PICHA: Yaliyojiri katika mkutano wa CHADEMA Mbeya - Aprili 24, 2013

Yaani sasa hivi kila kukicha Chadema ni mikutano ya hadhara tena siku za kazi badala ya kuwapa watu nafasi wafanye kazi ili wapate rizki zao za halali. Halafu mkitoka hapo manalalamika umaskini, kumbe nyinyi wenyewe ndio major reason ya umasikini. Utapigana vipi na umasikini kama hufanyi kazi????

Hivi anachokifanya Kinana na Nape mikoani ni kilimo?
 
mkuu shambali, pole sana! kwani wewe ni mwanajeshi, polisi ama usalama wa taifa? uwe huru mkuu ujumuike katika furaha na watanzania wapenda demockrasia na maendeleo! Ipo siku itafika wala hutakuwa na wasi wasi tena wa kureveal jina lako, na siku ya ukombozi iyaja 2015!
hiki chama kinanifurahisha mpaka natamani ku reveal my true name. KWELI CHADEMA INAPENDWA KUNA CKU ME NITASHINDWA KUFCHA MAHABA YANGU KWENYE HIKI CHAMA POTELEA MBALI HATA WANIFUKUZE KAZI.
 
Last edited by a moderator:

Prof. Slaa akiwa anaihubiri katiba ya CHADEMA


Mkuu Whisper asante sana tunafarijika sana ila mimi sioni kama hicho cheo cha kumwita Slaa Prof kina-sound vizuri huyu ni Dr.Slaa, inatosha. Pia siyo anahubiri bali ANAFUNDISHA maana mahubiri yapo kwa maccm, CDM ni tunawapa wananchi skuli kwa kwenda mbele.
Asante sana.
 

Prof. Slaa akiwa anaihubiri katiba ya CHADEMA


Mkuu Whisper asante sana tunafarijika sana ila mimi sioni kama hicho cheo cha kumwita Slaa Prof kina-sound vizuri huyu ni Dr.Slaa, inatosha. Pia siyo anahubiri bali ANAFUNDISHA maana mahubiri yapo kwa maccm, CDM ni tunawapa wananchi skuli kwa kwenda mbele.
Asante sana.

ni sahihi aliposema kuwa dr slaa anahubiri kwani pamoja na shughuli zake za kisiasa, anatekeleza pia wajibu wake wa kanisa
 
Jamani tuwe wazi nasindwa kuficha Hisia zangu maana jinsi moyo wangu ulivyokuwa na furaha na chama hiki basi tu najua job ndio tatizo lakini aaaaaaaaaaaaaaaaaah kwa chadema lolote na liwe.
 
hiki chama kinanifurahisha mpaka natamani ku reveal my true name. KWELI CHADEMA INAPENDWA KUNA CKU ME NITASHINDWA KUFCHA MAHABA YANGU KWENYE HIKI CHAMA POTELEA MBALI HATA WANIFUKUZE KAZI.

Ha! Ha! Ha! Ha! No subiri kwanza bhana ! Siku hizi hawafukuzi bali wanatoboa Macho !
 
Kilichobaki ni kuwahamasisha wakina mama sasa na mabinti waliofikisha umri kadhaa mimi binafsi nimeshaanza nyumbani na mtaani kwangu...taratibu tu wataelewa somo na kuachana na hawa wafilisi.
 
Kwa hiyo nyie ni chama cha mikutano ya mihadhara tuu, hata siku za kazi????
Hata nchi tajiri kiasi gani haitoweza kuendelea kama watu wake hawatofanya kazi.
Nyie wanasiasa kula yenu ni kwenye hiyo mikutano ya hadhara na wananchi je?? acheni ubinafsi, mnaojifanya mnawapenda wananchi?? wewe ukitoka hapo kwenye mkutano umepata chakula cha wanao na wananchi je???

Kamwe Huwezi kuendelea maishani kwa kuwaza kula tu ! Maisha ni zaidi ya tumbo lako , Masikini mkubwa we !
 
mkuu mbona yule jangili na mwenzake nepi walikuwa wanawatoa watoto mashuleni na kuwavisha nguo za kijani siku hizohizo za kazi? au CHADEMA ndo hawaruhusiwi kufanya mikutano siku za kazi? KWA MTINDO HUO HATA HIZO EFU 7 ZA LUMUMBA unaweza kuzikosa kama hautakuwa makini na kazi yao waliyokutuma!

Pole yako mimi sio CCM wala CDM, siko hapa kuitetea CCM wala CDM, Bali niko hapa kuwatetea Watanzania wenzangu
Kwa ushauri kwao na kwa CDM kama kweli wanamjali mtanzania, "mikutano ya siasa kwa sasa isiwapotezee muda na kuwa ndio kipaumbele chao badala ya kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya manufaa yao na familia zao" wanasiasa wapo miaka nenda rudi na yanayosemwa majukwaani ni hayohayo hakuna jipya, sasa ya nini kumfurahisha mwanasiasa hali ya kuwa yeye hatolifurahisha tumbo lako.
CCM kutumia wanafunzi pia nalo sio jambo jema japo lina afadhali kwani waliwafuata shuleni sio nyinyi mnawatoa shuleni.
Nahisi utakuwa umenielewa, otherwise mmmhh........,
 
Ama kweli Chura ukimpiga teke Unamuongezea mwendo...Hawa jamaa huwa hawapigi mahesabu ya faida na hasara kwa Lisu et al kuwa nje ya bunge?...
 
kama mmefikia hapo kila siku ni yamaandamano basi naakika maendekeo ya nchi hayatakuwepo.

You have said well mkuu, kama maendeleo yoyote ile ingekuwa inaletwa kwa maandamano na mikutano ya hadhari badala ya watu wake kufanya kazi basi Chadema kingekuwa ni chama bora kushinda vyote duniani, sasa kinyume chake jeee,.... jibu wanalo wenyewe.
Hawa ndio maadui wa maendeleo kwa kutokujijua wao wenyewe au kwa makusudi just for their selves interests only.
 
Yaani sasa hivi kila kukicha Chadema ni mikutano ya hadhara tena siku za kazi badala ya kuwapa watu nafasi wafanye kazi ili wapate rizki zao za halali. Halafu mkitoka hapo manalalamika umaskini, kumbe nyinyi wenyewe ndio major reason ya umasikini. Utapigana vipi na umasikini kama hufanyi kazi????
Uzuri hii mikutano hufanyika jioni na kumbuka Mbeya asilimia kubwa ni wakulima plus wafanyabiashara.
Kwa mkulima shamba ni asbi kwa mfanyabiashara ratiba iko flexible kuhudhulia pia kwa wafanyakazi wa serikali hutoka tisa na nusu so mkutano wasaa kumi jioni anaweza hudhuria.
Pia kumbuka kuna jobless Lukuki(matokeo ya sera hovyo za CCM za kuua viwanda badala y kufufua ie HI SOAP,ZZK,MBEYA TEXTILE) ambao wao wako flexible 100%
 
Mungu awabariki sana, chadema ndio suluhisho la umaskini wa kujitakia unao endelezwa na ccm
" ukishabikia ccm ww ni maiti inayotembea"
tuungane na wazalendo wote kuikataa udhalimu wa ccm
"kinana acha kufadhili waarabu kumaliza wanyama wetu
kinana ni janga la taifa jangili namba moja
"
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom