PICHA: Yaliyojiri katika mkutano wa CHADEMA Mbeya - Aprili 24, 2013

Kumbe poliCCM wasipoingilia mikutano ya CHADEMA haihatarishi Amani kwa njia yoyote. Hapa ndo serikali wanapojichora kwamba wao ndo waanzilishi wa vurugu.

MUDA SI MREFU MKUU WA POLICCM MBEYA ATASHUSHWA AWE MKUU WAPLICCM WILAYA, na watendaji wake wa chini wataondolewa kwenye nafasi zao nyeti na kuwa wa kawaida. WAWAULIZE WENZAO WA MWANZA NINI KILITOKEA BAADA YA MKUTANO WA MAFANIKIO WA CDM MWANZA just last year ...
 
Pole yako mimi sio CCM wala CDM, siko hapa kuitetea CCM wala CDM, Bali niko hapa kuwatetea Watanzania wenzangu
Kwa ushauri kwao na kwa CDM kama kweli wanamjali mtanzania, "mikutano ya siasa kwa sasa isiwapotezee muda na kuwa ndio kipaumbele chao badala ya kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya manufaa yao na familia zao" wanasiasa wapo miaka nenda rudi na yanayosemwa majukwaani ni hayohayo hakuna jipya, sasa ya nini kumfurahisha mwanasiasa hali ya kuwa yeye hatolifurahisha tumbo lako.
CCM kutumia wanafunzi pia nalo sio jambo jema japo lina afadhali kwani waliwafuata shuleni sio nyinyi mnawatoa shuleni.
Nahisi utakuwa umenielewa, otherwise mmmhh........,

Wanacdm/wananchi walioenda kwenye mkutano wa cdm Je walisombwa na magari, walilazimishwa kwenda? Au walienda kwa mapenzi yao jiulize, kama ww ni mshauri mzuri Rais wako anakuwa kwenye sikukuu ya mapinduzi ya Zanzibar halafu ghafla bin vuu anasimama na kusema kesho Jumatatu (13/01/14) ni sikukuu. Bila kujali shida itakayotokea siku hiyo, kwani kalenda ya mwaka mzima hakujua kuwa sikukuu ya mapinduzi itaangukia j2 na kupanga mapema kuwa j3 ya tarehe 13/01/14 ni sikukuu. Usiilaumu cdm kwani cdm hawakumlazimisha mtu kwenda kwenye mikutano yao. Watu wanaenda kwa mapenzi yao wakijua mkombozi wao ni cdm.
 
Back
Top Bottom