Nina wivu nashindwa hata kumeza mate!

Umeulizwa wewe?

Nahama thread kwa sababu yako wewe
icon8.gif
 
Nahama thread kwa sababu yako wewe
icon8.gif

JS unamgwaya Iribini......we can team up and put him in his place!!! usihame mreembo shemeji yangu ndivyo alivyo but he is very sweet and loving!!! stay, sawa cutie????
 
hahahhhaaa! ikiwa ni supu ya paya atajuaje kama alikuwa mbuzi wake sasa/!!!!

Watakupruvia biyond rizonebo daut kwamba hiyo supu ya paya ni ya mbuzi aliyeibwa! Lawyers bana! Achana nao kabisa
 
Afu na wewe! Kwani mwanasheria wewe? Hahaha!

sio lakini najua basics hata nilikamatwa na police najua haki yangu hahaaaaaa lol!!!

ila hapo juu we muongo sana...."doctrine of recent pocession" kwenye supu??? kama ni ya mbwa je???
 
Ni kawaida kushangaa, akikua ataacha, ana bahati huna mdomo kama wa yule wa mlimani city! hahahahah
Nna hasira na wewe ndio maana! Ilikuwaje sasa ukamkataza asije kukesha na mimi msibani kule Marangu? Miwivu tu imekujaa wewe, huna lolote!
 
JS unamgwaya Iribini......we can team up and put him in his place!!! usihame mreembo shemeji yangu ndivyo alivyo but he is very sweet and loving!!! stay, sawa cutie????

Sawa BHT adhawaizi nilikuwa niko mlangoni naondoka kama si wewe nisingerudi jamvini.
 
JS unamgwaya Iribini......we can team up and put him in his place!!! usihame mreembo shemeji yangu ndivyo alivyo but he is very sweet and loving!!! stay, sawa cutie????

Shauri yenu, Geoff hayuko mbali. Tutadumisha MILA na nyie! Jaribuni muone!
 
Sawa BHT adhawaizi nilikuwa niko mlangoni naondoka kama si wewe nisingerudi jamvini.

kaa nasi mwaya hana lolote huyu....defence mechanism yake ni maneno tu!!!
 
sio lakini najua basics hata nilikamatwa na police najua haki yangu hahaaaaaa lol!!!

ila hapo juu we muongo sana...."doctrine of recent pocession" kwenye supu??? kama ni ya mbwa je???

Hiyo bold Machale yananicheza
Hiyo blue Geoff atajibu. Si unajua projekti itafanyikia Iringa? Kule wow! wow! wow! ndo msosi wa heshima!
 
Wapendwa,
Nipo kwenye serious mahusiano na kwa mapenzi ya Mungu tunaweza kufunga ndoa.
1. Tatizo nina wivu kupita maelezo
2. niliumia kupitiliza nikaacha kuitumia ile siti, kuanzia siku ile nikawa nakaa siti ya nyuma kama balozi! Baada ya muda akabadili gari -thanx God sasa nakalia siti yangu!
3. Nyumba anayoishi nimebadili karibu kila kitu kwani nahisi vina uhusiano na mpenzi wake aliyepita na vinaweza kumkumbusha waliyokuwa wakifanya - siwezi kuvumilia,
4. nimembadili hata yeye - mavazi, perfume, sehemu za kutembelea nk nk yote hii ni kuhakikisha mimi ndio natawala
5. Akisafiri tunakesha kwa PC na simu (HAFANYI TENA KAZI)
6. msg zikiingia kwenye simu yake mapigo ya moyo yanabadilika...asiponiambia nani ametuma na kuniruhusu kusoma naweza kukosa usingizi siku kadhaa! (JAMAA UHURU WAKE NDIO HIVYO TENA)

**Nina wasiwasi atachoka, kuna wakati naona namnyima uhuru

Vpingele vyote hivyo 1-6 vinaashiria hiyo ya bluu na muda sio mrefu hiyo redi itapeperuka!

By the way, mmekuwa wachumba kwa muda gani na mnategemea kukamilisha hiyo nyekundu lini? For sure, kwa hali hii ndani ya miezi 6 tangu kufahamiana hadi ndoa, sijui has ukizingatia cv yake inaonyesha kuwa kiasi zinamtembelea na safari za hapa na pale.
Kwa wivu huu na hofu ya kukosa ndio msiochelea kwenda kuwafix wenzenu, USHINDWE katika hili.
 
Hiyo bold Machale yananicheza
Hiyo blue Geoff atajibu. Si unajua projekti itafanyikia Iringa? Kule wow! wow! wow! ndo msosi wa heshima!

kwa nini machale yanakucheza????

kule ukienda lazima hiyo mboga ule even wizaut yua nolegi mzee!!!
 
kama ni wivu umebadilisha kila alichonacho mbona hujabadilisha nanihiii yake wakati unajua ilikuwa inatumika kwa mpenzi aliyepita. Ningekuwa mimi ningekupiga chini. Unaonekana hujatulia na wala humwamini in conclusion huna love wewe, you are too materialistic, utaishia kujiua tu.

Acha ujinga!!!!
 
Back
Top Bottom