ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,070
- 49,752
Wakati Tanznaia ikiandika historia ya Kupeleka timu 2 kwenye ngazi ya robo fainali na kuwa Nchi pekee yenye timu mbili za Yanga na Simba ,Kanda ya Kaskazini imeporomoka vibaya.
Ni timu 2 tuu za Kiarabu zimepenya hatua hii ya robo yaani Al Ahly na Esperence huko Morocco ikikosa timu kabisa.
Aidha Africa Kusini mwa Jangwa la Sahara imefanikiwa kuandikisha timu 6 hatua hii jambo ambalo halijawahi tokea hapo kabla.
My Take
Hongera sana Tanzania ya Samia inang'aa Kila sekta.Ni katika awamu hii ya 6 ndipo Nchi imepata mafanikio makubwa kimichezo kuanzia kwenye vilabu Hadi timu za Taifa kutokana na hamasa ya Rais Samia ikiwemo kutoa pesa za Zawadi.
View: https://www.instagram.com/p/C4BtSX6tf-v/?igsh=MWwyMWl6b29mcDRyeQ==
====
Tanzania is the only country with 2 teams in the last 8Teams that have made it to the CAF Champions League quarterfinals so far including;
1. Yanga
2. Simba
3. TP Mazembe
4. Asec Mimosa
5. Al Ahly
6. Mamelodi Sundowns
7. Petro de Luanda