Nifanye nini Kaka yangu hamtaki mchumba wangu

mamamzungu

JF-Expert Member
Nov 17, 2019
2,374
3,887
Anasema ikitokea tumeoana hatutoboi miaka 5…. Namnukuu “ Mkitoboa miaka 5 niko pale uniite mbwa”

Ni kaka yangu mtoto wa mama yangu mdogo alielelewa nyumbani kwetu… yeye tayari ana familia yake mke na watoto yuko under 30 .. Ni kaka ambaye tumekuwa tukishirikishana mambo ya mahusiano yetu mpk sasa..

Sikujua kuwa mpenzi wangu anafahamiana na kaka yangu mpk siku nilipompost status nikimuwish happy birthday..

Kaka yangu alinifungukia kuwa wanafahamiana na wamepiga kozi wote kiufupi wanafanya kazi zinazofanana na wanajuana mpk vyumba wanavyoishi japo hawana urafiki ni ile wakikutana ndio wanakuwa marafiki..

Mpk Kaka yangu anakuja kufahamu nina mahusiano nae ilichukua mwaka mzima kumfahamu na sikumwambia kuwa tuna mahusiano nilimwambia tu marafiki

Kwa sasa tunaelekea hatua nzuri kaka yangu amenishikia king’ora kwamba huyo mwanaume hanifai niachane nae simuwezi.. ninapomuuliza sababu haniambii nikazielewa

Sababu mpk sasa nilioiona kubwa aliyoniambia ni kuwa

  • kabila la watu wa mwisho wa dunia sio kabila la kuolewa nao ( yeye ameishi sana huko so ana wafahamu)
  • Ni washirikinaa sanaa ( anaamini kwamba huyu mpnz wangu kanipata kwa madawa) alinipa kielelezo Kuna rafiki yake mwingine wa kabila hilo alimpata mwanamke kwa madawa matokeo wamezaa watoto wawili mwanamke akili imefunguka kakimbiaa

Kubwa la Leo ambalo limenifanya niombe ushaurii ni hili

Amesema kuwa huyu mpzn wangu alishawahi kutoa posa mahali halafu akahairisha kuoa.. na alimpa ujauzito huyo mwanamke ila aliukataa akasema atoe ujauzito,, mwanamke alipokataa kutoa mimba alimtumia hawara yake ampelekee Zawadi ya juice kumbe ndani ya juice kaweka dawa ya kutoa mimba

Hiyo story bro anadai kahadithiwa na ex wa mpnz wangu

Kiukweli nimeshindwa kuelewa nifanye nini.. Kijana nampenda na amekuwa mtu mwema kwangu mpk sasa tuna miaka 2 ya mahusiano sijaona baya kwake

Ushaurii wenu wakuu
 
Kiukweli nimeshindwa kuelewa nifanye nini.. Kijana nampenda na amekuwa mtu mwema kwangu mpk sasa tuna miaka 2 ya mahusiano sijaona bays kwake

Ushaurii wenu wakuu
Nenda kaolewa Mkiachana ulete Mrejesho. Maisha ni Kujaribu.
 
Fuata ushauri wa huyo Kaka yako,inaonekana anayajua mengi kuhusu huyo mtu wako ila hataki tu kukuweka wazi.

Sawa sijakataa kufutaa ushaurii wake ila sasa kuwe na sababu za msingi ili hata home wanaponiuliza niwe na la kumjibu

Hivi mtu tu aniambie achana na huyo kaka kwasababu kabila Lao ni wachawi au wamalaya nitamuelewaje sasa
 
Kama unaendeshwa na nyege basi endelea na uamuzi wako ila usije kutusumbua tena humu kwa thd ya kutaka ushauri kwa mateso utakayoyapitia kwa huyo mtu wako.
 
Kuna story nyingi, ila hio ya kupewa dawa ya kutoa mimba ni uongo sana 😂😂😂😂 ni kitu hakiwezekani, first kwa sababu ya taste ya hio dawa, itaharibu juice nzima, pili utaratibu wa kuinywa hio dawa ulivyo haiwezekani kuweka kwa juice kizembe hivo
 
Back
Top Bottom