[PICHA] Maandamano ya CHADEMA Mkoa wa Mara

Regia Mtema

R I P
Nov 21, 2009
2,970
864
Wakuu Salaam!!!

Yale maandamano ya Kanda ya Ziwa leo yanahamia Mkoa wa Mara baada ya jana kuingia Geita, Sengerema, Misungwi, Kwimba na Ukerewe. Maandamano yatakuwa Musoma kuanzia Viwanja vya Bweri mpaka Uwanja Mkendo Musoma Mjini. Msafara wa Vikosi toka Mwanza mjini unatarajiwa kupokelewa na Mbunge wa Musoma Mijini Vincent Nyerere.

Dalili zinaonesha kuwa na leo CHADEMA itaiteka Musoma kwa jinsi ambavyo watu wamejipanga na kujiandaa kwa hamu maandamano haya. Maandamano yanatarajiwa kuanza saa 7 mchana.

Aluta Continua.

Kutoka Kitangiri Mwanza
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira

=====================
KATIKA PICHA


122c5g1.jpg

beybnp.jpg
 
All the best there!

Aluta continua,...mkifika Tarime mtakuwa mmenifurahisha zaidi
 
Asante sana Mhe.

Mungu awabariki kwa elimu mnayotoa. Ina dhamani kubwa kusherekea 50 ya uhuru.
 
We need the change!! the sooner the better Mh waziri Regia Mtema. Tuko pamoja hatua kwa hatua mpaka kieleweke.

Namatamani ningekuwepo ili nami nishiriki hata mkoa mmoja, hope next tym nitakuwepo.
 
Pongezi nyingi sana Mheshimiwa Regia.

Tunafarijika sana kupata maendeleo ya zoezi hili muhimu!

Itafurahisha zaidi kama utatutumia picha kama mlivyofanya Mwanza .

Nasikitika sijaona picha za gEITA na sehemu zingine mlizopita jana!
 
mhe. nimeipenda hyo, Mara watu ni waelewa hope itakuwa kazi nyepesi, kwa imani yangu hyo dOwans haikubaliki 100% MARA!
 
Ahsante sana kwa kutujuza,

Tunapata faraja na amani sana mioyoni mwetu hasa tunapoona wananchi walivyochoka na kukosa tumaini.

Kweli yababa wa Taifa aliyoyatabiri sasa ndio wakati wake.

Tupo pamoja nanyi tukiwaombe muendelee na Heri ana afya njema katika ukombozi wa nchi yetu
Be courageous and Brave till the end
 
Pongezi nyingi sana Mheshimiwa Regia.

Tunafarijika sana kupata maendeleo ya zoezi hili muhimu!

Itafurahisha zaidi kama utatutumia picha kama mlivyofanya Mwanza .

Nasikitika sijaona picha za gEITA na sehemu zingine mlizopita jana!

Shukrani PJ.
Unajua unapokuwa mshiriki siorahisi kupata picha nzuri.Ninazo picha kwenye simu yangu lakini hazina ubora wa kurusha hapa.Tupo na waandishi wa habari na wadau wengine naamini watazirusha kama walivyofanya.

Tupo pamoja.
 
Together we can, hiyo ni trela tu. Kitaeleweka manake tumechoka. Mi ni university student mpaka leo ni ombaomba tu wakati kuna fisadi kama Lowassa, JK, Rostam wana host billions of money
 
Shukrani PJ.
Unajua unapokuwa mshiriki siorahisi kupata picha nzuri.Ninazo picha kwenye simu yangu lakini hazina ubora wa kurusha hapa.Tupo na waandishi wa habari na wadau wengine naamini watazirusha kama walivyofanya.

Tupo pamoja.

Hongereni sana. Wafikishie taarifa waandishi wa habari mlio nao kuwa wasitunyime uhondo wa picha. Jana tulizikosa taarifa za picha huko kwingine. Tunawatakia afya njema.
 
Asante sana mh.Regia kwa taarifa,

Hope wadau mlioambatana nao watatujuza yanayoendelea huko. Nipo pamoja nanyi katika dua ili Mungu awezeshe mafanikio ya jitihada hizi,naamini kama ilivyokuwa mza utulivu utatawala huko ili wale wazee wa intelijensia wasipate nafasi ya kuhujumu mpangomzima.

Nawaomba wanajf leo tuwapuuze akina jeykey, jeykeywaukweli, badoniponipo, topical na wanaofanana nao ili tuweze kupata kwa utuvu yatakayojiri huko Mara.
 
Nawaomba wana jamvi, watakapo ingia wale ndugu zetu wa mlengo wa kushoto tusipoteze muda kujibisha nao...Asanteni
 
Musoma vijijini kwa babu fisadi Mkono tafadhari kapigeni mbiu pia, kama sikosei hamna madiwani wa kutosha huko na hivyo kuna haja kubwa ya kujitangaza kwa wananchi na kuwaeleza haki zao za msingi wanazozikosa katika serikari hii tukutu.
 
Shukrani PJ.
Unajua unapokuwa mshiriki siorahisi kupata picha nzuri.Ninazo picha kwenye simu yangu lakini hazina ubora wa kurusha hapa.Tupo na waandishi wa habari na wadau wengine naamini watazirusha kama walivyofanya.

Tupo pamoja.
Hongera Regia, ila hakikisha hao waandishi sio wale waliokutana na Ali Hadaiwi nasikia walilazimishwa kuvua kila walichonacho ili wasipige picha na wao wakaridhia.
 
Back
Top Bottom