Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,534
- 8,619
Open Univ inasaidia sana. Rais Karume (mstaafu) alikuwa akisoma pale, sijui kama alimaliza au la. Shamuhuna naye aligraduate pale mwaka juzi nk. Wazee wanapiga miasainimenti, matesti, matekihome, mayuii, masaplimentari kama kawaida. Jaji naye anagonga msuli.
Yaani Open University umeluwa uchochoro wa kutoa qualification kwa vilaza Kama huyu jaji ..,viongozi wanaotaka sifa,wake zao etc....hata Mke wa Punda naye anajichukulia Bcom yaks pale...