[PICHA] Maandamano ya CHADEMA Mkoa wa Mara

Wakuu hii ishu ya ku-ignore wapuuzi kama jeykey, malaria sugu nilileta jamvini wakati wa kampeni lkn hatukuifanyia kazi. Nashukuru tumlitambua na ni vyema tukaendelea na mkakati huu. Asanteni.
 
Wakuu hii ishu ya ku-ignore wapuuzi kama jeykey, malaria sugu nilileta jamvini wakati wa kampeni lkn hatukuifanyia kazi. Nashukuru tumlitambua na ni vyema tukaendelea na mkakati huu. Asanteni.
Nimekusikia mkuu ngoja nimpotezee nilitaka niende naye sambamba.
 
Nawaomba wana jamvi, watakapo ingia wale ndugu zetu wa mlengo wa kushoto tusipoteze muda kujibisha nao...Asanteni
Mwalimu JKN alisema " ...DHAMBI YA UBAGUZI NI MBAYA SANA..." Kwanini JF tuanze kubaguana? shiiit!
 
Remember you can't put your eggs in one bascket! Hon. Zitto & Hon. Mnyika are attending to other national building errands, usishangae kutowaona au kutowasikia.

Lakini kwanini kila event kama hizi wao ndo wawe na mambo mengine ya kufanya?
Arusha,mwanza,na leo mara wao tu ndo wana mambo ya kufanya tofauti na kuandamana?
Ndo kusema the things that they are busy with no one else can do them except the two?
Mmmmmmh,kazi kweli kweli
 
Mh Regia, tunaomba uendelee kutujuza na pia wadau wengine tupatieni updates!
 
Lakini kwanini kila event kama hizi wao ndo wawe na mambo mengine ya kufanya?
Arusha,mwanza,na leo mara wao tu ndo wana mambo ya kufanya tofauti na kuandamana?
Ndo kusema the things that they are busy with no one else can do them except the two?
Mmmmmmh,kazi kweli kweli
Na wewe kwanini kila event unawataka wao tu wawepo kwani wengine hawatoshi au una lengo gani.
 
Hivi Kikwete huwa anatembea na wabunge wote 200.

Tumeambiwa wabunge wengi wa chadema wana zunguka katika maandamano haya ya nchi nzima,tatizo kuna kitu ambacho ni kikubwa tu nahisi kimo ndani ya chadema,haiwezekani kila siku,kila event kubwa zitto hayumo,!

Mficha ugonjwa,........
We are watching
 
Na wewe kwanini kila event unawataka wao tu wawepo kwani wengine hawatoshi au una lengo gani.

Nataka kujua kwanini wengine wawepo na wao wasiwepo,siwezi kumuongelea shubunda maana yeye moja kwa moja anajulikana ni mbegu ya wapi!

Mbona operation sangara alikuwemo zitto,......Swali ni je,...kwanini zitto hayumo kwenye operation "maandamano" (sijui kama ndo jina lake) saivi?
 
Tumeambiwa wabunge wengi wa chadema wana zunguka katika maandamano haya ya nchi nzima,tatizo kuna kitu ambacho ni kikubwa tu nahisi kimo ndani ya chadema,haiwezekani kila siku,kila event kubwa zitto hayumo,!

Mficha ugonjwa,........
We are watching
Hakuna mtu anayekukataza kuwa na hisia endelea kusubiri mkono udondoke hata mimi 2005 nilikuwa nafikira kama zako kuwa CDM haitafika 2010 matokeo yake imeongeza wabunge.
 
Hakuna mtu anayekukataza kuwa na hisia endelea kusubiri mkono udondoke hata mimi 2005 nilikuwa nafikira kama zako kuwa CDM haitafika 2010 matokeo yake imeongeza wabunge.

1 + 1= 11

Nauliza kingine unajibu kingine na kubisha kuwa ndo jibu hilo hilo unalo amini!
 
Bukoba Mjini maandamano ni lini?
Ifakara ni lini?
Kigoma mjini lini?
Karagwe lini?
Moshi lini?
Etc..

Tupe ratiba kamili.
 
Nijuavyo, Zitto ana semina ya Kamati ya Fedha za Mashirika ya Umma zinaendeshwa na Ofisi ya CAG. Mnyika yuko kwenye kamati ya Nishati na Madini
 
Big up!

Ni kupenya tu kila sehemu na kumwaga ujumbe wa UKOMBOZI. Ni kufunika tu kwa kumwaga maujumbe yenye akili!

Sipati picha mkifika kwa 'wapiganaji' huko TARIME...
 
Hii imekaa vizuri ila nina kaushauri kadogo.

Pamoja na kujikita katika maeneo ambayo tayari ni ngome ya chadema nadhani sasa ni muda muafaka kuweka nguvu ya ziada katika kujenga chama hasa katika maeneo ambayo yanaonekana kama ni "vigumu kuwaondoa ccm". Sina haja sana ya kuyataja kwani yanajulikana. Maeneo mengi ya kati, kusini, mashariki na mwambao wa pwani.

Nikichukulia maeneo kama Morogoro nadhani wewe tayari umeshakuwa symbol ya chadema kwa mkoa huo. Nadhani ni wakati muafaka kwa wewe kuitumia nafasi hiyo katika kuhakikisha mkoa huo unakuwa ngome mojawapo ya chadema. Ukiweza kusaidia kuongoza mageuzi katika maeneo ya Kilombero, Mikumi, Kilosa (Mkullo lazima ang'oke), Mvomero, Moro Mjini n.k itakuwa jambo jema sana ukizingatia kuwa Moro ni kiungo kikubwa cha mikoa mingi hapa Tz.

Otherwise, BEST WISHES.

Mkuu mkeshaji naunga mkono hoja zako kuwa CDM sasa waende pia sehemu ambazo sio ngome zao. Nadhani ujumbe 'delivered'. Nadhani safari ndo inaanza, kwa hiyo kwa kuanzia nyumbani kutoa ujumbe sio vibaya, bila shaka itakuwa kazi ya kuzunguka Tanzania nzima.
 
Nijuavyo, Zitto ana semina ya Kamati ya Fedha za Mashirika ya Umma zinaendeshwa na Ofisi ya CAG. Mnyika yuko kwenye kamati ya Nishati na Madini
Miruko haya ndiyo majibu sahihi ila unafikiri hawajui basi tu wanataka kuleta co motion zao na mimi huwa nawajibu kulingana na mawazo yao.
 
Asante sana mh.Regia kwa taarifa,

Hope wadau mlioambatana nao watatujuza yanayoendelea huko. Nipo pamoja nanyi katika dua ili Mungu awezeshe mafanikio ya jitihada hizi,naamini kama ilivyokuwa mza utulivu utatawala huko ili wale wazee wa intelijensia wasipate nafasi ya kuhujumu mpangomzima.

Nawaomba wanajf leo tuwapuuze akina jeykey, jeykeywaukweli, badoniponipo, topical na wanaofanana nao ili tuweze kupata kwa utuvu yatakayojiri huko Mara.

Crap from the craper!
 
Back
Top Bottom