[PICHA] Maandamano ya CHADEMA Mkoa wa Mara

Zitto yuko wapi wajama?
Sijamsikia juzi,jana na hata leo!
Au yuko ofisini yeye,....na mnyika pia
 
Msafara wa magari umeanzia Makutano ambapo Mbunge wa Musoma mijini na timu yake wamefika kutupokea.
 
Mbele yangu hapa stendi ya Bweri naona umati mkubwa wa waandamanaji na bendera za CHADEMA
 
Msafara wa magari umeanzia Makutano ambapo Mbunge wa Musoma mijini na timu yake wamefika ktupokea.

Kweli CHADEMA haijali watu yaani viongozi wanaenda kwa magari walala hoi wanatembea hata na mguu peku?

Je CHADEMA imewanunulia viatu vya kutembekea?
 
Mbele yangu hapa stendi ya Bweri naona umati mkubwa wa waandamanaji na bendera za CHADEMA
Tunashukuru sana Dada regia naomba uendelee kutuhabarisha hawa wengine tuachie sisi tutamalizana nao roho zinawauma sana tokea juzi.
 
Tunataka tunyong'onyeshe CCM kuanzia year 1 na ifikapo 2014 iwe imebakiwa na ving'ang'anizi vichache aina ya Saddam Hussein na Gaddafi. We should remain focused on 2015. CDM kwa sasa tunatakiwa tufanye yafuatayo:

1. Kujenga heshima miongoni mwa watanzania mikoa yote dini zote na watu wa umri wote
2. kujenga imani miongoni mwa watanzania mikoa yote, dini zote na watu wa umri wote
3. Tufute dhana ya CDM ni chama cha vurugu
4. Tutumie ipasavyo nafasi tunayopata katika Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kukwepa kuonekana vilaza na badala yake tutoe hoja, tuulize maswali na tupinge vitu vyevye mantiki na maslahi kwa watanzania bila kujali dini, itikadi na mtu atokako.

5. Kuzungumzia umuhimu wa amani kuliko CCM ili kuwa prove wrong kuwa lengo la CDM ni kuleta vurugu na kuondoa amani iliyojengwa na waasisi wa Taifa letu.
6.Kutekeleza ahadi zote mtoazo kwa vitendo bila kutoa visingizio vya kutetea failure


Kwa kufanya haya na mengine mengi mtakayo yaona yanafaa kutawatengenezea njia nyeupe ya kuwabwaga hawa CCM kirahiiiisi bila kutumia nguvu nyingi.

Tuko pamoja, tunawaunga mkono na tunahitaji mabadiliko na ninaamini CDM bado mpo kwenye mkondo mzuri wa kuleta mabadiliko

PEOPLES POWER FOREVER AND EVER!!!
 
Zitto yuko wapi wajama?
Sijamsikia juzi,jana na hata leo!
Au yuko ofisini yeye,....na mnyika pia

Remember you can't put your eggs in one bascket! Hon. Zitto & Hon. Mnyika are attending to other national building errands, usishangae kutowaona au kutowasikia.
 
naona cdm inazidi kupoteza umaarufu kanda ya ziwa haiwataki juzi walikuja kusikiliza mziki

Mamluki wa Gaddafi wenye silaha wamekamatwa na raia wasio na silaha itakuwa mamluki wa CCM ambao hawana hata silaha za moto. Your days are NUMBERED:mullet:
Mtaendelea kukana obvious hadi lini ninyi mental blinds
 
Mamluki wa Gaddafi wenye silaha wamekamatwa na raia wasio na silaha itakuwa mamluki wa CCM ambao hawana hata silaha za moto. Your days are NUMBERED:mullet:
Mtaendelea kukana obvious hadi lini ninyi mental blinds

mkuu achana watu wa dizain hii.HAKUNA HAJA YA KUJIBIZANA NAO,wanatupotezea stimu,aaargh!
 
Back
Top Bottom