Picha: Mazishi ya Regia Mtema Ifakara

Jamani nimefuatilia picha zoote zilizopigwa msibani hadi kwenye blog nyingine pia nikasikia majina ya viongozi wengi yakitajwa .......hasa wale wa CDM na CCM lakini sikumuona wala kumsikia Shibuda yuko wapi?

Wewe ukimuuliza Shibuda wapo watakaomuuliza Lissu. Hebu tuache hizi siasa za nani kaenda wapi, tuangalie nani anafanya nini kulikomboa Taifa hili. Kuhudhuria msibani hakukuanyi wewe uonekane upo karibu sana au mbali sana na marehemu, maana hata wachawi huwa wanahudhuria kwenye misiba ya victim wao na kulia kwa uchungu.

Kama mtu hakujaaliwa kufika basi tumuachie yeye. Tukiendekeza hizi siasa za kinafiki za photo OP hatutafika mahali zaidi ya kubakia na unafiki wetu huku nchi ikienda kinyumenyume.
 
Fishy, very fishy!

Kumbe alipaswa kuwepo?
Ndiyo alipaswa kuwepo kwani yeye ni mmoja ya wabunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania, na haswa wa Chadema sasa unaulizaje ikiwa kama alitarajiwa kuwepo au la??!!
 
Tutaendelea kumuenzi kwa mema yake yote mimi nikiwa msitari wa mbele katika kuendeleza yale aliyotuachia dada yetu.

R.I.P Regia
 
alikuwepo karimjee na alitajwa katika list ya wajumbe wa spika waliolipwa posho kuhudhuria msiba, ameufyata baada ya kuona yaliyowakuta wakina kafulila na Hamad, ameona akae kimya kwanza sijui kawashitukia wakina ndugai na CCM yao kwamba hawana ubavu wa kumhakikishia ubunge? amekumbuka walishatuonya kwamba kunguru hafugiki sisi tukavutiwa na lafudhi ya kizanzibari tukaona tumepata mashikolo mageni uwiiiiiii
 
With due respect R.I.P Regia tutakumbuka,

Ila hizi suti za kina mbowe na zitto wanakuwa wanazo akiba, zikizubiri msiba au? just curious..zinaonekana mpya kabisa..
 
Hata hivyo Shibuda yupo msibani kaketi nyuma ya sendeka row alo Kafulila
Wewe ukimuuliza Shibuda wapo watakaomuuliza Lissu. Hebu tuache hizi siasa za nani kaenda wapi, tuangalie nani anafanya nini kulikomboa Taifa hili. Kuhudhuria msibani hakukuanyi wewe uonekane upo karibu sana au mbali sana na marehemu, maana hata wachawi huwa wanahudhuria kwenye misiba ya victim wao na kulia kwa uchungu.

Kama mtu hakujaaliwa kufika basi tumuachie yeye. Tukiendekeza hizi siasa za kinafiki za photo OP hatutafika mahali zaidi ya kubakia na unafiki wetu huku nchi ikienda kinyumenyume.
 
Jamani mbona Mzee wa ujira wa Mwia yupo? Yupo jirani na Kafulila. R.I.P Dada Regia
 
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php


nitatuma nyingine mvua imeleta taabu kidogo wakuu huku ifakara

samahani finest yaani umetufumbua mambo mengi
angalia picha ya kwanza utaona kuna mishenzi mingine aikutakiwa hata kukaa bungeni ,..nikimaanisha bungeni inalala na hata misibani aioni aibu inalala mbele za wakezao

picha ya tatu utaona abbas mtemvu asivyo na adabu kwenye misiba anacheka kama kuna mtu kamshika makalio
najaribu kuvuta lenzi ya kamera yangu kwenye picha yako kujua nani alikuwa nyuma yake si unajua mtoto wa ilala hayo mambo kwao hamu...naomba ulie karibu nae mwambie ajiheshmu next tym atutampeleka kwenye misiba akalambe per diem awwe na adabu usikumwema
 
Hivi kakangu kafulila mara ya mwisho kwenda kanisani lini naona anajitahidi kweli kusoma nyimbo at least mungu amkumbuke kwenye vita yake na mbatia ...david usikate tamaa mungu yuko nawe broda ..ameshindwa makamu wa rais wa zanzibar sembuse mfuga mbwa mwenzangu kutoka kiraracha wala wasikumbusue
 
34 Reactions
Reply
Back
Top Bottom