Kuna Muda natamani Kufa,nina Wivu naona kama waliokufa Wanafaidi

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Ebu we fikiria tu.
--mtu amelala zake hawazi kuhusu kupumua
--hawazi kuhusu kula
--hawazi kuhusu pesa, kujenga wala familia
--hawazi kuhusu nguo wala hana movement ya aina yeyote,

Yeye muda wote yuko zake ametulia tuli, amejilalia anaota zake ndoto isiyoisha utamu.

Na fikiria kuhusu sisi tulio hai
-- kwanza kabisa tunawaza kuhusu kupumua, moshi kidogo tu au hali ya hewa ikibadilika kidogo kikohozi kama chote mixer kuumwa kifua,
--kila siku tunawaza kuhusu kula, tunawaza wapi pa kupata pesa,
--tunawaza kujenga, kutunza familia na Nk.
-- bado tunawaza pa kupatia papuchi/dushe na vitu kibao
-- ata ule muda ukisema sasa upumzike mawazo kibao lazima yakutembelee au ndoto za ajabu ajabu, mara uwaze madeni au uote unakimbizwa na majini yaaani hakuna muda wa kupumzika kabisa,
-- bado kuna malazi ambayo yakikupata unateseka siyo tu kidogo ni kuteseka aswaa,

--Aya ukipata kidogo kitu, majirani nao wakununie,marafiki wakuseme kwamba unajidai, ndugu nao lawama yaani ili mradi tu tafrani.

Kuna muda natamani ata kufa kwa sababu nina wivu naona kama waliokufa wanafaidi,

Na kuna muda naona kama waliokufa kuna jambo wanatuficha sio kwamba wamelala hawataki kuamka ila nahisi kuna Raha na starehe ya ajabu wanayoipata huko ndio maana hawataki tena kurudi kuteseka na Hizi tabu za duniani.

Cc Zero IQ
 
Sasa Ulikutana wapi na maiti ikakwambia inaota ndoto isiyoisha utamu? Hahaha
 
Nafikiri hujaamua kupumzika tu mbona rahisi tu kuliko kuishi?
 
PLEASE DON'T READ IF YOU'RE DEPRESSED.

The other side is a mystery . If life is a game me huwa nasema people who commit suicide walipata shortcut to the next higher level, they're the true winners, while the rest of you mmeng'ang'ania level moja...

#mawazohuru
There's no serious issue here, ni just mawazo huru tu mkuu
 
Kijana wa pwani huyo hajazoea maisha ya shurba. Kwake maisha ni kupiga zogo ikifika mchana aje aitwe kula ugali.
Ata pwani sijawah kufika mkuu, mi ni mfanyakazi tangu ile siku miguu yangu imeanza kukomaa na kusimama mpaka leo namiliki kiwanda cha kuchakata viazi kuwa chipsi
 
Ubinafsi tulio nao binadamu ndio unatufanya tusijue baada ya kifo kuna nini.
Yawezekana huko ni kuzuri ndio maana waliokufa huwa hawarudi inaonekana ni kuzuri kuliko huku. Maana kungekuwa ni kubaya wangerudi aisee.

Ubinafsi tu.
Na kwa hakika mkuu umenena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom