[PICHA] Maandamano ya CHADEMA Mkoa wa Mara

najaribu kutazama haya maandamano kwa jicho la tatu na la nne,kisha nakumbuka maneno ya yule bwana mganga sheikh yahya.....naoana kabisa....muda si mrefu watu tunajazana...pale jangwani kuitoa sirikali ya JK......
 
GOOD JOB
Kazi ya Chama cha siasa sio uchaguzi tu bali pia kuelimisha, kuamsha hamasa, na kuongoza Wananchi. Tumeona CCM wakipata uongozi wanajilundika Dar...CDM mjitahidi hizi movement ziwe endelevu.

***Katika hiyo mikutano na Maandamano viongozi wa CDM wasiishie kulaumu na kukosoa tu, bali pia wawaelimishe wananchi mambo mbalimbali kama kufanya kazi kwa bidiii mana serekali yao imewasahau, kusimamia mali za umma, kuacha kutoa na kupokea rushwa, kuwa waaminifu, na kujikinga na maradhi kama Ukimwi, ajali na vitu kama hivyo mana wakifa au wakiwa dhaifu yale CDM wanayoyapigania itakuwa kupoteza muda.

Pia CDM ijaribu kuwavutia akina mama na wanawake kwa wingi mana hao ndio wapiga kura, na misimamo yao sio rahisi kubadilika. Kwenye hizo campain zenu piganieni matatizo yanayowakumba akina mama kama AFYA YA UZAZI, Unyanyasaji, ELimu na mambo kama hayo yatakayowavutia kujiunga na harakati za kuikomboa Nchi.
 
Kwani alisemaje? anaondoa ulinzi kwa kikwete
 
Mawazo mazuri sana mkuuu...
 
Wakuu amani iwe nanyi. Sasa hivi timu inayoongozwa na Dr. Slaa iko Bunda wakisubiri msafara wa Mwanza ili uondoke pamoja.
 
GOOD JOB
Kazi ya Chama cha siasa sio uchaguzi tu bali pia kuelimisha, kuamsha hamasa, na kuongoza Wananchi. Tumeona CCM wakipata uongozi wanajilundika Dar...CDM mjitahidi hizi movement ziwe endelevu.

***Katika hiyo mikutano na Maandamano viongozi wa CDM wasiishie kulaumu na kukosoa tu, bali pia wawaelimishe wananchi mambo mbalimbali kama kufanya kazi kwa bidiii mana serekali yao imewasahau, kusimamia mali za umma, kuacha kutoa na kupokea rushwa, kuwa waaminifu, na kujikinga na maradhi kama Ukimwi, ajali na vitu kama hivyo mana wakifa au wakiwa dhaifu yale CDM wanayoyapigania itakuwa kupoteza muda.

Pia CDM ijaribu kuwavutia akina mama na wanawake kwa wingi mana hao ndio wapiga kura, na misimamo yao sio rahisi kubadilika. Kwenye hizo campain zenu piganieni matatizo yanayowakumba akina mama kama AFYA YA UZAZI, Unyanyasaji, ELimu na mambo kama hayo yatakayowavutia kujiunga na harakati za kuikomboa Nchi.

Naunga mkono hoja. safi mkuu
 
tuko pamoja kazi sasa mavuno baadaye msichoke hata kama tukombali maombi yetu yanatosha kuwapa nguvu kwa ajili ya ukombozi wa nchi yetu :rain:
 
Regia, na wakuu wengine tupeni kinacho endelea maana ndiyo saa saba yenyewe hii
 
Hii imekaa vizuri ila nina kaushauri kadogo.

Pamoja na kujikita katika maeneo ambayo tayari ni ngome ya chadema nadhani sasa ni muda muafaka kuweka nguvu ya ziada katika kujenga chama hasa katika maeneo ambayo yanaonekana kama ni "vigumu kuwaondoa ccm". Sina haja sana ya kuyataja kwani yanajulikana. Maeneo mengi ya kati, kusini, mashariki na mwambao wa pwani.

Nikichukulia maeneo kama Morogoro nadhani wewe tayari umeshakuwa symbol ya chadema kwa mkoa huo. Nadhani ni wakati muafaka kwa wewe kuitumia nafasi hiyo katika kuhakikisha mkoa huo unakuwa ngome mojawapo ya chadema. Ukiweza kusaidia kuongoza mageuzi katika maeneo ya Kilombero, Mikumi, Kilosa (Mkullo lazima ang'oke), Mvomero, Moro Mjini n.k itakuwa jambo jema sana ukizingatia kuwa Moro ni kiungo kikubwa cha mikoa mingi hapa Tz.

Otherwise, BEST WISHES.
 
Hii ni project ya kitaifa inahusisha viongozi wote wa kitaifa wakiwemo wabunge kuna projects za kimkoa na kiwilaya na za wabunge mmoja mmoja hivyo usiwe na wasiwasi uwe mfuatiliaji mzuri tu utapata mengi.
 
All the best.Ila CCM wasije wakachakachua kwa kuingiza mamluki ndani kuleta vurugu tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom