Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,247
...nchi inayo-sifika kwa ifadhi kubwa za wanya inaletewa Faru kutoka Uingereza....
hii kweli Mtanzania yeyote akichukua muda na kutafakari ni ajabu zaidi ya mtu aliyechomwa moto na kuwa majivu afufuke!" ONLY IN TANZANIA!
Yapo Maajabu mengi sana...Ila Maajabu ya Wiki Hii yaliyo Tanzania ni kama Ifuatavyo
4. Wanafunzi Waliofaulu Darasa la Saba (get me well waliofaulu darasa la 7) kwenda Sekondary Hawajui Kusoma wala Kuandika, Je waliofeli Watakuwa hawajui kufanya nini...You Can Only Find In Tanzania