Mume wangu kanitukania Mama yangu, naombeni ushauri jamani

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,177
1,824
Nimeondoka nyumbani kwangu huu ni mwezi wa pili! Mume wangu kuna hela alinipa kama milioni 2, kwaajili ya kumuwekea. Mume wangu alikua ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi, sasa katika kampuni yao ni kama wanataka kuifunga hivyo mkataba ukiisha hakuna anayeongezewa mpya.

Mkataba wa mume wangu ulikua unaisha mwezi uliopita, tangu mwaka jana alijua kuwa ataachishwa kazi akawa anaweka hele zake kwenye akaunti yangu akihofia yeye kuzitumia

Lengo ilikua ni kazi ikiisha basi aanze biashara ikishasimama basi NSSF yake itakua imetoka anaongezea mtaji. Kuna Kaka nilikua naye kwenye mahusiano kabal ya mume wangu, tuliachana akaoa sasa tuliehndelea bdao kuwasiliana na mara nyingi alikua ananiambia kuhusu mambo yake ya ndoa na changamoto anazopitia.

Yeye ana kakampuni kakukopesha, nilipomuambia kuhusu hela ya mume wangu aliniambia kama vipi nimpe aizungushie ili kunilipa riba. Kwakua ni mtu nilikua namuamini na najua ana hela nilikubali, nikampa ile milioni mbili. Shida ikaja kwenye kunilipa, akawa ananisumbua ananiambia biashara zake haijaenda vizuri na mambo kibao.

Tulikua tunagombana kila siku, katika kutukanana na yule Kaka ndiyo mume wangua akasikia akawa ananifuatilia akajua kuwa nimegawa hela zake tena kwa X wangu kwani anamjua. Alinitukana sana, alinitukana maneno ya kunidhalilisha, alikua na hasira sana mpaka kunitukania Mama yangu!

Kwa hasira niliondoka nyumbani, nikaenda kwa dada yangu ambapo nipo mpaka sasa. Shida nikuwa, mume wangu alipiga simu mara moja tu, alipojua niko salama kwa dada yangu mpaka leo hajanitafuta. Niliacha wtaoto wawili wote wanasoma, kawachukua kawpaleka kwa Mama yake kijijini bila kuniambia yeye anaendelea na maisha.

Dada ananiambia niende kumuomba msamaha lakini sitaki kwani alinidhalilisha sana, hasa kunitukania mama yangu. Nina hasira nataka anipigie yeye simu kuniomba msamaha hata kama nilimkosea lakini hakupaswa kunitukana vile, sijui nafanya ninia niombe msamaha kwani hapa kwa dada washanichoka wananifanyia visa tu na mimi sipendi, X wangu hela ndiyo kagoma kunilipa mpaka kaniblock nisidie kaka nifanye nini?
 
Skyler where's our drug Money?
You gave it to Ted?

Hahahahahahahaha hahahahahahahaha hahahaha!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜žπŸ˜žπŸ˜žπŸ˜žπŸ˜žπŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­
 
Nimeondoka nyumbani kwangu huu ni mwezi wa pili! Mume wangu kuna hela alinipa kama milioni 2, kwaajili ya kumuwekea. Mume wangu alikua ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi, sasa katika kampuni yao ni kama wanataka kuifunga hivyo mkataba ukiisha hakuna anayeongezewa mpya.

Mkataba wa mume wangu ulikua unaisha mwezi uliopita, tangu mwaka jana alijua kuwa ataachishwa kazi akawa anaweka hele zake kwenye akaunti yangu akihofia yeye kuzitumia

Lengo ilikua ni kazi ikiisha basi aanze biashara ikishasimama basi NSSF yake itakua imetoka anaongezea mtaji. Kuna Kaka nilikua naye kwenye mahusiano kabal ya mume wangu, tuliachana akaoa sasa tuliehndelea bdao kuwasiliana na mara nyingi alikua ananiambia kuhusu mambo yake ya ndoa na changamoto anazopitia.

Yeye ana kakampuni kakukopesha, nilipomuambia kuhusu hela ya mume wangu aliniambia kama vipi nimpe aizungushie ili kunilipa riba. Kwakua ni mtu nilikua namuamini na najua ana hela nilikubali, nikampa ile milioni mbili. Shida ikaja kwenye kunilipa, akawa ananisumbua ananiambia biashara zake haijaenda vizuri na mambo kibao.

Tulikua tunagombana kila siku, katika kutukanana na yule Kaka ndiyo mume wangua akasikia akawa ananifuatilia akajua kuwa nimegawa hela zake tena kwa X wangu kwani anamjua. Alinitukana sana, alinitukana maneno ya kunidhalilisha, alikua na hasira sana mpaka kunitukania Mama yangu!

Kwa hasira niliondoka nyumbani, nikaenda kwa dada yangu ambapo nipo mpaka sasa. Shida nikuwa, mume wangu alipiga simu mara moja tu, alipojua niko salama kwa dada yangu mpaka leo hajanitafuta. Niliacha wtaoto wawili wote wanasoma, kawachukua kawpaleka kwa Mama yake kijijini bila kuniambia yeye anaendelea na maisha.

Dada ananiambia niende kumuomba msamaha lakini sitaki kwani alinidhalilisha sana, hasa kunitukania mama yangu. Nina hasira nataka anipigie yeye simu kuniomba msamaha hata kama nilimkosea lakini hakupaswa kunitukana vile, sijui nafanya ninia niombe msamaha kwani hapa kwa dada washanichoka wananifanyia visa tu na mimi sipendi, X wangu hela ndiyo kagoma kunilipa mpaka kaniblock nisidie kaka nifanye nini?
Wewe huna akili na ni mmoja wa mwanamke mpumbavu. Nakazia Matusi ya Mumeo. Na hutakiwi kurudiwa na mumeo.
Unawezaje kuchukua scarce resource za mumeo unamkopesha X.. ( mtu Baki bila kumtaarifu mwenye Pesa)
Yani
 
Cha Mtu Mavi.... wewe ungepaswa ufungwe kabisa, yaani umepewa fedha utunze tena kwa kuaminiwa halafu unaleta mastori ya ajabu ajabu humu Jf bila hata kuona aibu? Hizo Fedha ni zake , kama zingekuwa zako na angekutendea alivyomtendea - sijui ingekuwaje hapo.

Haya ya matusi si ya kiungwana, lakini pia kumbuka chanzi chake ni nini? Huwezi kuwa free from blame hata kidogo, chanzo ni wewe kupelekea yote hayo. Mfuate, muombe msahama na mrudishie fedha zake hata ikiwezekana kutandaza miguu sehemu tofauti...Ndio ikivunjika, usiseme hukujua chanzo chake... humu ndani kuna mapilato wengi sana, na kama nimekukosea kwa maandishi haya- samahani ndio uungwana wenyewe.
 
Nimeondoka nyumbani kwangu huu ni mwezi wa pili! Mume wangu kuna hela alinipa kama milioni 2, kwaajili ya kumuwekea. Mume wangu alikua ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi, sasa katika kampuni yao ni kama wanataka kuifunga hivyo mkataba ukiisha hakuna anayeongezewa mpya.

Mkataba wa mume wangu ulikua unaisha mwezi uliopita, tangu mwaka jana alijua kuwa ataachishwa kazi akawa anaweka hele zake kwenye akaunti yangu akihofia yeye kuzitumia

Lengo ilikua ni kazi ikiisha basi aanze biashara ikishasimama basi NSSF yake itakua imetoka anaongezea mtaji. Kuna Kaka nilikua naye kwenye mahusiano kabal ya mume wangu, tuliachana akaoa sasa tuliehndelea bdao kuwasiliana na mara nyingi alikua ananiambia kuhusu mambo yake ya ndoa na changamoto anazopitia.

Yeye ana kakampuni kakukopesha, nilipomuambia kuhusu hela ya mume wangu aliniambia kama vipi nimpe aizungushie ili kunilipa riba. Kwakua ni mtu nilikua namuamini na najua ana hela nilikubali, nikampa ile milioni mbili. Shida ikaja kwenye kunilipa, akawa ananisumbua ananiambia biashara zake haijaenda vizuri na mambo kibao.

Tulikua tunagombana kila siku, katika kutukanana na yule Kaka ndiyo mume wangua akasikia akawa ananifuatilia akajua kuwa nimegawa hela zake tena kwa X wangu kwani anamjua. Alinitukana sana, alinitukana maneno ya kunidhalilisha, alikua na hasira sana mpaka kunitukania Mama yangu!

Kwa hasira niliondoka nyumbani, nikaenda kwa dada yangu ambapo nipo mpaka sasa. Shida nikuwa, mume wangu alipiga simu mara moja tu, alipojua niko salama kwa dada yangu mpaka leo hajanitafuta. Niliacha wtaoto wawili wote wanasoma, kawachukua kawpaleka kwa Mama yake kijijini bila kuniambia yeye anaendelea na maisha.

Dada ananiambia niende kumuomba msamaha lakini sitaki kwani alinidhalilisha sana, hasa kunitukania mama yangu. Nina hasira nataka anipigie yeye simu kuniomba msamaha hata kama nilimkosea lakini hakupaswa kunitukana vile, sijui nafanya ninia niombe msamaha kwani hapa kwa dada washanichoka wananifanyia visa tu na mimi sipendi, X wangu hela ndiyo kagoma kunilipa mpaka kaniblock nisidie kaka nifanye nini?
Hii ndoa mwanamme mjinga na mwanamke mjinga.

Mwanamme mjinga kwa sababu hawezi kutunza pesa anampa mwanamke amtunzie, mwanamke mjinga kwa sababu hawezi kukaa na pesa anampa mtu mwingine amzungushie hela alizokabidhiwa, kimazabe, kihisia zaidi, bila ruhusa ya mwenye hela.

Wote wajinga wamekutana. Kutoboa vigumu sana.

Bora kungekuwa na mmoja mjanja angemburuza mwingine kumtoa katika ujinga.
 
Nimeondoka nyumbani kwangu huu ni mwezi wa pili! Mume wangu kuna hela alinipa kama milioni 2, kwaajili ya kumuwekea. Mume wangu alikua ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi, sasa katika kampuni yao ni kama wanataka kuifunga hivyo mkataba ukiisha hakuna anayeongezewa mpya.

Mkataba wa mume wangu ulikua unaisha mwezi uliopita, tangu mwaka jana alijua kuwa ataachishwa kazi akawa anaweka hele zake kwenye akaunti yangu akihofia yeye kuzitumia

Lengo ilikua ni kazi ikiisha basi aanze biashara ikishasimama basi NSSF yake itakua imetoka anaongezea mtaji. Kuna Kaka nilikua naye kwenye mahusiano kabal ya mume wangu, tuliachana akaoa sasa tuliehndelea bdao kuwasiliana na mara nyingi alikua ananiambia kuhusu mambo yake ya ndoa na changamoto anazopitia.

Yeye ana kakampuni kakukopesha, nilipomuambia kuhusu hela ya mume wangu aliniambia kama vipi nimpe aizungushie ili kunilipa riba. Kwakua ni mtu nilikua namuamini na najua ana hela nilikubali, nikampa ile milioni mbili. Shida ikaja kwenye kunilipa, akawa ananisumbua ananiambia biashara zake haijaenda vizuri na mambo kibao.

Tulikua tunagombana kila siku, katika kutukanana na yule Kaka ndiyo mume wangua akasikia akawa ananifuatilia akajua kuwa nimegawa hela zake tena kwa X wangu kwani anamjua. Alinitukana sana, alinitukana maneno ya kunidhalilisha, alikua na hasira sana mpaka kunitukania Mama yangu!

Kwa hasira niliondoka nyumbani, nikaenda kwa dada yangu ambapo nipo mpaka sasa. Shida nikuwa, mume wangu alipiga simu mara moja tu, alipojua niko salama kwa dada yangu mpaka leo hajanitafuta. Niliacha wtaoto wawili wote wanasoma, kawachukua kawpaleka kwa Mama yake kijijini bila kuniambia yeye anaendelea na maisha.

Dada ananiambia niende kumuomba msamaha lakini sitaki kwani alinidhalilisha sana, hasa kunitukania mama yangu. Nina hasira nataka anipigie yeye simu kuniomba msamaha hata kama nilimkosea lakini hakupaswa kunitukana vile, sijui nafanya ninia niombe msamaha kwani hapa kwa dada washanichoka wananifanyia visa tu na mimi sipendi, X wangu hela ndiyo kagoma kunilipa mpaka kaniblock nisidie kaka nifanye nini?
George upo wapi, Kinondoni?
 
Back
Top Bottom