Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,929
- Thread starter
- #61
Ni kweli pdidy linawezekana ila nilitaka mawazo yenu kwanza kabla sijajibu mapigo, na kweli kadri mda unavyoenda nazidi kupata ujasiri katika hili, asante mkuu.na wewe si ukafumue ndoa yake kumbe mwenzio unamjua na kumjua ..yaani huyo wala asikumbue ukienda kumwaribia ataanza kukuomba yeye tusitafutane kabisa