Nisaidien nifanye nn ili aniache na maisha yangu

na wewe si ukafumue ndoa yake kumbe mwenzio unamjua na kumjua ..yaani huyo wala asikumbue ukienda kumwaribia ataanza kukuomba yeye tusitafutane kabisa
Ni kweli pdidy linawezekana ila nilitaka mawazo yenu kwanza kabla sijajibu mapigo, na kweli kadri mda unavyoenda nazidi kupata ujasiri katika hili, asante mkuu.
 
Dawa ya moto ni moto

Chukua msg zake zote ziforward kwa mkewe copy nyingine ni kwa marafiki zake na wazazi wake. Akiendelea na wewe unaingia phase ya pili

ongea na mwanasheria wako ili afundishwe namna ya kuwaheshimu watu wengine na kuiheshimu ndoa yake.
 
Huyu jamaa alikuwa mpnz wangu kwa miaka 2, mwaka jana mwezi wa pili akawa amebadilika analewa sn tukawa tunagombana hatimae tukaachana mwezi wa 4 kila mtu akawa na maisha yake, yeye akapata mchumba akaoa, na mie nikawa nadate na mtu kumbe ananifatilia akafuta yule mtu wangu sikujua alimwambia nn,ila mtu wangu akaomba tuachane kwa amani na nisimtafute tena,kwa vile tulikuahatujanza kupeana nikamwacha aende zake na sikujua sababu, ni wiki mbili sasa yule x wangu alieoa ananifuatilia akiniona na mtu ananitumia msg kali na kuniambia atamfanyizia huyo mtu anaetaka kumuibia penzi lake km alivyomfanyia yule niliadate nae baada ya kuachana ndio nikajua yeye alikuwa sababu,sasa jana usiku kampigia dada yangu anamwambia anikanye nisiwe na mpnz yoyote kwan yeye ndie mpanz wangu wa maisha na mimi akanitumia msg hivyohivyo ya kunionya,naomben msaidie nimfanye nn huyu mtu aniache na maisha yangu, nawasilisha.
Anacheza palipo chezwa huyo! Nipe nafasii mimii halafu uonee kama hajatoka nduki yeye!
Ni mp nikuondolee hiyo kero!
 
Hii imekaa vizuri, je ikitokea mkewe hakuniamin na akalishwa sumu nn mumewe kwamba mie ndio namtaka mmewe na akanigeuka na kuniona mwizi wake itakuwaje?

hawezi kukuona mwizi maana utamwonesha msg. Pia tunza hizo msg police inahusika
 
Dawa ya moto ni moto

Chukua msg zake zote ziforward kwa mkewe copy nyingine ni kwa marafiki zake na wazazi wake. Akiendelea na wewe unaingia phase ya pili

Asante sana mkuu ila mie sikutaka kutumia hasira kwanza nikaamua nije kwenu nipate mawazo yenu then nishuhulike naye yeye km yeye ikishindikana ndio nitafute wa karibu naye ili tumalizane bila kuwaafect watu wengine.
 
mpigie simu umweleze hupendezwi na hiyo tabia kwani kila mtu ana maisha yake

majitu ya hivi hayasikiagi cha Sheikh wala cha mwongoza swala,dawa ni RB tu kama walivyoshauri baadhi ya wadau kwenye uzi huu.
 
]ongea na mwanasheria wako[/COLOR] ili afundishwe namna ya kuwaheshimu watu wengine na kuiheshimu ndoa yake.

Yaani wewe unafikiri kila mtu anaishi maisha ya usalama kama yako(ya kuwa na mwanasheria),...wengi wetu ni wale tunaofungwa kwa kesi za kubambikiwa
 
Dawa ya moto ni moto

Chukua msg zake zote ziforward kwa mkewe copy nyingine ni kwa marafiki zake na wazazi wake. Akiendelea na wewe unaingia phase ya pili

Mbinu hii si nzuri sana! Ina madhara zaidi ya mjuavyo! Huyo bwana mfumo anaotumia ni wazamani sana unaitwa blackmail ulioasisiwa na mkuu mmoja wa CIA
Kwa nature ya tatizo hili haihistahili kumfikia mke wa mtuhumiwa, kuna sababu zaidi ya kumi za kutolifikisha ila sababu ya kwanza ni KUAMINIA kwa wanandoa hao!
Kimsingi ataongeza maadui badala ya kupunguza!

Njia nzuri ya kummaliza adui huyu ni:
1.Kwanza tambua hulka za huyo kiumbe
2.Mtafute mwanaume jasiri anayeweza kumfata na kumweleza kwa karipio kuu sio lazima awe mpenzi!
3.Fuatilia nyendo zake zote
4.Jua kipato chake na zuia kipato chake
6.Waambie rafiki zake wakaribu zaidi ya wawili

Ikishindikana sasa nenda karipoti polisi!

Chunga usimwambie mkewe!!!
 
sijamaanisha ukaolewe mke wa pili,kwanza mwanaume useless kiasi hicho utampeleka wapi mamii? waambie wazazi wake waongee nae,kama alikua anajua amekuweka akiba ya mke wa pili afanye sasa.otherwise apotee kwenye maisha yako!
Nimekusoma King'asti.
 
Mbinu hii si nzuri sana! Ina madhara zaidi ya mjuavyo! Huyo bwana mfumo anaotumia ni wazamani sana unaitwa blackmail ulioasisiwa na mkuu mmoja wa CIA
Kwa nature ya tatizo hili haihistahili kumfikia mke wa mtuhumiwa, kuna sababu zaidi ya kumi za kutolifikisha ila sababu ya kwanza ni KUAMINIA kwa wanandoa hao!
Kimsingi ataongeza maadui badala ya kupunguza!

Njia nzuri ya kummaliza adui huyu ni:
1.Kwanza tambua hulka za huyo kiumbe
2.Mtafute mwanaume jasiri anayeweza kumfata na kumweleza kwa karipio kuu sio lazima awe mpenzi!
3.Fuatilia nyendo zake zote
4.Jua kipato chake na zuia kipato chake
6.Waambie rafiki zake wakaribu zaidi ya wawili

Ikishindikana sasa nenda karipoti polisi!

Chunga usimwambie mkewe!!!

Yeah man!..nimeipenda hii,...'urban issue with urban approach'...hakuna haja ya kumuumiza mkewe kwa upuuzi wa mumewe.
 
1. Mpeleke polisi. Waoneshe polisi hiyo sms na waambie kuwa anatishia maisha yako. Waambie polisi kuwa huyo bwana hana rukhusa ya kuwasiliana nawe na akifanya hivyo achukuliwe hatua kali za kisheria kwakuwa anatishia maisha yako na anataka kukuharibia maisha yako pia wakati yeye ameshayatengeneza yake

2. Uwe mkweli kwa rafiki mwininge yeyote utakayempata. Mweleze juu ya mahusiano yako na huyo mjinga na jinsi alivyovunja mahusiano yako na aliyepita na jinsi unavyotarajia yeye kuwasiliana na uliyempta ili jamaa afahamu kuwa anaweza akaambiwa upuuzi na ex wako kwahiyo kama yeye ni mwelewa atapuuza yatakayokuja baadae

3. Be strong don't be lelema
 
Mbinu hii si nzuri sana! Ina madhara zaidi ya mjuavyo! Huyo bwana mfumo anaotumia ni wazamani sana unaitwa blackmail ulioasisiwa na mkuu mmoja wa CIA
Kwa nature ya tatizo hili haihistahili kumfikia mke wa mtuhumiwa, kuna sababu zaidi ya kumi za kutolifikisha ila sababu ya kwanza ni KUAMINIA kwa wanandoa hao!
Kimsingi ataongeza maadui badala ya kupunguza!

Njia nzuri ya kummaliza adui huyu ni:
1.Kwanza tambua hulka za huyo kiumbe
2.Mtafute mwanaume jasiri anayeweza kumfata na kumweleza kwa karipio kuu sio lazima awe mpenzi!
3.Fuatilia nyendo zake zote
4.Jua kipato chake na zuia kipato chake
6.Waambie rafiki zake wakaribu zaidi ya wawili

Ikishindikana sasa nenda karipoti polisi!

Chunga usimwambie mkewe!!!
Asante Mkuu nimekusoma na kukuelewa vizuri kabisa.
 
...acha kumu entertain nawewe,...napata hisia akija kwako una behave 'kimahusiano' kama mlivyokuwa pamoja...
if am wrong samahani.
 
1. Mpeleke polisi. Waoneshe polisi hiyo sms na waambie kuwa anatishia maisha yako. Waambie polisi kuwa huyo bwana hana rukhusa ya kuwasiliana nawe na akifanya hivyo achukuliwe hatua kali za kisheria kwakuwa anatishia maisha yako na anataka kukuharibia maisha yako pia wakati yeye ameshayatengeneza yake

2. Uwe mkweli kwa rafiki mwininge yeyote utakayempata. Mweleze juu ya mahusiano yako na huyo mjinga na jinsi alivyovunja mahusiano yako na aliyepita na jinsi unavyotarajia yeye kuwasiliana na uliyempta ili jamaa afahamu kuwa anaweza akaambiwa upuuzi na ex wako kwahiyo kama yeye ni mwelewa atapuuza yatakayokuja baadae

3. Be strong don't be lelema
Asante mdau, nitakuwa open, kwa ushauri nilioupata humu ndani nina ujasiri wa kutosha kuhusu hili.
 
...acha kumu entertain nawewe,...napata hisia akija kwako una behave 'kimahusiano' kama mlivyokuwa pamoja...
if am wrong samahani.
Your very wrong coz tangu nimeachana nae wala sijaonana nae tena na hata anavyonifatilia sijawahi kumuona zaidi ya anavyotuma msg basi,na wala simu-entertain kwa lolote kwan wala sijajibizana nae hata cku moja.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom