CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
1.Lema kujipeleka gerezani!!
2.Lema kukesha akiomba maiti ifufuke!!
2.Lema kukesha akiomba maiti ifufuke!!
Ajabu lingine ni pale baadhi ya watanzania kushabikia Padri Mstaafu mwenye elimu ya Theology(elimu ya kusalisha kanisani) eti awe Rais wa Tanzania
" only in tanzania!
yapo maajabu mengi sana...ila maajabu ya wiki hii yaliyo tanzania ni kama ifuatavyo
1. Mmoja wa majaji walioteuliwa kwa mujibu wa tundu lissu kumbe ndo kwanza anasoma shahada so darasani nae anasoma"what is law of torts" then anapata sup...u can only find in tz..
2. Serikali makini ambayo sio dhaifu ina watumishi hewa 9,949 wanaopata mshahara ambao jumla ya hela inayopotea ni kama bil 70 ambazo zingetumika kulipa madaktari na walimu, lakini serikali inasema haina hela, hawana hela ya kulipa walimu na madaktari ila wanazo za watumishi hewa...only u can find in tz.
3. Serikali ya uingereza ilirudisha chenji ya rada, serikali ikasema hela inapeleka kununulia vitabu kwa ajili ya shule nchi nzima, kumbe kampuni iliyopewa tenda ya kusambaza vitabu nchi nzima ilitoa rushwa ya dola 500,000 kupata tender serikali ya uingereza imeifungia miaka 7, you can only find in tz.
4. Wanafunzi waliofaulu darasa la saba (get me well waliofaulu darasa la 7) kwenda sekondary hawajui kusoma wala kuandika, je waliofeli watakuwa hawajui kufanya nini...you can only find in tanzania
5. Washiriki wa michezo ya kimataifa (sijataja mchezo wala mashindano) wako watano (5) lakini wanaowasindikiza washiriki wako 12, na kurudi bila medali hata moja. You can only find in tanzania......
6. Sehemu pekee ambaye mtu uliyetaka kumdhuru kwa kukusumbua then unaomba umlinde (refer to ulimboka's case)..yaani mbwa mwitu anaomba kazi ya kulinda mbuzi......you can only find in tanzania.."
7. ......ongezeeni
Nchi pekee ambayo wabunge wa upinzani wanamuomba spika afunge mlango ili wabunge wachapane makonde na wale wa chama tawala.