The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
- Thread starter
- #81
jmushi1 we mchokozi sana aisee...hahahahaha..lolLol! I like people who can read btn the lines.
JF juu kabisa.
jmushi1 we mchokozi sana aisee...hahahahaha..lolLol! I like people who can read btn the lines.
JF juu kabisa.
Wewe uliiwakilisha vizuri zaidi. . .View attachment 45694
Nilifurahi kumuona huyu mtu amevaa hii tshirt huko Ifakara JF iliwakilishwa vizuri..
samahani finest yaani umetufumbua mambo mengi
angalia picha ya kwanza utaona kuna mishenzi mingine aikutakiwa hata kukaa bungeni ,..nikimaanisha bungeni inalala na hata misibani aioni aibu inalala mbele za wakezao
picha ya tatu utaona abbas mtemvu asivyo na adabu kwenye misiba anacheka kama kuna mtu kamshika makalio
najaribu kuvuta lenzi ya kamera yangu kwenye picha yako kujua nani alikuwa nyuma yake si unajua mtoto wa ilala hayo mambo kwao hamu...naomba ulie karibu nae mwambie ajiheshmu next tym atutampeleka kwenye misiba akalambe per diem awwe na adabu usikumwema
Mkuu nitakutafutaTunashukuru sana wadau kwa update.. the Finest is the King!
Lol..pamoja mkuuTF sikujua nawe ni mtaalam wa picha..Hongera na pole kwa kazi kubwa uliyoifanya..
Msiwe mnapenda kuongea vitu ambavyo hamna uhakika navyo (porojo) ni mara mia kuuliza kwanza kuliko kuongea kitu ambacho hauna uhakika nacho.Mmetupa update,lakini kuna bias ya taarifa na picha za tukio hili. Mazishi haya yalihudhuriwa na Rais,mh.Jakaya Kikwete,lakini hatuoni picha tangu alipowasili hadi mazishi yanamalizika. Watanzania kwa mila na desturi hata kama kuna ugomvi,msiba hutuunganisha,iweje leo rais wa nchi ahudhurie mazishi ya mbunge wa nchi anayoingoza,then presence yake ipewe attention ndogo kiasi hichi.! Hatuwezi kuwa biased hata kwa mambo ambayo hayana credit kisiasa kama msiba. Jirekebisheni!!!
Pili,aibu nyingine ni hii ya Dr Slaa kwa mara nyingine tena kuendelea kuonyesha chuki na uhasama alionao dhidi ya Rais Kikwete! kinachomkimbiza kwa kumkwepa rais kila linapotokea tukio la kuwakutanisha ni nini? Mwenye clue ya hasa kwa nini Slaa humkimbia JK anijuze tafadhali..
Kweli The Finest we kiboko umenifanya nione kama nilikuwepo, ubarikiwe tena na tena Mungu akuzidishie ufanikiwe kila uligusalo!!!!!!!!