Picha: Mazishi ya Regia Mtema Ifakara

Tunashukuru kwa picha, regia RIP

hivi hakuna picha za ndugu zake maana mie nimeona za vyama vyama tu. au minezimiss maana nyingi kama sio zote hakuna iliyosema familia or hata kwenye magazeti.
 
Safari njema kamanda wetu Bi.Regia ipo siku tutakutana ahela,Tanzania na dunia nzima kwa ujumla tutakukumbuka milele and your spirit will always be with us!
 
namuona mzee wa vijimambo hapo

attachment.php
 
Yet, another victim of road accidents.....

it is very sad, but this is the moment of truth.
 
Tangulia Regia, sote tu njiani. Pamoja na huzuni uliyotuachia, lakini pia umetuachia mfano mzuri wa mtu wa watu, aliejituma bila kusukumwa na mpenda maendeleo. Mtu asiye mwoga wa kusema na kutenda anachokiamini, yaani mtu asiye mnafiki. Ni nadra sana kuwapata watu wa aina hii katika dunia hii ya leo, hasa mtu mwenyewe akiwa amejiegemeza kwenye siasa.

Kimwili haupo pamoja nasi, lakini mfano uliotuachia utaendelea kuishi nasi milele, na kama tuna akili, utakuwa umefanya kazi kubwa sana ya kutengeneza kizazi chetu. Asante kwa hilo
 
Jamani nimefuatilia picha zoote zilizopigwa msibani hadi kwenye blog nyingine pia nikasikia majina ya viongozi wengi yakitajwa .......hasa wale wa CDM na CCM lakini sikumuona wala kumsikia Shibuda yuko wapi?
 
Back
Top Bottom