Only in Tanzania !

Kuwa na rais aneyeweza kwenda kushangaa mashamba ya mananasi nchi nyingine wakati geita,bagamoyo yamejaatele

kuwa na rais aneyeenda kushangaa kilimo cha nyanya brasili wakati nchini kwake zinaozea masokoni kwa kukosa soko.

Can only happen in tansania bana!
 
1. Kuwa na raisi aliyechaguliwa kwa sababu tu ni handsomena ni kijana wa miaka 60 asiyejua kwa nini nchi anayoiongoza ni maskini.
2.Kuwa na raisi anayeamini wanafunzi wanaopata mimba wakiwa mashuleni wana kiherehere
3. Kuwa na raisi ambaye hansard za bunge zinaonyesha ni DHAIFU
 
" ONLY IN TANZANIA!

Yapo Maajabu mengi sana...Ila Maajabu ya Wiki Hii yaliyo Tanzania ni kama Ifuatavyo
4. Wanafunzi Waliofaulu Darasa la Saba (get me well waliofaulu darasa la 7) kwenda Sekondary Hawajui Kusoma wala Kuandika, Je waliofeli Watakuwa hawajui kufanya nini...You Can Only Find In Tanzania
hii kweli Mtanzania yeyote akichukua muda na kutafakari ni ajabu zaidi ya mtu aliyechomwa moto na kuwa majivu afufuke!

Nadhani wakati wenzetu wanaset standards kutokana na rekodi za dunia haijulikani sisi tunaset kutokana na nini? mfano wakati rekodi ya dunia ya mita 100 ni chini ya sekunde 10, bado sisi tunaridhika na kusema kuwa Mtanzania anatumia sekunde 70!!

 
ONLY IN TANZANIA....

Waziri Mkuu kila Alhamisi bungeni kwenye maswali ya papo kwa papo majibu yake huanzia na sentensi hizi:

Nadhani....

Nafikiri....

Tuliona tuliweke hivi...

Tumeliona hilo...

Sina hakika sana...

Tuliache kama lilivyo...

Hili jambo lipo mahakamani.....
 
-Ni watu pekee ambao wako tayari kuandamana kupinga matumizi ya lugha yao wenyewe, na kutetea ya kigeni, haijawahi tokea Dunia hii! only in Africa (Tanzania)

-Miaka yote tumekuwa tukifundishwa na kudanganywa wazungu (wakoloni) walikuwa wabaya kumbe ni uongo, tunafanya yale yale waliyoyafanya na mbaya zaidi tunaharibu angalau wazungu walijenga.....

-Nyerere kaongoza miaka 24, tunadanganywa ndio aliyeunganisha watanzania, wakati Dunia nzima inafahamu huwezi kuunganisha Taifa kwa miaka 20, haijawahi kutokea sehemu yoyote Duniani!

-wahindi < 1% lakini wanamiliki >85% ya uchumi wetu!

-kila kitu kizuri tulichonacho ni tangu wakoloni, Oysterbay, Upanga, Kinondoni, Msasani.. Coco beach ndio beach pekee (public beach) Dar ambayo nayo ni ya mkoloni, ingawaje Dar yote imezungukwa na Bahari tumeshindwa kutengeneza coco beach nyingine..

-Siku zote kujivunia na kupenda kunyang'anya mali za watu wengine badala ya kujenga zetu, mfano tulinyang'anya wahindi nyumba zao Upanga ambazo walizijenga kwa jasho lao!

-Ni watu pekee ambao siku zote tunang'ang'aniza watu wengine watupende na waoe au waolewe na sisi na kulalamika kwamba wanatubagua, lakini huwezi kuta muhindi au mchina au mzungu akilalamika kwa nini watz hawataki kuchanganika nao ingawaje sisi ni zaidi ya 95% ya nchi yote...

Na mwisho na muhimu kabisa nakuuliza wewe unayesoma sasa hivi, ukiwa porini au usiku unaendesha gari ukakuta watu wawili mmoja mswahili mwingine mzungu wanaomba lifti na unaweza kuchukia 1 utamchukua yupi (kuwa mkweli na nafsi yako)
 
..........kuwa na rais mwenye album yenye picha alizopiga na 50 cents,boys ii men,maximo,bekham,happiness magese,
only in tanzania
...........kuwa na naibu spika wa bunge asiyejua idadi ya watoto zake wala wake zake
only in tanzania
............kuwa na madini yenye jina letu lakini bado afrika kusini ndo wanaongoza kwa kuuza
only in tanzania
............kuwa na viongozi wa dini ambao wako radhi kuaminisha waumini wao kuwa ushetani huponya (rejea ishue ya babu loliondo
only in tanzania
 
ONLY IN TANZANIA

Trafiki akisimamisha gari anakagua stika ya fire kama huna anakupiga faini lakini hana muda wa kukagua fire extinguisher kama unayo na kama unajua kuitumia.

Made only in Tanzania.
 
Nchi pekee ambayo wanafanyakazi wanalipwa laki moja kwa mwezi lakini wanasomesha watoto kadhaa shule binafsi na wanamiliki magari/nyumba.
Nchi pekee ambayo inaweza kuexport magogo/nguzo illegally na kuimport legally kwa bei mara 5 ya yanavyouzwa hapa nchini.
 
nchi hii haina tofauti sana na ile ya mfalme juha maana mambo yake ni kinyume nyume
 
Yapo Maajabu mengi sana...Ila Maajabu ya Wiki Hii Yaliyo Tanzania ni kama Ifuatavyo

1. Mmoja wa Majaji Walioteuliwa kwa Mujibu wa Tundu Lissu Kumbe ndo kwanza anasoma shahada so darasani nae anasoma"What is Law of Torts" then anapata SUP...U can Only find in TZ..

2. Serikali Makini ambayo sio dhaifu ina Watumishi Hewa 9,949 wanaopata Mshahara ambao Jumla ya hela inayopotea ni kama Bil 70 ambazo zingetumika kulipa Madaktari na walimu, lakini Serikali inasema haina hela, hawana hela ya kulipa walimu na Madaktari ila wanazo za Watumishi hewa...Only u can find in TZ.

3. Serikali Ya Uingereza Ilirudisha Chenji ya RADA, Serikali ikasema hela inapeleka Kununulia Vitabu kwa Ajili ya Shule Nchi nzima, Kumbe Kampuni iliyopewa tenda ya Kusambaza Vitabu nchi nzima ilitoa rushwa ya dola 500,000 kupata tender Serikali ya Uingereza imeifungia miaka 7, You Can Only find in TZ.

4. Wanafunzi Waliofaulu Darasa la Saba get me well waliofaulu darasa la 7 kwenda Sekondary Hawajui Kusoma wala Kuandika, Je waliofeli Watakuwa hawajui kufanya nini...You Can Only Find In Tanzania

5. Washiriki wa Michezo ya Kimataifa (sijataja Mchezo wala mashindano) wako watano (5) lakini wanaowasindikiza Washiriki wako 12 You can Only find in Tanzania......

6. Sehemu Pekee ambaye Mtu uliyetaka Kumdhuru kwa Kukusumbua then unaomba Umlinde (refer to Ulimboka's Case)..Yaani Mbwa Mwitu anaomba kazi ya Kulinda Mbuzi......You Can Only find in Tanzania..

Yapo Maajabu Mengi sana Lipi nimesahau???
 
Nchi ambayo ina lengo kuu la kujitegemea kiuchumi wakati mienendo yake inapingana wazi wazi na adhma yake hiyo.Kwamba watawala wake, huku wakitambua ukweli kuwa hakuna uwezekano wa kupiga hatua za maendeleo bila viwanda na wakielewa kuwa pasipo uwekezaji makini na wa makusudi katika kilimo haiyumkiniki kuendeleza viwanda, watawala wake kwa ujasiri wa ajabu,usiopatikana popote isipokuwa hapa Tanzania ,wameamua kupingana na nadharia za uchumi kwa kubinafsisha viwanda na kupuuza kilimo,lakini bado wanaamini kwa 'dhati' Taifa hili litakuwa la uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.Ni katika nchi hii pekee,tunapata mtawala aliyedai 'alisahau' kuendeleza kilimo alipokuwa madarakani na kubinafsisha viwanda na sasa hana mamlaka,na bado tunamwalika katika makongamano ,warasha na semina kutufundisha mbinu za kujikwamua.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom