Picha: Mazishi ya Regia Mtema Ifakara

Rejao mpaka azione za Michuzi....

Mazishi ya Marehemu Regia Mtema mjini Ifakara, mkoani Morogoro





Waombolezaji mazishini







Viongozi wa CHADEMA

Wazazi wa marehemu

Wazazi wa Marehemu wakiweka udongo kaburini

Baadhi ya waombolezaji wakiwa kwenye mazishi ya Marehemu Regia Mtema mjini Ifakara




Baadhi ya wabunge toka vyama mbalimbali wakiwa mazishini

Vijana wa ulinzi wa CHADEMA wakithibiti umati wa waombolezaji

Umati wa waombolezaji makaburini

Mwili wa marehemu ukiwasili makaburini

Vilio na majonzi

Pacha wa marehemu akibembelezwa


Kwaya ikiimba mapambio




Wabunge wa vyama mbalimbali wakisubiri mwili uwasili kwa mazishi

Vijana wa ulinzi

Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akiwasili

Jeneza lenye mwili wa marehemu likishushwa makaburini

Rais Kikwete akiongea na Spika Anne Makinda. Pembeni yao ni Naibu Spika Job Ndugai na Mh Hawa Ghasia

Mdogo wa marehemu

Wanahabari wakirekodi tukio hilo




Salamu za Shukrani toka kwa msemaji wa familia




Ibada ya mazishi ikiendelea




Spika Anne Makinda akiweka udongo kaburini

Naibu Spika akiweka udongo kaburini

Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akiweka udongo kaburini

Sehemu ya waombolezaji

Karibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Wilbroad Slaa akijiandaa kuweka shada ya maua kaburini
Pictures can talk louder than words, blessings!!!!!!!!!! Well done the Finest!!!!!!!!

 
Pole sana Finest maana jana nilikuona unaangaika kupata umeme wa kututumia hizo picha.Mshukuru sana Sr. wa pale ST.Francis Hostpitali kwa kukuruhusu kutumia umeme wao pale Canteen kwao..Kazi umefanya
 
Pole sana Finest maana jana nilikuona unaangaika kupata umeme wa kututumia hizo picha.Mshukuru sana Sr. wa pale ST.Francis Hostpitali kwa kukuruhusu kutumia umeme wao pale Canteen kwao..Kazi umefanya
Si ungemsalimia mkatambulishana mkaacha kuwa kama mnaogopana vile JF lazima tuwe na mshikamano hata kama tupo on different sides kama mimi na Rejao lakini ni wana JF!!!!!!!! Labda kama ulikuwa na pressing issues hapo sawa tuu, lakini JF imetuleta karibu saana tusipoteze hizo opportunities !!!!

 
Alikuwa mtanzania aliyependwa na watanzania wengi, ona hata Ole Sendeka naye yupo !! na wengine wengi tu mpaka huko Ifakara, huu kweli ni upendo kwake bila kujali kitu chochote zaidi ya UTU. kwaheriri dada Regia
 
The Finest ubarikiwe sana mkuu kwa kutufanya tusiokuwepo msibani tujione kama vile tulikuwepo.
pamoja sana mkuu.
 
Si ungemsalimia mkatambulishana mkaacha kuwa kama mnaogopana vile JF lazima tuwe na mshikamano hata kama tupo on different sides kama mimi na Rejao lakini ni wana JF!!!!!!!! Labda kama ulikuwa na pressing issues hapo sawa tuu, lakini JF imetuleta karibu saana tusipoteze hizo opportunities !!!!


Nilikuwa na issue nzito kidogo.Lakini kwa kuonyesha ushirikiano bila yeye kujua alipewa umeme na baada ya hapo kunamtu alitaka walipe huo umeme mimi nikaambia achana na hiyo habari hawa ni watu muhimu kutupa habari za msiba huo.Nita mp Finest atakumbuka sana nilivyokuwa
 
Tangulia Regia, sote tu njiani. Pamoja na huzuni uliyotuachia, lakini pia umetuachia mfano mzuri wa mtu wa watu, aliejituma bila kusukumwa na mpenda maendeleo. Mtu asiye mwoga wa kusema na kutenda anachokiamini, yaani mtu asiye mnafiki. Ni nadra sana kuwapata watu wa aina hii katika dunia hii ya leo, hasa mtu mwenyewe akiwa amejiegemeza kwenye siasa.

Kimwili haupo pamoja nasi, lakini mfano uliotuachia utaendelea kuishi nasi milele, na kama tuna akili, utakuwa umefanya kazi kubwa sana ya kutengeneza kizazi chetu. Asante kwa hilo

Naunga mkona Ta Mkurasi
 
DSC_0622.JPG

Mbunge Sugu naye alikuwepo
 
Nilikuwa na issue nzito kidogo.Lakini kwa kuonyesha ushirikiano bila yeye kujua alipewa umeme na baada ya hapo kunamtu alitaka walipe huo umeme mimi nikaambia achana na hiyo habari hawa ni watu muhimu kutupa habari za msiba huo.Nita mp Finest atakumbuka sana nilivyokuwa
Nimeipenda hiyo kumbe hata Ifakara JF mpo, ahsante kwa msaada wako Mkuu, ubarikiwe !!!!!!!!!!!!

 
Asante kwa taarifa nalia tangu nimesikia msiba sina raha natamani wangemzika dar asante endelea kutujuza wana JF tuko pamoja, asante mungu kwa kila jambo,ila nauuliza kwanini sasa mungu isiwe wakati mwingine ikawa sasa? kwa nini ulimruhusu mauti amvamie regia kwanini munguuuuuuuu!!!!!! twahuzunika sanaaa nawe bwana mungu wajua lakini kwa haya yote shukuriwa kwa matendo memo,
 
j1.jpg
Rais Jakaya Kikwete akijiandaa kuweka shada la Maua kaburini wakati wa mazishi ya Marehemu Regia Mtema aliyoongoza mjini Ifakara mkoani Morogoro leo.
http://2.bp.blogspot.com/-HnFQEwDGdqg/Txb99zdLiMI/AAAAAAACBdo/4THYBvprRi8/s1600/j1.jpg

Rais Jakaya Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Regia Mtema ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Jimbo la Morogoro aliefariki kwa ajali ya gari maeneo ya Ruvu mkoani Pwani hivi karibuni .Rais Kikwete ameongoza mamia ya Waombolezaji wa mji wa Ifakara kwenye mazishi hayo leo ambapo pia viongozi mbali mbali walishiriki.

Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu Regia Mtema aliezikwa leo Ifakara Mkoani Morogoro.

http://4.bp.blogspot.com/-sVbnlJhzyao/Txb-MdRZ78I/AAAAAAACBeI/gHejRhSTxYM/s1600/j6.jpg
Rais Jakaya Kikwete akiwa kwenye mazishi ya Marehemu Regia Mtema yaliyofanyika Ifakara leo.Wengine pichani ni Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda (pili kulia),Naibu Spika wa Bunge,Mh. Job Ndugai (kulia),Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh. Joel Bendera (pili kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni,Mh. Freeman Mbowe, na kulia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh Zitto Kabwe.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
16511139-2304866076076355369
 
Back
Top Bottom