Nina wivu nashindwa hata kumeza mate!

Mi siwezi kuamini na ndo maana naishi kwa amani bwana. Na sitaamini hadi nipate evidence ambayo ni proper, otherwise kujitia pressure na wasiwasi no, najua ni mimi tu until proved otherwise.

We Mwanasheria?
 
Unfortunately he is and so when you go to Roma you do what the romans do!

Wanasheria na ushahidi! Siwawezi Mtu akikuibia mbuzi eti mpaka upate ushahidi wa kumkuta akinywa supu ya mbuzi!
 
Ndo kusema hataki mwenzie accomunicate na mtu mwingine yeyote?
Pls Annina, note kwamba jamaa yako asipokuwa na marafiki wengine wa kuccomunicate nao ila wewe tu kila wakati mmegandanda mtachokana mapema sana, si unajua itafika kipindi hata hakuna jipya kati yenu coz you are not in touch with the outside world, yani kama huwa unawashangaa wale ambao wanaendesha gari wamechuniana njia nzima ndo hivi, kisa hamna cha kuongea, so take care mama, let him be free.

yaani haya yote anatakiwa ayaweke kichwani, mambo kujichanganya bwana...mi nikisafirigi kama mwezi hivi nikirudi nakuta mapenzi moto moto yaani kuna wakati inabidi muwe na umbali kidogo jamani...lakini mkikaa mwaka mnaangaliana hapo ndani inaboa bwana.
 
afu eti Mrs watu wanashangaa sionekani, nitaonekana vipi na 'nyumbani kuna raha'? LOL:D

na cku hizi nilivyo na manjonjo utanitaka sasa, nimeanza mwaka kwa makeke ya namna yake, au ndio mana na wewe unabana sana nini cku hizi?
 
Wanasheria na ushahidi! Siwawezi Mtu akikuibia mbuzi eti mpaka upate ushahidi wa kumkuta akinywa supu ya mbuzi!

acha kutudanganya sasa na wewe!!!!!!!! afu unalalmika eti hatukuaminigi
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 45 (2 wapwazzz, 11 members, 22 guests and 33 legends) George_Porjie, carmel, FirstLady1, Fugwe, gkundi, JS, kibanzi, KwayuG, Matarese, MduduWashawasha, Tshala

and I know you are among these, please come back, wewe na hao kwenye bold hapo juu ndio the reason for me + others to join JF, you are breaking my heart and you know how you rock my world, (you know who you are) wadau mtanisamehe niko nje ya mada but sikuwa na sehemu nyingine ya kusemea zaidi ya jukwaa hili na thread hii hii, mwenye macho nadhani anaona I can not hold it anymore, this is it
 
na cku hizi nilivyo na manjonjo utanitaka sasa, nimeanza mwaka kwa makeke ya namna yake, au ndio mana na wewe unabana sana nini cku hizi?

ndo manake Mrs baby
huyo cjui kinachomshangaza ni nini au alikuwa anataka kusarandia?

Ni kawaida kushangaa, akikua ataacha, ana bahati huna mdomo kama wa yule wa mlimani city! hahahahah
 
and I know you are among these, please come back, wewe na hao kwenye bold hapo juu ndio the reason for me + others to join JF, you are breaking my heart and you know how you rock my world, (you know who you are) wadau mtanisamehe niko nje ya mada but sikuwa na sehemu nyingine ya kusemea zaidi ya jukwaa hili na thread hii hii, mwenye macho nadhani anaona I can not hold it anymore, this is it
moyo wa kijasiri haunabudi kupongezwa kaka! Kumbeka bado tupo kwenze majonzi ya MC lakini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom