watanzania tukomaeni tuwaondoe wasiendelee kutugambalaiz bila ridhaa yetu. The gamberlizers (soma gambalaizaz) have committed unspeakeable abominations in front of us all and. No more changa la macho! Hatutaki!
 
Popote pale ambapo POLISI walisimamia sheria na kuacha watu wa-exercise uhuru wao hali likuwa shwari na kila mtu alirudi nyumbani salama na mwenye afya kila siku huku akiwa kapata elimu ya kutosha kichwani mwake. kwa hapa leo BIG UP polisi.

Mkuu utasababisha RPC Diwani arudishwe makao makuu kupangiwa kazi nyingine
 
Kwa hiyo nyie ni chama cha mikutano ya mihadhara tuu, hata siku za kazi????
Hata nchi tajiri kiasi gani haitoweza kuendelea kama watu wake hawatofanya kazi.
Nyie wanasiasa kula yenu ni kwenye hiyo mikutano ya hadhara na wananchi je?? acheni ubinafsi, mnaojifanya mnawapenda wananchi?? wewe ukitoka hapo kwenye mkutano umepata chakula cha wanao na wananchi je???

mkuu mbona yule jangili na mwenzake nepi walikuwa wanawatoa watoto mashuleni na kuwavisha nguo za kijani siku hizohizo za kazi? au CHADEMA ndo hawaruhusiwi kufanya mikutano siku za kazi? KWA MTINDO HUO HATA HIZO EFU 7 ZA LUMUMBA unaweza kuzikosa kama hautakuwa makini na kazi yao waliyokutuma!
 
  • Thanks
Reactions: Pai
Kwa hiyo nyie ni chama cha mikutano ya mihadhara tuu, hata siku za kazi????
Hata nchi tajiri kiasi gani haitoweza kuendelea kama watu wake hawatofanya kazi.
Nyie wanasiasa kula yenu ni kwenye hiyo mikutano ya hadhara na wananchi je?? acheni ubinafsi, mnaojifanya mnawapenda wananchi?? wewe ukitoka hapo kwenye mkutano umepata chakula cha wanao na wananchi je???
Tulia unyolewe siku zenu zinahesabiwa!!!

hiki chama kinanifurahisha mpaka natamani ku reveal my true name. KWELI CHADEMA INAPENDWA KUNA CKU ME NITASHINDWA KUFCHA MAHABA YANGU KWENYE HIKI CHAMA POTELEA MBALI HATA WANIFUKUZE KAZI.
Mkuu hata mimi naona siku zimefikia ukingoni,LIWALO NA LIWE.hata wakinitimua
 
Gaidi jipya halijajitokeza huko.Manake kila siku mnafundisha watu ugaidi.Yule wa Arusha polisi wanamtafuta ijapokua kapewa siku tano lakini ameshaharibu Njiro

Avator yako inareflect kabisa mawazo yako yalivyo.
 
kama mmefikia hapo kila siku ni yamaandamano basi naakika maendekeo ya nchi hayatakuwepo.

Nyie MacCm endeleeni kueneza sera za CHADEMA... Kumbuka Nape, Ki8 wamewatumikisha watoto wadogo wa Shule ya Msingi na Sekondari kwenye GWARIDE la MAPOKEZI yao.
 
Back
Top Bottom