Jamani nimefuatilia picha zoote zilizopigwa msibani hadi kwenye blog nyingine pia nikasikia majina ya viongozi wengi yakitajwa .......hasa wale wa CDM na CCM lakini sikumuona wala kumsikia Shibuda yuko wapi?
Ndiyo alipaswa kuwepo kwani yeye ni mmoja ya wabunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania, na haswa wa Chadema sasa unaulizaje ikiwa kama alitarajiwa kuwepo au la??!!Fishy, very fishy!
Kumbe alipaswa kuwepo?
Mlongu kawonji nyanyi,kulongolongola hela mlongu vosi tukufuata.
Fishy, very fishy!
Kumbe alipaswa kuwepo?
Wewe ukimuuliza Shibuda wapo watakaomuuliza Lissu. Hebu tuache hizi siasa za nani kaenda wapi, tuangalie nani anafanya nini kulikomboa Taifa hili. Kuhudhuria msibani hakukuanyi wewe uonekane upo karibu sana au mbali sana na marehemu, maana hata wachawi huwa wanahudhuria kwenye misiba ya victim wao na kulia kwa uchungu.
Kama mtu hakujaaliwa kufika basi tumuachie yeye. Tukiendekeza hizi siasa za kinafiki za photo OP hatutafika mahali zaidi ya kubakia na unafiki wetu huku nchi ikienda kinyumenyume.
nitatuma nyingine mvua imeleta taabu kidogo wakuu huku ifakara