Miundombinu ya mkoa wa mara na maendeleo kwa ujumla.

walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
4,796
5,520
Habari wakuu, naomba nisiwachoshe sana , kuna kitu nashindwa kukielewa kuhusu huu mkoa aliyetoka mhasisi wa kwanza wa nchi yetu hayati mwalimu nyerere. Naomba niongelee suala la mawasiliano yaani barabara ambazo zinaunganisha manispaa ya musoma mjini na vitongoji vyake, Usafiri wa kutoka musoma mjini mpaka stendi kuu ya mabasi ambayo hipo nje ya mji yaani bweri stendi kuu usafiri wa huku umetawaliwa sana na bajaji wakati kikawaida kulitakiwa kuwe na haisi sasa nashindwa kuelewa hizi mamlaka zinazosimamia mambo usafiri inalichukuliaje hili jambo? Je kisheria hii barabara ni main road pia na population ya watu ni kubwa kiasi kwamba gali za abiria ilitakiwa ziwe zinabeba abiria. Kingine kuna barabara inayotoka musoma mjini kwenda maeneo ya buhare hii barabara ni kubwa mno kiasi kwamba bajaji au usafiri hata gali za abiria zilitakiwa ziwepo kwa ajili ya kutoa huduma sasa cha ajabu hakuna usafir wa kueleweka licha ya bodaboda kuwepo lakini usafir kama magari hakuna. Kwa wajuzi wa mambo nafikir watakuwa wanafahamu vitu vingi sana kuhusiana na mada tajwa hapo juu. Naomba niwasilishe wadau kama kuna maoni karibuni sana kwa nia ya kuubadili taswira na maendeleo ya mkoa wa mara.
Naomba niwasilishe, angalizo kama kuna tatizo la uhandishi naomba tusameeane.
 
Ukiona watu hawaleti magari ujue hakuna abiria
 
Musoma kumepoa sana baadhi ya maeneo, na inashangaza sehemu nyingine pamechangamka, pale mjini bila pikipiki usafirini kipengele sana
 
Back
Top Bottom