PICHA: Yaliyojiri katika mkutano wa CHADEMA Mbeya - Aprili 24, 2013

Whisper

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
502
207
P4240011.JPG

Wanachi makini wakiwasikiliza kwa makini makamanda wao.
P4240013.JPG

Hapa ni salamu za Peoples Power
P4240007.JPG

Sehemu ya pili ya uwanja wa Slaa ikiwa imesheheni wananchi wa Mbeya
P4240008.JPG
Prof. Slaa akiwa anaihubiri katiba ya CHADEMA
P4240017.JPG

Makamanda wakisalimiana na wanachi mara baada ya mkutano
P4240025.JPG
P4240022.JPG
Shughuli ikawa wakati wa kutoka, magari ya makamanda yaringirwa na wanachi na kusindikizwa mpaka hotelini umbali wa kama KM 3 hivi.
P4240026.JPG
Jamaa zetu hawakuwa na la kufanya, kwani bado wanaukumbuka muziki wa wana Mbeya. Waliruhusu hali hii iendelee wananchi wafurahia wana mapunduzi wao.
 
Gaidi jipya halijajitokeza huko.Manake kila siku mnafundisha watu ugaidi.Yule wa Arusha polisi wanamtafuta ijapokua kapewa siku tano lakini ameshaharibu Njiro
 
hongereni kwa kazi makamanda tuko pamoja na tunawaombea kila aina ya sala mungu awalinde nchi hii bila nyinyi sasa hivi tungekuwa tunanyewa kichwani na akina wasira na ngugai na mamake anna
 
hiki chama kinanifurahisha mpaka natamani ku reveal my true name. KWELI CHADEMA INAPENDWA KUNA CKU ME NITASHINDWA KUFCHA MAHABA YANGU KWENYE HIKI CHAMA POTELEA MBALI HATA WANIFUKUZE KAZI.

Mkuu wewe ni waziri au mkuu wa jeshi?
 
hiki chama kinanifurahisha mpaka natamani ku reveal my true name. KWELI CHADEMA INAPENDWA KUNA CKU ME NITASHINDWA KUFCHA MAHABA YANGU KWENYE HIKI CHAMA POTELEA MBALI HATA WANIFUKUZE KAZI.

Sasa na wewe hiyo kazi yako yakutembeza mbege akufukuze nani,uwanja umejaa vipakiti vya viroba vilivyotumika hata hawajui makengeza na wapambe wake waliongea nini
 
Kumbe poliCCM wasipoingilia mikutano ya CHADEMA haihatarishi Amani kwa njia yoyote. Hapa ndo serikali wanapojichora kwamba wao ndo waanzilishi wa vurugu.
 
Usiwape faida magamba vumilia bado miaka miwil tu tutapata uhuru kuabudu na kuwa mwanachama wa chama chochote bila kuogopa maana sera ya cdm serikali haina chama bali wataalam na bunge si la chama bali la Taifa na TISS ni kwa kulinda Taifa na maliasili si kwa mafisadi .pamoja tunajenga nchi yetu Tanzania
hiki chama kinanifurahisha mpaka natamani ku reveal my true name. KWELI CHADEMA INAPENDWA KUNA CKU ME NITASHINDWA KUFCHA MAHABA YANGU KWENYE HIKI CHAMA POTELEA MBALI HATA WANIFUKUZE KAZI.
 
hiki chama kinanifurahisha mpaka natamani ku reveal my true name. KWELI CHADEMA INAPENDWA KUNA CKU ME NITASHINDWA KUFCHA MAHABA YANGU KWENYE HIKI CHAMA POTELEA MBALI HATA WANIFUKUZE KAZI.

Mimi natamani kuacha kazi niwe naongozana nao, tatizo tu Kuna wadogo zangu 3 nasomesha CCM aka Magaidi yameshidwa kuwasomesha yaliwanyima mkopo.

Mwaka kesho wanamaliza wote, na hapo ndo nitarianzisha. Mimi sina hata shida na kazi maana CHADEMA ni kila kitu katika maisha yangu. Mungu ibariki CHADEMA na Mungu waue Magaidi na wezi wa Pembe za ndovu
 
Mbeya mmewatoza tsh ngapi?

Utakalia hayohayo na CHADEMA inapeta. Roho inakuuma maana hata kama hauna akiri ila kaubinadamu unako. Unaona watu hao siyo mapunguani kama wewe. Unaurgue bila hata kujipa time ya kufikiria unachokinena. CHADEMA inapendwa mpaka maporini. Hadi nyani, Tembo, Twiga nk hawaitaki CCM n wanaitaka CHADEMA
 
Back
Top Bottom